Ghost Mwita
Member
- Jul 14, 2024
- 11
- 8
Jamaa hizo taarifa ni za uongo,,kwanza source of information is your Head πππππππ
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Ubaya Ubwela.
Unateseka kutokea wapi mjukuu wangu?Jamaa hizo taarifa ni za uongo,,kwanza source of information is your Head πππππππ
Kua dereva bodaboda na Yanga kumsajili hakufanyi awe mateka hapo yanga...Sitokutukana, ila nakuuliza tu.
Mzize hakuwa dereva bodaboda Igumbilo Iringa?
Tumlinde Mzize, tujikumbushe ametoka kituo cha bodaboda
Rafiki yangu mmoja tukiwa Afrika Kusini alikuwa ananiambia namna ambavyo hamkubali mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize. Nadhani ilichangia zaidi na hasira za namna ambavyo Mzize alikosa bao la wazi wakati pambano la Yanga na Mamelodi Sundowns...www.tanzaniaweb.live
Wewe nawe unakaa na akili zako unaamini kilichoandikwa hapo. Yanga wanashiriki klabu bingwa na wanaanzia hatua ya awali hivyo ishu ya mikataba ya wachezaji waliobakiza miezi michache wameshamalizana nalo ili kutuma majina kwenye system.Bongo bwana Sawa utamdhalau Mzize kwa kile anachokidemand na kumuita afisa usafirishaji lkn nikwambie kibongobongo ata hyo milioni saba anayolipwa
Hana ubavu huo wa kususa simba bwana mnajua kujifariji..
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Ubaya Ubwela.
Kwahiyo unataka alipwe kitu ambachomsi thamanni yake?Kua dereva bodaboda na Yanga kumsajili hakufanyi awe mateka hapo yanga...
Wachezaji wengi wa kibongo baada ya career zao kutamatika hujikuta juu ya mawe kwa kung'ang'ania fikra kama zako...
Sikubali aina ya uchezaji wa Mzize na sitamani aje Simba ila kwenye hili namuunga mkono...
Kujua historia yake sio mbaya ila sio kudhalilishana kihivo, kila mtu ana nasty au humble begining sio lazime itajwe kila wakati mkuu, tuheshimu wenzetu tu wasitili nasisi tutasitliwa.Kwamba sisi mashabiki wake tusijue historia yake ial historia ya Lamine yamal tuijue m[paka girl friend wake? Acha upuuzi.
Wewe kama ndugu yake wa karibu unaona alizaliwa lini?Huyu mshua ni wa 2004? [emoji28]
Naomba "kudhalilisha" ni wapi?Kujua historia yake sio mbaya ila sio kudhalilishana kihivo, kila mtu ana nasty au humble begining sio lazime itajwe kila wakati mkuu, tuheshimu wenzetu tu wasitili nasisi tutasitliwa.
2004 Mwishoni , kipindi Bokko kishanza kucheza ligi kuu.Huyu mshua ni wa 2004? π
SANDA zinawagandisha akili
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo za Njano huku akiwa anaishi na mama yake mzazi maeneo ya Zizi la Ngombe.
Mzize akaonekana na ghafla akatua Yanga, baadae sasa inaonekana mabega yameanza kuzidi kichwa.
Yanga wanataka kumpa Mzize yafuatayo:
1. Mzize analipwa milioni 7 kwa mwezi.
2. Nyumba ushuani.
3. Gari na mafuta.
4. Milioni 200 ya usajili
NB : Hayo yote ameyagomea.
Matakwa ya Mzize:
1. Milioni 10 kwa mwezi.
2. Nyumba Masaki .
3. Iphone 15 Pro Max
4. Milioni 300 za usajili .
Simba ambayo imeamua kusajili makinda na Yanga imeamua kusajili "wastaafu" wameanza harakati za kumsajili Mzize kwa mshara wa milioni 11 na ada ya usajili ya milioni 300 na iphone 15 pro max elite .
Ubaya Ubwela.
πππ Kwa akili za wachezaji wa kibongo unaweza kukuta kweli kakataa gari na mafuta ila kataka IPhone.Nilidhani ni tetesi serious hadi nilipofika kwenye simu, ujinga mtupu.
Kwani hana kipaji? Mkuu naona hapa tungejikita kujadili kipaji chake sio kazi yake ya zamani, hamna mtu anae okotwa "jalalani" timu yangu ya yanga sio charity organisation kwamba anasaidia watu bure, hapana eliona kwamba anamanufa kwake ndo maana elimleta na kumlipia hicho kias regardless his past history ya bodo bado.Naomba "kudhalilisha" ni wapi?
Hakuwa Iringa?
Hakuwa bodaboda?
Hakuwa anaishi kwa mama yake, by the way was mtoto ?
Hakutolewa "jalalani" na kuletwa mjini na Yanga?
Acheni kejeli sasa kama kumlipa hamuwezi...Kwahiyo unataka alipwe kitu ambachomsi thamanni yake?