Mzimbabwe Maxwell Chikumbutso ameunda gari inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio

Wameshamfata sana, mpaka Marekani walimchukuwa.
Tunaanza lini kuongeza hizo radio waves katika source of viable power generation; achana na kupata milliwatts bali current na voltage ya kutosha. Pia kumbuka hapa hakuna Marekani wala mchina kuna Big Corporations kina Toyota, General Motors, Nissan, Fiat n.k.; na sio hao tu hata mkutano wa Nishati uliopita tungekuwa hatuongelei gesi na maji pakee bali radio waves as a viable alternative...
Habari zake sio za leo huyo. Alianza kwa kufua umeme kwa kutumia njia hiyo hiyo ya ku"harness frequencies".
Umeme kiasi gani ? Na sio huyu tu habari hizi za energy zipo tangia ancient times na wengine wakija na perpetual motion machines za different kinds..., kwahio harvesting energy wala sio issue (bali ni energy kiasi gani na kwa ufanisi kiasi gani) hata solar panels ni kwamba zinavuna energy, ila ndio hivyo ni energy ambayo ni viable kwa kuendeshea mitambo mingi
Hiyo njia sio mpya, ipo tangu wakati wa firauni, aNikolaibTesla orijino alifanikiwa kuijuwa, alipowaachia watu tu, akafinywa.
Ndio hapo tunaanza consipiracy theories.., alafu hapa kuna mambo mawili kuna transmission (as Tesla envisioned kwenye wireless Transmission) na kuna harvesting yaani zilizopo zimezagaa unazivuna kutoka kwenye mazingira (swali linakuja kiasi gani unazivuna na zipo kiasi gani sehemu fulani at any given time) in terms of Watts
 
Wakati tunaendelea na mjadala na kuelezana ni bora pia tukajikumbusha ni nini tunakiongelea (bila siasa, mihemko wala biasness na consipiracies)
<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>​
The energy that can be harvested from ambient sources such as radio signals, electrical noise, and other forms of ambient power is generally quite low. Here’s a breakdown of the potential energy sources:

1. Radio Frequency (RF) Energy Harvesting
  • Sources: RF energy can come from various sources, including cell towers, Wi-Fi routers, and broadcast stations.
  • Harvesting Efficiency: Typical RF energy harvesters can convert RF signals into usable electrical energy, but the efficiency is often low, ranging from 1% to 10%.
  • Power Levels: The power density of ambient RF signals is usually in the range of microwatts to milliwatts per square meter. For example, in urban environments, RF energy densities can be around 0.1 to 1 µW/cm², which translates to about 1 to 10 mW per square meter in optimal conditions.
2. Electrical Noise
  • Sources: This includes thermal noise and electromagnetic interference from electrical devices.
  • Energy Levels: The energy available from electrical noise is typically very small and often not sufficient for practical energy harvesting applications.
3. Overall Potential
  • Applications: Ambient energy harvesting is particularly useful for low-power devices such as sensors in the Internet of Things (IoT), which can operate on very small amounts of energy (typically in the micro-watt to low milli-watt range).
  • Limitations: The main limitation is that the energy harvested is often insufficient for high-power applications; hence, it's primarily suited for low-energy devices that can operate intermittently.
Conclusion

While the potential for energy harvesting from ambient sources exists, the amount of usable energy is relatively small. Researchers continue to explore ways to improve the efficiency of energy harvesting technologies, but as of now, they are best suited for small-scale applications where only minimal power is required.

Kwahio hapa cha kuongelea na ku debate kama watu tunaopenda maendeleo na kusaidiana kama dunia ni vipi ameweza kuongeza efficiency kwa kiasi kikubwa hivi...

nakuacheni na Msemo wa Gwiji Mmoja; If I have Seen further than others, is by Standing on the Shoulders of the Giants....; Kwahio kwa faida ya dunia inabidi watu / mtu yoyote tuendelee kusaidiana kusimama kwenye shoulders ya giants of the past...
 
H
Tunaanza lini kuongeza hizo radio waves katika source of viable power generation; achana na kupata milliwatts bali current na voltage ya kutosha. Pia kumbuka hapa hakuna Marekani wala mchina kuna Big Corporations kina Toyota, General Motors, Nissan, Fiat n.k.; na sio hao tu hata mkutano wa Nishati uliopita tungekuwa hatuongelei gesi na maji pakee bali radio waves as a viable alternative...

