Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

Uzalendo wapi?wakati ni njaa tu ndiyo inayomsumbua, kuna kiumbe kilikuwa kinalamba nyao za meko kama huyo, BUSHMAN(wa the god must be crazy) alipokuwa akiwanunua wapinzani , akisifia ma V8?

kinachomsumbua sasa hivi ni wivu tu kwani hakuamini kama alivyopandishwa ghafla vile angeweza kushuka ghafla hivyo!!!na kuwa mtu wa kawaida tu kwenye chama, ambaye hakuna mtu ana muogopa tena.

Hata aamue kugombea ubunge hawezi kuupata, kwanza ndani ya ccm nani atampa kura za kumfanya apite??!yeye atulie tu huu ni muda wa wengine kufaidi.
 
sijajua anajivunia nini, inawezekana ana nguvu kubwa sana ambayo sisi wengine hatuioni, kwasababu hadi leo hii kwa anayoyafanya halafu ccm imefyata mkia. sio bure.
 
Anawanyoosha kwa sababu kundi la sasa linalojinasibu ccm ni wana element za wizi . Hivi ushakutwa na mtoto ukiwa angle siyo ? Unaweza mwamkia Bro .hili kundi sijui kina wenyewe ni wana udalali ndani yao ndo maana dogo anawanyoosha
 
Mjane wa marehemu pombe umepanic kweri-kweri 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mheshimiwa yuko mbinguni au mbona unaleta ushetani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…