Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho

Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
Uzalendo wapi?wakati ni njaa tu ndiyo inayomsumbua, kuna kiumbe kilikuwa kinalamba nyao za meko kama huyo, BUSHMAN(wa the god must be crazy) alipokuwa akiwanunua wapinzani , akisifia ma V8?

kinachomsumbua sasa hivi ni wivu tu kwani hakuamini kama alivyopandishwa ghafla vile angeweza kushuka ghafla hivyo!!!na kuwa mtu wa kawaida tu kwenye chama, ambaye hakuna mtu ana muogopa tena.

Hata aamue kugombea ubunge hawezi kuupata, kwanza ndani ya ccm nani atampa kura za kumfanya apite??!yeye atulie tu huu ni muda wa wengine kufaidi.
 
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho

Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
sijajua anajivunia nini, inawezekana ana nguvu kubwa sana ambayo sisi wengine hatuioni, kwasababu hadi leo hii kwa anayoyafanya halafu ccm imefyata mkia. sio bure.
 
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho

Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
Anawanyoosha kwa sababu kundi la sasa linalojinasibu ccm ni wana element za wizi . Hivi ushakutwa na mtoto ukiwa angle siyo ? Unaweza mwamkia Bro .hili kundi sijui kina wenyewe ni wana udalali ndani yao ndo maana dogo anawanyoosha
 
Baada ya kuona Polepole akichukua nafasi ya Upinzani Tanzania tena kwa hoja nzito zenye masilahi mapana kwa nchi waliojivika ngozi ya upinzani yaani Chadema walijjawa na kiburi za kutukana watu wameona polepole amekuwa gumzo na wao wanaitisha press its too late tena mmeshachelewa kabisa yaani mmejifia kibubu
Mjane wa marehemu pombe umepanic kweri-kweri 🤣
 
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa,CCM 75% Kamaa polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho

Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole
😂😂😂 mheshimiwa yuko mbinguni au mbona unaleta ushetani tena
 
Back
Top Bottom