Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

EValuation inafanyika siku zote na ndio tunayoweka kwenye mikataba.
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu.
Akae kwa kutulia.
Fei tulimlipa 4m kwa mkataba aliosaini na wanasheria wake.
Makambo naye 7m kwa mkataba, kama hutaki unasaini ili nini?

Yanga hatujawahi kulazimisha mtu kusaini.
 
Tusubirie tuone movie itaishaje
 
Yan iPhone?😂
 
Jana Mzize katandika ball sio kitoto..akirekebisha mapungufu yake atafika mbali. Ni top striker kwa bongo
 
Wote waliopo Jangwani wana vipaji, ,kama vipi aende tu.
 
Mpira ni pesa na maisha ni yake binafsi. Afate tu utaratibu kama anataka kuondoka..
 
Sasa kwa yanga hii mzize wa nn mkuu Acha aende tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…