Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

Hivi kuna mchezaji wa kuigomea Yanga?
Hayo mambo ya kulea lea yapo Msimbazi! Yanga ukijifanya kuzidi kichwa tunaleta streka refu kuliko goli 😅😅 afu tunakusahau mara 1
Wapi wakina Djuma shabani/Wakina fei hio haina kufeli wameondoka kina mayele wakahisi tutashuka daraja! Cha ajabu maisha yanasonga.
Hamna mchezaji wa kuigomea Yanga kwa sasa
Fei hakugoma? Eti hakuna wa kuigomea yanga
 
Lol! Kitu amefanya Simba hapa kwa mujibu wa mleta thread, ndiyo hasa kufanya kwa vitendo; 'Ubaya Ubwela'.

Kwa sasa tunangoja 'Udugu Umala' kwa vitendo ili Mnyama afunge kazi. Lol

Ova
Mzize? Mchukueni hata bure b… nitafurahi mno.
Nilishasema mara nyingi, hana hadhi ya kuichezea Yanga ya sasa. Huko kwenu atafit.
 
Iphone 15?
Ntakua wa mwisho kuamini
Sasa upo mbali na michezo sana, wachezaji wengi si Yanga tu hata Simba hawa walugaluga waliookotwa klabu za mikoani wananunuliwa iphone maana most of them wanakuja Dar na TECNO laini nne.
 
Sasa laki sita mnayomlipa na mkataba unakaribia kuisha huku hamjafika pesa yake kwa nini asitake kutafuta changamoto nyingine kwingine?
 
Mzize? Mchukueni hata bure b… nitafurahi mno.
Nilishasema mara nyingi, hana hadhi ya kuichezea Yanga ya sasa. Huko kwenu atafit.
B... usimalize maneno. Weka akiba kidogo, bado Yanga wanafanya lobbying kwa Mzize.

Kupoteza rasilimali tu, Mzize ni wa kumwacha aende. Dogo katufelisha kinoma, sitaki hata kumuona.
 
Back
Top Bottom