Mzimbabwe Maxwell Chikumbutso ameunda gari inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio

Yeye anasema ameunda kitu kinaitwa micro sonic energy device ambacho kinavuna nguvu itokanayo na mawimbi ya sauti ambayo yamejaa kwenye mazingira na kuigeuza kuwa umeme. Amesema amegundua siri ya njia ya kuyafanya hayo mawimbi kuwa umeme wenye nguvu kupitia hicho kifaa chake ambapo yanaweza kuchaji battery battery ikasukuma mota na gari lake halihitaji kuchajiwa wala si hybrid kusema litahitaji mafuta na bado linaweza kutumika kama chanzo cha umeme kwenye nyumba.
Huyu jamaa kama ya magari alianza na TV ambazo hazitumii umeme wala sora kwa kuweka hicho kifaa chake nyuma ya TV yenyewe.
Naona akikiboresha au tayari anaweza kutengeneza mfumo ambapo mtu ananunua na kuunga kwenye nyumba yake anakuwa hana haja tena ya kulipia umeme.
Anadai alipoenda Silcon valley walikuwa hawaamini na alipotaka ku patent ugunduzi wake waligoma kwa sababu unapingana na sheria za fizikia.
Wewe sasa ndo umemuelewa sasa watu wabisha bila kusoma historia ya jamaa
 
Hapa mtu huitaji kujua Physics hata logic tu anachosema ni ground breaking hata sisi ambao tunahangaika na maporomoko ya maji kupata umeme tunaweza kuweka pending ili tununua hizo generator zivune hayo mawimbi, na tujiulize hayo mawimbi yanayovunwa ni kwamba yapo tunayaokota au tunayatengeneza ili tunasafirisha kwa njia ya mawimbo (radio waves) yaani mfano kule kidato tukishapata umeme wetu ili ukufikie wewe tuusafirishe kwa njia ya mawimbi

Kwahio bila kujua HOW hawa wavumbuzi ni wengi sana hata Youtube wamejaa wanataka financial back up ili kutengeneza prototype ambapo nyingi mwisho wa siku huwa zinakufa kifo cha kawaida
Huyu mpaka wachina wameingia nae mkataba na gari tunaliona litakuwa sio jambo la kuishia njiani na pia kaanza harakati zake 2009
 
kaeleza kwa mfumo wake unazalisha umeme unachaji battery ma battery ndilo linasupply umeme kwa motor au nyumba. Kasema gari halitumii mafuta wala kuchajiwa. Sasa wewe ukisema hybrid hayo ni maoni yako.
Unamfahamu jamaa anaitwa Tom Ogle na uvumbuzi wake Ogle fuel system? How did the industry react to it?
And by the way anaweza kweli akawa alifika silcon valley lakini hakufanikiwa kukutana na the right people kwa sababu hata silcon valley you need connections to meet the right people hata ukisoma kuhusu story ya mark na facebook he needed someone to connect him with the right people, hata mwanzilishi wa Canva alienda silcon valley mara mbili na ilikuwa ashakata tamaa mpaka mtu sahihi alipomkutanisha na watu sahihi.
Sasa someone from Africa huku hata hajasoma hata kuwafanya watu wamsikilize nacho kipengele.
The Ogle fuel system refers to a controversial high-efficiency carburetion system invented by Tom Ogle in the 1970s. Ogle claimed his system allowed a standard V8 engine to achieve over 100 miles per gallon (mpg) without major modifications. His invention bypassed the conventional carburetor and fuel pump, using a vaporization process to burn gasoline more efficiently.

How the Ogle Fuel System Worked

1. Fuel Vaporization – Instead of injecting liquid fuel into the engine, Ogle’s system converted gasoline into vapor before combustion.

2. No Conventional Carburetor – The fuel tank was pressurized, and fuel was vaporized before entering the intake manifold.

3. Greater Efficiency – By burning only vaporized fuel, Ogle claimed the system drastically improved combustion efficiency, reducing waste and increasing mileage.

The Controversy & Suppression Theories

Initial Success – In road tests, Ogle’s modified 1970 Ford Galaxie allegedly achieved 100+ mpg without loss of power.

Industry Pushback – Some suspect oil companies or car manufacturers pressured Ogle to abandon his work.