Umeme kiasi gani ? Na sio huyu tu habari hizi za energy zipo tangia ancient times na wengine wakija na perpetual motion machines za different kinds..., kwahio harvesting energy wala sio issue (bali ni energy kiasi gani na kwa ufanisi kiasi gani) hata solar panels ni kwamba zinavuna energy, ila ndio hivyo ni energy ambayo ni viable kwa kuendeshea mitambo mingi

Ndio hapo tunaanza consipiracy theories.., alafu hapa kuna mambo mawili kuna transmission (as Tesla envisioned kwenye wireless Transmission) na kuna harvesting yaani zilizopo zimezagaa unazivuna kutoka kwenye mazingira (swali linakuja kiasi gani unazivuna na zipo kiasi gani sehemu fulani at any given time) in terms of Watts
Mbona zipo zamani sana, siri ni namna ya kuzitega nankukusanya zifanye nini tu "harness".

Huelewi akuwa hata microwaves na xrays ni radio waves?

Hivi hizo shule mlienda kusonea ujinga?
 
unavyoongelea zamani sana naanza kupata shida na uelewa wako.., ni sawa sawa useme jua au mwezi upo tangia zamani sana, mimi takujibu zipo tangia beginning of time..., au ni sawa uniambia rangi nyeusi au nyekundu ipo zamani sana....
1738313776249.png

Huelewi akuwa hata microwaves na xrays ni radio waves?
Angalia hio energy spectrum hapo juu imetengwa kulingana na wavelength kwahio zote hizo; gamma rays, x rays, Ultraviolet, Visible Spectrum, (kwa watu kukariri walikuwa wanasema VIBGYOR), Infrared, Microwave, Radio na Long waves...
Hivi hizo shule mlienda kusonea ujinga?
Ni bora kwa ambae anajua kwamba hajui hivyo kuendelea kujifunza kila leo kuliko vice versa (I am the wiseset man alive, for I know that I know Nothing) Hence kuendelea kuelimika daily kwa kujifunza..., kwahio mkuu kwa kutokujua kwangu sipokei mambo kama yalivyo nikiyapata nachunguza na kuangalia nini kilichopo na nini kinawezekana kuja na kama bado kwanini hakijafika...

Harnessing ya Radio waves imekuwa ikifanyika ila limitation ni ile power inayopatikana; Kina Tesla walikuwa wanaangalia jinsi ya kufanya transmission; (wireless); kwahio kabla haujaangalia viability ya kitu kama kinafanyika na kwa ufanisi gani busara ni kujua kinafanyikaje...

Mtu akikwambia maji yanapanda mlima huwezi kusema hapana ila utauliza je anatumia ndoo au pump ?

Hata Sauti tu unaweza ukafanya reversal ukapata energy..., sababu kama ni umeme ndio ulifanya sauti ikatoka kwenye speaker basi reversal ya sauti italeta umeme (ila efficiency inaendelea kupungua); na umeme wake sio viable ndio maana hatuma ma speaker mtaani yakachukua sauti za watu (noise pollution) ili tuwashie taa majumbani...
 
Wakati tunaendelea na mjadala na kuelezana ni bora pia tukajikumbusha ni nini tunakiongelea (bila siasa, mihemko wala biasness na consipiracies)
<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>​
The energy that can be harvested from ambient sources such as radio signals, electrical noise, and other forms of ambient power is generally quite low. Here’s a breakdown of the potential energy sources:

1. Radio Frequency (RF) Energy Harvesting
  • Sources: RF energy can come from various sources, including cell towers, Wi-Fi routers, and broadcast stations.
  • Harvesting Efficiency: Typical RF energy harvesters can convert RF signals into usable electrical energy, but the efficiency is often low, ranging from 1% to 10%.
  • Power Levels: The power density of ambient RF signals is usually in the range of microwatts to milliwatts per square meter. For example, in urban environments, RF energy densities can be around 0.1 to 1 µW/cm², which translates to about 1 to 10 mW per square meter in optimal conditions.
2. Electrical Noise
  • Sources: This includes thermal noise and electromagnetic interference from electrical devices.
  • Energy Levels: The energy available from electrical noise is typically very small and often not sufficient for practical energy harvesting applications.
3. Overall Potential
  • Applications: Ambient energy harvesting is particularly useful for low-power devices such as sensors in the Internet of Things (IoT), which can operate on very small amounts of energy (typically in the micro-watt to low milli-watt range).
  • Limitations: The main limitation is that the energy harvested is often insufficient for high-power applications; hence, it's primarily suited for low-energy devices that can operate intermittently.
Conclusion

While the potential for energy harvesting from ambient sources exists, the amount of usable energy is relatively small. Researchers continue to explore ways to improve the efficiency of energy harvesting technologies, but as of now, they are best suited for small-scale applications where only minimal power is required.

