Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.

Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.

Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.

Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .

Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .

Ubaya Ubwela.
Jamaa hizo taarifa ni za uongo,,kwanza source of information is your Head 😂😂😂😂😂😂😂
 
Bongo bwana Sawa utamdhalau Mzize kwa kile anachokidemand na kumuita afisa usafirishaji lkn nikwambie kibongobongo ata hyo milioni saba anayolipwa
 
Sitokutukana, ila nakuuliza tu.
Mzize hakuwa dereva bodaboda Igumbilo Iringa?
Kua dereva bodaboda na Yanga kumsajili hakufanyi awe mateka hapo yanga...

Wachezaji wengi wa kibongo baada ya career zao kutamatika hujikuta juu ya mawe kwa kung'ang'ania fikra kama zako...

Sikubali aina ya uchezaji wa Mzize na sitamani aje Simba ila kwenye hili namuunga mkono...
 
Milioni saba hyo anayolipwa mzize ni mshahara wa mkurugenzi wa halmashauri kwa miezi miwili hapo ujaweka posho na bonus wewe endelea kumuita afisa usafirishaji. Kingine sisi watanzania tuna roho mbaya sana hv kwa sasa ukiambiwa taja striker mzawa bora mzawa kwenye ligi yetu utamtaja nani? Ifike wakati tupandishe vya kwetu.
 
Bongo bwana Sawa utamdhalau Mzize kwa kile anachokidemand na kumuita afisa usafirishaji lkn nikwambie kibongobongo ata hyo milioni saba anayolipwa
Wewe nawe unakaa na akili zako unaamini kilichoandikwa hapo. Yanga wanashiriki klabu bingwa na wanaanzia hatua ya awali hivyo ishu ya mikataba ya wachezaji waliobakiza miezi michache wameshamalizana nalo ili kutuma majina kwenye system.
 
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.

Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.

Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.

Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .

Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .

Ubaya Ubwela.
Hana ubavu huo wa kususa simba bwana mnajua kujifariji..
 
Kua dereva bodaboda na Yanga kumsajili hakufanyi awe mateka hapo yanga...

Wachezaji wengi wa kibongo baada ya career zao kutamatika hujikuta juu ya mawe kwa kung'ang'ania fikra kama zako...

Sikubali aina ya uchezaji wa Mzize na sitamani aje Simba ila kwenye hili namuunga mkono...
Kwahiyo unataka alipwe kitu ambachomsi thamanni yake?
 
Kwamba sisi mashabiki wake tusijue historia yake ial historia ya Lamine yamal tuijue m[paka girl friend wake? Acha upuuzi.
Kujua historia yake sio mbaya ila sio kudhalilishana kihivo, kila mtu ana nasty au humble begining sio lazime itajwe kila wakati mkuu, tuheshimu wenzetu tu wasitili nasisi tutasitliwa.
 
Naomba "kudhalilisha" ni wapi?
Hakuwa Iringa?
Hakuwa bodaboda?
Hakuwa anaishi kwa mama yake, by the way was mtoto ?
Hakutolewa "jalalani" na kuletwa mjini na Yanga?
 
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.

Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.

Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.

Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .

Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .

Ubaya Ubwela.
SANDA zinawagandisha akili
 
Nilidhani ni tetesi serious hadi nilipofika kwenye simu, ujinga mtupu.
😁😁😁 Kwa akili za wachezaji wa kibongo unaweza kukuta kweli kakataa gari na mafuta ila kataka IPhone.

NB:Mzize hana ubavu wa kuigomea Yanga sio mchezaji wa Type hiyo.
 
Naomba "kudhalilisha" ni wapi?
Hakuwa Iringa?
Hakuwa bodaboda?
Hakuwa anaishi kwa mama yake, by the way was mtoto ?
Hakutolewa "jalalani" na kuletwa mjini na Yanga?
Kwani hana kipaji? Mkuu naona hapa tungejikita kujadili kipaji chake sio kazi yake ya zamani, hamna mtu anae okotwa "jalalani" timu yangu ya yanga sio charity organisation kwamba anasaidia watu bure, hapana eliona kwamba anamanufa kwake ndo maana elimleta na kumlipia hicho kias regardless his past history ya bodo bado.
 
Kwahiyo unataka alipwe kitu ambachomsi thamanni yake?
Acheni kejeli sasa kama kumlipa hamuwezi...

Lini mmeanza kufanya evaluation ya thamani za wachezaji?

Sio nyinyi mlikuwa mnamlipa Makambo 7mls na hachangii chochote uwanjani?

Wakati huohuo mnamlipa Fei 4mls na alikua anafunga karibu kila mechi!

Najua kuna wachezaji wanalipwa vizuri kisa wametoka nje ila wanazidiwa ubora na Mzize kwa mbali sana...

Hii ligi haipaswi kuwafaidisha wageni tu, tuamke.
 
Back
Top Bottom