Ogle’s Mysterious Death – In 1981, Ogle died under mysterious circumstances at age 26, fueling conspiracy theories that his invention was deliberately suppressed.

Scientific Viability

While Ogle’s claims were never independently verified in controlled studies, the basic idea of fuel vaporization is sound. However, modern fuel injection systems already optimize combustion efficiency to a high degree. If Ogle’s system worked as claimed, it would challenge fundamental laws of thermodynamics, which makes many experts skeptical.

There are several modern technologies and experimental fuel systems aimed at improving combustion efficiency, reducing emissions, and increasing mileage. Below are some promising alternatives to the Ogle fuel system:

1. Water Injection (Water-Methanol Injection)

How It Works:

A fine mist of water or a water-methanol mixture is injected into the air intake or directly into the combustion chamber.

Water absorbs heat, reducing engine knock and allowing for more aggressive ignition timing.

Methanol acts as an additional fuel source, further improving power and efficiency.

Benefits:
✔️ Increases power and fuel economy by 5-15%
✔️ Lowers combustion temperature, reducing NOx emissions
✔️ Extends engine life by preventing excessive heat damage

Used In: High-performance engines (e.g., BMW M4 GTS, aircraft engines, and aftermarket turbocharged cars)

2. Plasma Ignition Systems

How It Works:

Replaces traditional spark plugs with a high-energy plasma discharge to ignite fuel more efficiently.

The plasma arc is hotter and more consistent, leading to a more complete fuel burn.

Benefits:
✔️ Increases fuel efficiency by 10-30%
✔️ Reduces emissions and improves engine response
✔️ Works with gasoline, diesel, and alternative fuels

Used In: Experimental automotive and aerospace applications

3. HHO (Hydrogen-On-Demand) Systems

How It Works:

Uses electrolysis to split water into hydrogen (H₂) and oxygen (O₂), then injects the hydrogen into the air-fuel mixture.

The additional hydrogen improves combustion efficiency, reducing fuel consumption.

Benefits:
✔️ Reduces fuel consumption by 5-30%
✔️ Lowers emissions by promoting cleaner combustion
✔️ Works with existing engines

Challenges:
❌ Requires electrical power to produce hydrogen, reducing net efficiency
❌ Gains are often smaller than claimed in some aftermarket kits

Used In: Some trucking fleets, experimental projects

4. Opposed-Piston Engines (Achates Power)

How It Works:

Instead of a traditional piston and cylinder head, two pistons share a single cylinder and move towards each other.

This design eliminates the need for a cylinder head and reduces heat losses.

Benefits:
✔️ Increases fuel efficiency by 30-50%
✔️ Lower emissions due to better fuel burn
✔️ Compact design with fewer moving parts

Used In: Military vehicles, heavy-duty trucks, and emerging automotive prototypes

5. Free-Piston Linear Generators

How It Works:

Instead of a crankshaft, a piston moves linearly inside a chamber, generating electricity directly.

Fuel is burned efficiently in a small, contained cycle.

Benefits:
✔️ Efficiency improvements of 50%+
✔️ Can run on multiple fuels (gasoline, hydrogen, biofuels)
✔️ Ideal for range-extending hybrid vehicles

Used In: Prototype hybrid cars, experimental power generation

Final Thoughts: Are We Close to a Breakthrough?

Most modern fuel-saving technologies focus on efficiency rather than achieving extreme mpg claims like the Ogle system. However, advances in hydrogen fuel, plasma ignition, and high-efficiency combustion engines could lead to significant improvements in fuel economy.

Binafsi sioni sababu ya msingi uvumbuzi wa Ogle kuwa suppressed , maana nachoona alichokuwa anajaribu kufanya ni kukuza efficiency na sio kuna na source mpya ya nishati
 
Wazimbabwe wana Elimu bora na pia ni vichwa wengi waliosoma masomo ya Technical wanalipwa mishahara mikubwa wakienda Nchi zilizoendelea...ukitaka ujue Wazimbabwe wametuzidi angalia boarder yao mpya ya Beit briedge waliyoijenga hivi karibuni na fananisha Nchi zingine wakijenga kitu kama hicho kinakua ni kituko tu..
 
