Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio?......... Mbona me nakuona unapigo za kichoko na siongei wala nini, niko b kali tu!umeandike kama msichana flani wa kijiweni-saluni, kipashkuna!
Mwacheni afurahie juhudi zakeIpo hivi kaka, Mzize anajilinganisha na hawa pro kutoka Congo na Burkinabe, anajihisi anastahili kama wao.
Hajui mshahara wa Aziz Ki unakatwa kodi kubwa, anakatwa hela ya Visa na working permit wakate yeye hayo yote hana.
Ana demand Appatrment Masaki ambapo kodi ni milioni 5 kwa mwezi badala achukue chumba maeneo ya Temeke kwa laki 5 ni full house.
Ndio tumemuacha afanye yake.Mwacheni afurahie juhudi zake
Nipo Musoma TanzaniaUnateseka kutokea wapi mjukuu wangu?
Tumia "panado ya Kenya"Nipo Musoma Tanzania
Anzisha "uzi wa mambo ya maana tujadili"Kila siku munaleta tetesi ili kuwafanya watu wawe bize kujadili tetesi siku ziende waache kujadili au kufikiri mambo ya maana .
Tumeshagundua Janja yenu !
Lol! Kitu amefanya Simba hapa kwa mujibu wa mleta thread, ndiyo hasa kufanya kwa vitendo; 'Ubaya Ubwela'.
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Pia soma: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Ubaya Ubwela.
Ni haki yake

Bodaboda ni nasty issue?Kujua historia yake sio mbaya ila sio kudhalilishana kihivo, kila mtu ana nasty au humble begining sio lazime itajwe kila wakati mkuu, tuheshimu wenzetu tu wasitili nasisi tutasitliwa.