Kwahio hapa cha kuongelea na ku debate kama watu tunaopenda maendeleo na kusaidiana kama dunia ni vipi ameweza kuongeza efficiency kwa kiasi kikubwa hivi...

nakuacheni na Msemo wa Gwiji Mmoja; If I have Seen further than others, is by Standing on the Shoulders of the Giants....; Kwahio kwa faida ya dunia inabidi watu / mtu yoyote tuendelee kusaidiana kusimama kwenye shoulders ya giants of the past...
HAPANA LOGIKOS

Siyo kwa kuwa inasemwa ni 'Radio Frequencies' basi ufikiri ni uvunaji wa 'Mawimbi Radio yanayonurururishwa na Minara ya Mawasiliano'...

Chikumbutsu mwenyewe siyo 'msomi' wa taaluma za umeme... Siyo kwamba anajua 'kila kitu' kuhusu uvumbuzi wake...

Japo hata yeye anaweza 'kulazimika kusema kana hivyo', haya ni mambo tu ya 'Usahihi wa Kisiasa'...

Wapo wavumbuzi wengi tu ambao huvumbua mambo na hata wao wakashindwa kuelezea 'Ukweli wa Kinachendelea khasa' katika vumbuzi zao... Unaweza kuona kwa mfano jambo la Hutchison Effect...

Kuhusu uvumbuzi wake kuwa ni 'Nishati Nukta Sifuri' ni jambo ambalo Chikumbutsu hasemi hivi wazi wazi, labda kafundishwa kusema kuhusu 'Mawimbi Radio ya Kimawasiliano' kama 'zuga' aonekane kama mjinga fulani anayeonekana hajui mambo--tapeli ama vipi... Kimedani, Hili mpaka sasa limempunguzia 'maadui'...

Mambo ya 'Nishati Nukta Sifuri' yanaendana na fizikia ya Kikwantumu na ufafanuzi wake unahitaji mtu apitilize konstrakti za mashauri ya Kisayansi kuhusu mambo kama 'Frikwensi Planck, Marefu Planck, Wakati Planck'... Haya yote yana 'Makuhani wake wa Visomo Sayansi'...

Mambo ya 'muundo vakyumu' ni dhahania za jiometria zifanyazo konstrakti za Uwezo na Nguvu wa kugema 'Kitu' kutoka 'Usikokitu'...

View: https://www.youtube.com/watch?v=NKxDkpSajsk

Sahau 'unachojengewa ushawishi ili kukubaliana nacho' kuhusu 'Nishati na Nguvu' zake katika mifumo inayojihifadhi--mambo "Law of Conservation of Energy"; ukifahamu mambo ya 'miundo vakyumu' unaweza kupindisha 'Sheria za Sayansi' kama inavyofundishwa kwa sura ya juu juu ya mambo...

Hmmm
 
Mimi najibu kilichowekwa mezani kulingana na alivyokileta kwahio hapa kuna issue mbili tu; Je unaweza kuvuna / harvest energy from Radio waves (Jibu ni ndio) na sio hio tu unaweza ukavuna kutoka kwenye sauti au hata difference ya joto na baridi (thermoelectric effect) tunaweza hata kupata energy kwa kubonyeza bonyeza vitu au kuvipinda yaani ku apply pressure (Piezo); ila swali linakuja kwenye efficiency...

Sasa kama unataka tuongelee hilo suala lako lifungulie uzi tuanze kujadiliana merits, demerits na kutenga factual from fiction...

Lakini mwisho kabisa ni logic; if that is true and for that much efficiency hii itakuwa ground breaking na siku moja tu tutaacha kuchafua mazingira kuhangaika na mafuta / mabwawa, solar panels and what not...; na sababu hajawa wazi kusema kinachofanyika hatuwezi tukatoa conclusion sababu the numbers defy logic....; Ila akija na hesabu na prototype ambapo nina uhakika kila mtu duniani atatumia, basi tutampa hongera zake na kuongeza uelewa wetu na kusema kwamba tulikuwa wajinga (hatukujua jambo fulani) ila sasa hivi tumeelimika zaidi na tunaendelea kusonga mbele kuongeza ufahamu wetu..., Until then common sense tells us to stick to what is factual (proven); that is what differentiate science from faith... (and blind faith at that)
 
Apongezwe, asibezwe hata kama bado kuna nafasi ya improvement.