kaeleza kwa mfumo wake unazalisha umeme unachaji battery ma battery ndilo linasupply umeme kwa motor au nyumba. Kasema gari halitumii mafuta wala kuchajiwa. Sasa wewe ukisema hybrid hayo ni maoni yako.
Unamfahamu jamaa anaitwa Tom Ogle na uvumbuzi wake Ogle fuel system? How did the industry react to it?
And by the way anaweza kweli akawa alifika silcon valley lakini hakufanikiwa kukutana na the right people kwa sababu hata silcon valley you need connections to meet the right people hata ukisoma kuhusu story ya mark na facebook he needed someone to connect him with the right people, hata mwanzilishi wa Canva alienda silcon valley mara mbili na ilikuwa ashakata tamaa mpaka mtu sahihi alipomkutanisha na watu sahihi.
Sasa someone from Africa huku hata hajasoma hata kuwafanya watu wamsikilize nacho kipengele.
Uko sahihi kabisa ashukuriwe mchina na sera yake ya kuwekeza Africa bila hivyo uvumbuzi wake ungeishia kusaidia majirani zake tuu.
 
Wazimbabwe wana Elimu bora na pia ni vichwa wengi waliosoma masomo ya Technical wanalipwa mishahara mikubwa wakienda Nchi zilizoendelea...ukitaka ujue Wazimbabwe wametuzidi angalia boarder yao mpya ya Beit briedge waliyoijenga hivi karibuni na fananisha Nchi zingine wakijenga kitu kama hicho kinakua ni kituko tu..
Kwa hiyo Mugabe ni kama aliwarudisha nyuma?
 
The Ogle fuel system refers to a controversial high-efficiency carburetion system invented by Tom Ogle in the 1970s. Ogle claimed his system allowed a standard V8 engine to achieve over 100 miles per gallon (mpg) without major modifications. His invention bypassed the conventional carburetor and fuel pump, using a vaporization process to burn gasoline more efficiently.

How the Ogle Fuel System Worked

1. Fuel Vaporization
– Instead of injecting liquid fuel into the engine, Ogle’s system converted gasoline into vapor before combustion.

2. No Conventional Carburetor – The fuel tank was pressurized, and fuel was vaporized before entering the intake manifold.

3. Greater Efficiency – By burning only vaporized fuel, Ogle claimed the system drastically improved combustion efficiency, reducing waste and increasing mileage.

The Controversy & Suppression Theories

Initial Success – In road tests, Ogle’s modified 1970 Ford Galaxie allegedly achieved 100+ mpg without loss of power.

Industry Pushback – Some suspect oil companies or car manufacturers pressured Ogle to abandon his work.

Ogle’s Mysterious Death – In 1981, Ogle died under mysterious circumstances at age 26, fueling conspiracy theories that his invention was deliberately suppressed.

Scientific Viability

While Ogle’s claims were never independently verified in controlled studies, the basic idea of fuel vaporization is sound. However, modern fuel injection systems already optimize combustion efficiency to a high degree. If Ogle’s system worked as claimed, it would challenge fundamental laws of thermodynamics, which makes many experts skeptical.

There are several modern technologies and experimental fuel systems aimed at improving combustion efficiency, reducing emissions, and increasing mileage. Below are some promising alternatives to the Ogle fuel system:

1. Water Injection (Water-Methanol Injection)

How It Works:

A fine mist of water or a water-methanol mixture is injected into the air intake or directly into the combustion chamber.

Water absorbs heat, reducing engine knock and allowing for more aggressive ignition timing.

Methanol acts as an additional fuel source, further improving power and efficiency.

Benefits:
✔️ Increases power and fuel economy by 5-15%
✔️ Lowers combustion temperature, reducing NOx emissions
✔️ Extends engine life by preventing excessive heat damage

Used In: High-performance engines (e.g., BMW M4 GTS, aircraft engines, and aftermarket turbocharged cars)

2. Plasma Ignition Systems

How It Works:

Replaces traditional spark plugs with a high-energy plasma discharge to ignite fuel more efficiently.

The plasma arc is hotter and more consistent, leading to a more complete fuel burn.

Benefits:
✔️ Increases fuel efficiency by 10-30%
✔️ Reduces emissions and improves engine response
✔️ Works with gasoline, diesel, and alternative fuels

Used In: Experimental automotive and aerospace applications

3. HHO (Hydrogen-On-Demand) Systems

How It Works:

Uses electrolysis to split water into hydrogen (H₂) and oxygen (O₂), then injects the hydrogen into the air-fuel mixture.

