Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

Makolokwinyo hamjui kutatuta vipaji na kuviendeleza! Mzize alishasaini mkataba mpya yanga
 
Hivi kuna mchezaji wa kuigomea Yanga?
Hayo mambo ya kulea lea yapo Msimbazi! Yanga ukijifanya kuzidi kichwa tunaleta streka refu kuliko goli 😅😅 afu tunakusahau mara 1
Wapi wakina Djuma shabani/Wakina fei hio haina kufeli wameondoka kina mayele wakahisi tutashuka daraja! Cha ajabu maisha yanasonga.
Hamna mchezaji wa kuigomea Yanga kwa sasa
 
Mwacheni afurahie juhudi zake
 
Kila siku munaleta tetesi ili kuwafanya watu wawe bize kujadili tetesi siku ziende waache kujadili au kufikiri mambo ya maana .
Tumeshagundua Janja yenu !
Anzisha "uzi wa mambo ya maana tujadili"
 
Kusema kweli aende halafu huyu meneja wake si ndiye anaye msimamia Fei, kama anataka kuondoka aondoke tusisumbuane.
 
Mwache aje unyamani kachoka kutumia kiswaswadu

Ubaya ubwela
 
Lol! Kitu amefanya Simba hapa kwa mujibu wa mleta thread, ndiyo hasa kufanya kwa vitendo; 'Ubaya Ubwela'.

Kwa sasa tunangoja 'Udugu Umala' kwa vitendo ili Mnyama afunge kazi. Lol

Ova
 
Ni haki yake
 
Kujua historia yake sio mbaya ila sio kudhalilishana kihivo, kila mtu ana nasty au humble begining sio lazime itajwe kila wakati mkuu, tuheshimu wenzetu tu wasitili nasisi tutasitliwa.
Bodaboda ni nasty issue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…