Invention zote zilianza kwa kuintroduce a working MMP na zikaendele kuboreshwa including magari kama Ford na VW.
He will get there, apewe muda na investment.
 
Ni mwendo wa kamba to kamba unachukua uchawi gizani unauleta mwangani, pale ambapo umesema rais hajamwelewa ndio ametamka hivyo sasa hivyo teknolojia ya uchawi inafanyika waziwazi

Kesho kuna mwingine atasema anatengeza gari linalotumia umeme wa upepo, sikua naamini km kuna mtu anaweza akawekewa sahani 2 moja ikajazwa misumali na nyingine ikajazwa viwembe kisha akaanza kutafuna km anakula ugali na mboga na akamaliza misumali na viwembe

Hujanielewa uliza
Hiyo ya upepo inawezekana kabisa tena inakuwa inajichajisha. Yaani unafunga mota yenye mapanga boi juu ya gari
 
View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.

Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves

Unajua shida anaongea sana.Inventors hawaongei sana.Scientifically hiyo technolojia inawezekana maana katika String theory(Theoretical Physics) inaonekana kwamba Every particle of matter is a vibrating string or is in a wave form.Kwa lugha nyepese ni kwamba kila unachokiona kiko katika mfumo wa mawimbi na kwamba mtikisiko(Vibration/Oscillation) zake ndio zinaleta tabia mbalimbali za maada kama tunavoziona.Ndio maana hata Chuma ukiipiga JOTO la kutosha inaweze fikia hatua ikawa kama maja na ukiendelea kuipiga Jopo inakuwa kama HEWA na ukiendelea kuipiga JOTO inaweza kufikia hatua ya Fision n.k.
 
Harnessing ya Radio waves imekuwa ikifanyika ila limitation ni ile power inayopatikana; Kina Tesla walikuwa wanaangalia jinsi ya kufanya transmission; (wireless); kwahio kabla haujaangalia viability ya kitu kama kinafanyika na kwa ufanisi gani busara ni kujua kinafanyikaje...

Hapa kunaonesha jambo la wewe kuwa 'nje' ya 'uwanja' wa ukweli wa jambo; kwa wakati huu...

Ninakuchagua wewe, kimashauri, kama msingi wa wengine kuja kuya-JUA mambo ilivyobora... Siyo kwamba labda 'kuna ubora wa mashauri/mantiki ama chochote' kwenye muktadha akilifu haya ya mashauri ya Umeme/Usumaku-umeme -- unayoyawasilisha...

Nikola Tesla, alikuwa ni mtu mtundu na mwenye magutu katika shughuli yake ya ubunifu wa vyombo na tekinolojia ya umeme...

Ali-JUA na kujenga vifaa vya umeme pasipo 'kudesa pahala'; bali kwa namna ya kujua kutoka ndani yake; jambo hili hufanania hivi hivi kwa wavumbuzi wengi--katika kutafuta-tafuta; wanaweza 'kuotea' suluhu ambayo wao binafsi wanaweza kudai ni 'Wameoteshwa ndoto'--'wameoteshwa ama kufunuliwa na Mungu' ama vipi...

Mambo mengi ambayo Nikola aliya-JUA kisuluhu za kucheza na Umeme Mkondo Geu, Umeme KG, ni Charles Steinmetz aliyekuja kuandikia mafafanuzi yake kihisabati...

Kuna mambo mengi kuhusiana na Umeme yaliyo ni ya ajabu na hayafundishwi 'Mashuleni', kwa mfano, Umeme hausafiri kwenye waya(?) Umeme unasafiri kwenye 'Uso wa Juu wa Waya'; na siyo ndani ya waya... Haya ndiyo mambo ya 'Dielectric and 'Permittivity' ya unafasi wazi...

Sahau unachofundishwa/ulichofundishwa kuhusu 'Drift Velocity'...

Mawimbi ya Radio, labda kwa ajili ya mawasiliano pamoja na Mnururisho wake; ni mambo ya 'Tuning' ya 'Dielectric' na 'Permittivity' ya unafasi huru kwa kutumia vipitishi hai (1) Kapasita, na (2) Koili...

