Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Doh Akili zingine bnIphone 15 Pro Max
WAchezaji wa Yanga wengi wana ugonjwa wa iphone.Doh Akili zingine bn
Aseee!View attachment 3055897
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.# Ubaya Ubwela.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Naona kama kipengele kimekaaa kipori pori sana angeangalia namna ya kufix iwe hata kila nikifunga goal mbili kwenye game Moja niwe na bonus kiasi flanWAchezaji wa Yanga wengi wana ugonjwa wa iphone.
hawaweki wanasheria.Naona kama kipengele kimekaaa kipori pori sana angeangalia namna ya kufix iwe hata kila nikifunga goal mbili kwenye game Moja niwe na bonus kiasi flan
Nimecheka kwa sauti yaaniDoh Akili zingine bn
Hapo club itaacept hizo terms kama iphone na gari zingine wataongea nae vizuri wakati wa kusign club wanapenyeza vipengele vigumu mwisho wa siku akitaka kuondoka anaanza kutafuta public sympathy au kukimbia kimbia ovyohawaweki wanasheria.
Ipo hivi kaka, Mzize anajilinganisha na hawa pro kutoka Congo na Burkinabe, anajihisi anastahili kama wao.Hapo club itaacept hizo terms kama iphone na gari zingine wataongea nae vizuri wakati wa kusign club wanapenyeza vipengele vigumu mwisho wa siku akitaka kuondoka anaanza kutafuta public sympathy au kukimbia kimbia ovyo
umeandike kama msichana flani wa kijiweni-saluni, kipashkuna!Endeleeni kujipa moyo
Wehu wako umeshindwa kuuficha hapa...Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Aje Simba tunamtaka
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Ubaya Ubwela.
Sitokutukana, ila nakuuliza tu.Wehu wako umeshindwa kuuficha hapa...
Na Ali Kamwe.Aje Simba tunamtaka
Muache watu wafanye negotiation za vipaji vyao, wekeni ushabiki pembeni kumdhalilisha hata kama alikua ofisa usafirishaji boda boda lina tuhusi nini, kuna haja ya kulileta hapa, watanzania wengi bado ni wa shamba katika biashara ya mpira tuna ongonzwa na hisia, wewe neenda ukasajiliwe kwa 1m moja kama unamdhalau....... ushabiki wa simba na yanga wsmetufanya kua wajinga sanaa
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Ubaya Ubwela.
Kwamba sisi mashabiki wake tusijue historia yake ial historia ya Lamine yamal tuijue m[paka girl friend wake? Acha upuuzi.Muache watu wafanye negotiation za vipaji vyao, wekeni ushabiki pembeni kumdhalilisha hata kama alikua ofisa usafirishaji boda boda lina tuhusi nini, kuna haja ya kulileta hapa, watanzania wengi bado ni wa shamba katika biashara ya mpira tuna ongonzwa na hisia, wewe neenda ukasajiliwe kwa 1m moja kama unamdhalau....... ushabiki wa simba na yanga wsmetufanya kua wajinga sanaa