The additional hydrogen improves combustion efficiency, reducing fuel consumption.

Benefits:
✔️ Reduces fuel consumption by 5-30%
✔️ Lowers emissions by promoting cleaner combustion
✔️ Works with existing engines

Challenges:
❌ Requires electrical power to produce hydrogen, reducing net efficiency
❌ Gains are often smaller than claimed in some aftermarket kits

Used In: Some trucking fleets, experimental projects

4. Opposed-Piston Engines (Achates Power)

How It Works:

Instead of a traditional piston and cylinder head, two pistons share a single cylinder and move towards each other.

This design eliminates the need for a cylinder head and reduces heat losses.

Benefits:
✔️ Increases fuel efficiency by 30-50%
✔️ Lower emissions due to better fuel burn
✔️ Compact design with fewer moving parts

Used In: Military vehicles, heavy-duty trucks, and emerging automotive prototypes

5. Free-Piston Linear Generators

How It Works:

Instead of a crankshaft, a piston moves linearly inside a chamber, generating electricity directly.

Fuel is burned efficiently in a small, contained cycle.

Benefits:
✔️ Efficiency improvements of 50%+
✔️ Can run on multiple fuels (gasoline, hydrogen, biofuels)
✔️ Ideal for range-extending hybrid vehicles

Used In: Prototype hybrid cars, experimental power generation

Final Thoughts: Are We Close to a Breakthrough?

Most modern fuel-saving technologies focus on efficiency rather than achieving extreme mpg claims like the Ogle system. However, advances in hydrogen fuel, plasma ignition, and high-efficiency combustion engines could lead to significant improvements in fuel economy.

Binafsi sioni sababu ya msingi uvumbuzi wa Ogle kuwa suppressed , maana nachoona alichokuwa anajaribu kufanya ni kukuza efficiency na sio kuna na source mpya ya nishati
Sasa kama efficiency tu, ugunduzi wake ulikuwa suppressed hata baada ya waiokuwa wanampiga kuwathibitishia kuwa ni kweli gari inatembea 100 miles per gallon maana walidai gari lina tank la ziada akawathibitishia bado hawakutaka afanikiwe. Mwisho akapata depression na akafa kwa overdose japo kifo chake wanakili kuwa kilikuwa na utata huenda ilikuwa foul play, basi jua bila shaka si kila ugunduzi nii rahisi kupenya kirahisi.
Mimi naamini kila kitu kinawezekana so, niko open kupokea ugunduzi na innovations mpya mpya maana hata ugunduzi wa sasa miaka ya nyumba ilikuwa kama ni impossible.
 
Wazungu ndio wametuchelewesha sijui kwanini walikuja Africa
 
Watz walio msikia leo wanabisha wakati mwenyewe uvumbuzi wake anasema alitoka nje ya mstari amefanya zaidi ya alichokaririshwa kuhusu physics na wazungu
Watanzania wengi hawana exposure ya taarifa muhimu huyo aliitwa na shirika la reli ya SA wanataka umeme ukikatika tren iweze kwenda au kufika kituoni bila kuathiri kitu chochote sijafatilia imeishia wapi na kupunguza matumizi ya umeme kwa treni zao dogo aliwaambia inawezekana..
 
Waafrika tunapenda sana kulishana Matango pori, yaani mtu avumbue njia mpya ya uzalishaji umeme ambayo inakaribiana na dhana ya "free energy" afu mataita na mabepari wa dunia wakuache kizembe zembe ? Hamko serious 😂😂
Huyo dgo ajaanza leo. Tango 2010s anapika madude kuna kipind wazungu walimchukua wakamnywesh sumu nashangaa sahv karud kivingne. Fatalia stroy yke kabla ya hio gari
 
Huwa nasikia maneno mengi kumuhusu mwafrika, unakuta watu wanasema mwafrika ni kitu gani Kawai kutengeneza au kuunda ?. Pongezi kwake, ametuheshimisha kama waafrika. Waafrika bado tu vitu vingi vya kuweza kusibitisha kama tunaweza. Tuache ujinga na kufanya kazi kwa bidii.
 