Kugema umeme, staili ya Nikola Tesla, ni finomena ya 'Mawasiliano' ya 'Kiusumaku-Umeme' -- umeme unao vukia nukta moja hata ingine kwa utundu wa dhana ya kuchukulia kwamba, nukta moja hata ingine ya uingiliano wa nguvu za unishati umeme uliokuwa 'tuned' ni uwezekano kutokana na 'maji mepesi khasa' yanayofanya ulimwengu wote mzima wa maumbile-Eitha (aether)...

View: https://www.youtube.com/watch?v=TttHkDRuyZw&t=14s

Usije kushangaa siku moja ukijaku-JUA kapasita na Koili zinajitokezaje kwa Sakiti za Chikumbutsu...

Nikola Tesla alikuwa anapata 'wahyi' katika kazi zake...

Hili lipo hata kwa Chikumbutsu...

Kuna namna yake ya kudadisi visomo vya epistimolojia za kivumbuzi...

Kwa mfano, Zimbambwe ni moja ya Nchi za Kiafrika zenye 'matukio mengi ya viumbe vya kigeni' kukutana uso kwa uso na wenyeji wanaoishi maeneo mbali mbali juu ya nchi. Ukifuatilia habari za Mzee Credo Mutwa, pia utasikia akilisimulia hili...

Na usijekuja kushangaa siku moja kusikia, Zimbabwe kuna mji mkubwa ardhini ambako wanaishi viumbe watu wenye asili ya mijusi... Je, hili linahusiana vipi na Zimbambwe na Chikumbutsu? Wakati utasema...

Hata Stan Meyer, alipovumbua gari lake la kutumia Maji, alikuwa anasadiki ni 'Yesu' ndiye alimpa 'Ufunuo'...

View: https://www.youtube.com/watch?v=WRHFKQY4FxE

Mambo ya 'Wahyi' ni metafizikia ya fizikia...

Ni zaidi ya mashauri ya juu juu ya kisayansi kuhusiana na muktadha akilifu wa 'Ufanisi' ama/na 'Kinafanyikaje' kwa tekinolojia...

Dadisi kwa mfano, Nikola Alijuaje mambo ya kutenganisha 'vipitishi umeme' ana 'visivyopitishi umeme' ili kufanikisha 'Mota ya Umeme'...

Ni Charles Steinmetz aliyekuja kutengeza ufafanuzi na lugha ya kiuhandisi kwa mawezekano hayo jambo ambalo Nikola Tesla alifanikisha pasipo 'Hisabati zozote' wala 'Maarifa ya Kishule ya Umeme'...​
 
View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.

Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves

Now this is what we call "innovation" hii ndio kwa mara ya kwanza naisikia
 
Hapa kunaonesha jambo la wewe kuwa 'nje' ya 'uwanja' wa ukweli wa jambo; kwa wakati huu...

Ninakuchagua wewe kama msingi wa wengine kuja kuya-JUA mambo ilivyobora... Siyo kwamba labda 'kuna ubora wa mashauri/mantiki ama chochote' kwenye muktadha akilifu haya ya mashauri ya Umeme/Usumaku-umeme...

Nikola Tesla, alikuwa ni mtu mtundu na mwenye magutu katika shughuli yake ya ubunifu wa vyombo na tekinolojia ya umeme...

Ali-JUA na kujenga vifaa vya umeme pasipo 'kudesa pahala'; bali kwa namna ya kujua kutoka ndani yake; jambo hili hufanania hivi hivi kwa wavumbuzi wengi--katika kutafuta-tafuta; wanaweza 'kuotea' suluhu ambayo wao binafsi wanaweza kudai ni 'Wameoteshwa ndoto'--'wameoteshwa ama kufunuliwa na Mungu' ama vipi...

Mambo mengi ambayo Nikola aliya-JUA kisuluhu za kucheza na Umeme Mkondo Geu, Umeme KG, ni Charles Steinmetz aliyekuja kuandikia mafafanunuzi yake kihisabati...

Kuna mambo mengi kuhusiana na Umeme yaliyo ni ya ajabu na hayafundishwi 'Mashuleni', kwa mfano, Umeme hausafiri kwenye waya(?) Umeme unasafiri kwenye 'Uso wa Juu wa Waya'; na siyo ndani ya waya... Haya ndiyo mambo ya 'Dielectric and 'Permittivity' ya unafasi wazi...

Sahau unachofundishwa/ulichofundishwa kuhusu 'Drift Velocity'...

