Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Uswahilini mtu kama huyu anaitwa KITI , ni mwakilishi wa Maruhani na mizimuKauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho
Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
Kauli ya uoga.Jiwe tulimuonya kila siku akashupaza shingo kimbunga kikamzoa.
Kama mzimu wenyewe ulizolewa na kimbunga sasa kivuli cha mzimu si kitapepetwa tu.
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho
Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
Sorry for the record tu hakuna cha mzimu wala bibi ake. Nothing special about pole poleKauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho
Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
V8 mnazijua nyie V8? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Polepole alikuwa swahiba na chawa kwa mwendazake. Washapiga parefu sana ndio maana anajiamini, ana stock ya kumshibisha bila kufanya kazi.Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho
Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
Ha ha jamaa wakikosa sehemu ya kupiga hela wanahangaika sana.Hahahahaha nina clip video yake daaaah umenikumbusha sana
Ha ha jamaa wakikosa sehemu ya kupiga hela wanahangaika sana.
Dikteta kabakia skeleton huko alipo,Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho
Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
Kuna siku hata wewe utakuwa hivyo hivyo mbona babu yako humsemi hivyoDikteta kabakia skeleton huko alipo,