Huyo dgo ajaanza leo. Tango 2010s anapika madude kuna kipind wazungu walimchukua wakamnywesh sumu nashangaa sahv karud kivingne. Fatalia stroy yke kabla ya hio gari
Mzungu akunyweshe sumu afu urudi mzima? Hivi mko serious kweli? 😂😂
 
Watanzania wengi hawana exposure ya taarifa muhimu huyo aliitwa na shirika la reli ya SA wanataka umeme ukikatika tren iweze kwenda au kufika kituoni bila kuathiri kitu chochote sijafatilia imeishia wapi na kupunguza matumizi ya umeme kwa treni zao dogo aliwaambia inawezekana..
Exposure na lugha ni tatizo, mi binafsi ni muhanga 😅. Kuhusu jamaa na SA government nafikiri ni kwenye gharama labda itakuwa kubwa sana mpaka kufanikisha, fatilia historia ya AI mpaka inakuja kufanikiwa utanielewa
 
Huyu mpaka wachina wameingia nae mkataba na gari tunaliona litakuwa sio jambo la kuishia njiani na pia kaanza harakati zake 2009
Kwa wachina kuingia au kampuni yoyote kubwa hilo sio tija; sababu kitu kinaweza kikawa kwenye idea stage lakini bado hakina commercial viability (kwahio cha kuangalia ni uwezekano wa idea) mfano mpaka leo kina Toyota na Kampuni zote kubwa zina research and development ya kuongeza efficiency ya battery; kuna project kibao za kutumia maji kama fuel (hydrogen cells) ambazo idea ni viable ila bado commercial viability haijalingana na petrol...

Sasa huyu anapokuja na hii idea ya kubadilisha labda radio waves kuwa umeme (sio idea mpya) lakini mpaka sasa inajulikana kinachopatikana ni milliwatts ni kama kubadilisha jua kuwa umeme (kuna limit pia) ndio maana kila panel inakuwa power rated kwamba inaweza kutoa kiasi fulani ( na kila mtu akiongeza ile rate) mfano panel inakuwa double sided) ni kwamba anaongeza efficiency...

Kwahio kwa huyu anachokisema wala usiangalie kwenye upande wa gari pekee huenda sasa watu wakatoa panels zao na kila mtu kuweka mtambo wa huyu jamaa ili wazalishe umeme majumbani kwao...

Nadhani kwa maelezo hapo juu unaweza kuona kwanini nipo sceptic au issue kama hizi inabidi uzitumie with a pinch of salt....

NB: Na issue kama hizi zimekuwa under research kwa muda mrefu sana na sababu unachoweza kuvuna ni miliwatts (power ndogo sana) ndio maana objectives imekuwa kuendesha devices ndogo mfano electronics kwenye Internet of things na sio Magari...

Achana na BBC (Kufika huko unless unataka publicity ili upige pesa za wawekezaji) Kina Toyota, kina Tesla na wadau wa Nishati wa nchi zote wangekuwa wanamsumbua dogo na kuhangaika ni jinsi gani wanaweza kupata patent; hii issue sio gari tu ukiweza ku power generator basi unaweza ku power chochote kile.., hivyo huyu inabidi awe karibu na kina Faraday na aweke kabisa theories zake..., Ila ndio hivyo lugha za kibiashara huchelewi kuambiwa hio inachofanya ni kutumia nishati fulani kidogo ili kuwasha nishati nyingine nyingi ili iweze kufanya kazi....

Na issue za siasa huchelewi kuambiwa dogo kuna makampuni ya mafuta yalimpiga biti ili ashindwe kuweka sawa issue yake (ingawa kumbe ukweli jambo halikuwa viable)

Kwahio mpaka tukifahamu the HOW hii iendelee kuwa Story kama nyingine nyingi..., By the way hivi zile battery za Mengi za kuchaji smartphone sijui kukaa na chaji wiki ziliishia wapi ?
Wameshamfata sana, mpaka Marekani walimchukuwa.

Habari zake sio za leo huyo. Alianza kwa kufua umeme kwa kutumia njia hiyo hiyo ya ku"harness frequencies".

Hiyo njia sio mpya, ipo tangu wakati wa firauni, aNikolaibTesla orijino alifanikiwa kuijuwa, alipowaachia watu tu, akafinywa.
 
Back
Top Bottom