Mawimbi ya Radio, labda kwa ajili ya mawasiliano pamoja na Mnunurusho wake; ni mambo ya 'Tuning' ya 'Dielectric' na 'Permittivity' ya unafasi huru kwa kutumia vipitishi hai (1) Kapasita, na (2) Koili...

Kugema umeme, staili ya Nikola Tesla, ni finomena ya 'Mawasiliano' ya 'Kiusumaku-Umeme' -- umeme unao vukia nukta moja hata ingine kwa utundu wa dhana ya kuchukulia kwamba, nukta moja hata ingine ya uingiliano wa nguvu za unishati umeme uliokuwa 'tuned' ni uwezekano kutokana na 'maji mepesi khasa' yanayofanya ulimwengu wote mzima wa maumbile-Eitha (aether)...

View: https://www.youtube.com/watch?v=TttHkDRuyZw&t=14s

Usije kushangaa siku moja ukijaku-JUA kapasita na Koili zinajitokezaje kwa Sakiti za Chikumbutsu...

Nikola Tesla alikuwa anapata 'wahyi' katika kazi zake...

Hili lipo hata kwa Chikumbutsu...

Kuna namna yake ya kudadisi visomo vya epistimolojia za kivumbuzi...

Kwa mfano, Zimbambwe ni moja ya Nchi za Kiafrika zenye 'matukio mengi ya viumbe vya kigeni' kukutana uso kwa uso na wenyeji wanaoishi maeneo mbali mbali juu ya nchi. Ukifuatilia habari za Mzee Credo Mutwa, pia utasikia akilisimulia hili...

Na usijekuja kushangaa siku moja kusikia, Zimbabwe kuna mji mkubwa ardhini ambako wanaishi viumbe watu wenye asili ya mijusi... Je, hili linahusiana vipi na Zimbambwe na Chikumbutsu? Wakati utasema...

Hata Stan Meyer, alipovumbua gari lake la kutumia Maji, alikuwa anasadiki ni 'Yesu' ndiye alimpa 'Ufunuo'...

View: https://www.youtube.com/watch?v=WRHFKQY4FxE

Mambo ya 'Wahyi' ni metafizikia ya fizikia...

Ni zaidi ya mashauri ya juu juu ya kisayansi kuhusiana na muktadha akilifu wa 'Ufanisi' ama/na 'Kinafanikaje' wa tekinolojia...

Dadisi kwa mfano, Nikola Alijuaje ambao ya kutengenisha 'vipitishi umeme' ana 'visivyopitishi umeme' ili kufanikisha 'Mota ya Umeme'...

Ni Charles Steinmetz aliyekuja kutengeza ufafanuzi na lugha ya kiuhandisi kwa mawezekano hayo jambo ambalo Nikola Tesla alifanikisha pasipo 'Hisabati zozote' wala 'Maarifa ya Kishule ya Umeme'...​

Mkuu hii umetoa kwenye AI?Maana haya maneno ni magumu sana kiasi kwamba Unanifanya nihisi kwamba nimechanganyikiwa.Anyway Ngoja nendelee kusoma labda nitaelewa.
 
JITAHIDI

ni mambo ya kukosa mazoea...

Ukikomaa utayazoea tu.
 
View: https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai ametengeneza chombo ambacho kinaitwa “Microsonic energy device”kinachogeuza mawimbi ya radio kuwa umeme.
Pia amedai gari hiyo inaweza kutoko 0 mpaka 100km/h ndani ya sekunde mbili.

Soma zaidi hapa: Move Over, Elon Musk: Zimbabwean Inventor Unveils Game-Changing Car That Runs on Radio Waves

Haya ndio mambo yanayofurahisha kusikia sio ujinga ujinga wa kichawa wa mitano Tena na matembezi ya kimchongo ya birthday.
 
Haya tusikie Wazimbabwe wenyewe wanasema nini kuhusu huu uvumbuzi....

Ukitumia logic lazima utagundua hapo hakuna kitu..., ni kama Mzee anakuuzia Kidonge cha Kubakia kijana (kutokuzeeka); lazima utamwambia, cura te ipsum yaani Physician, heal thyself

Wakati watu wanahangaika na umeme huko Zimbabwe kwanini na huyo Presidaa asianze kumwambia kwanza aunganishie watu waache kutumia Koroboi ?;

Nadhani busara labda ni kuacha kumjadili huyu na claims zake na kuangalia validity ya hii kitu which is up to now harvesting of usable energy is Minuit.... Na practicability yake ipo mpaka leo kwenye small devices
 
Back
Top Bottom