voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Hawa hawana jipya tumewazowea na press zao za kulilia katiba mpya.Baada ya kuona Polepole akichukua nafasi ya Upinzani Tanzania tena kwa hoja nzito zenye masilahi mapana kwa nchi waliojivika ngozi ya upinzani yaani Chadema walijjawa na kiburi za kutukana watu wameona polepole amekuwa gumzo na wao wanaitisha press its too late tena mmeshachelewa kabisa yaani mmejifia kibubu