Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?


Wachezaji wazuri huwa wanaonwa na timu zingine uwezo na ubora wake. Sasa mchezaji anaishia kuimbwa na watanzania pekee kila msimu. Usikii tetesi yoyote ya kutakiwa na timu nyingine za nje.
Messi akiwa Barca ile ya akina Iniesta ,timu gani ilituma ofa kumsajili?
 
Taja timu iliyomhitaji Messi mwaka 2009-2014 na kitita walichoweka mezani usilete blahblah
 
Hayo makubwa kafanya akiwa na timu gani?
 
Hatukarai Pakome kuweza kuhitajika zaid sokoni sababu ya umri wake. Tunachosema Ili afananishwe na chama acheze Kwa ubora Huu Kwa miaka zaid ya mitano. Ni kama kama Halland au mbape kufananishwa na Mess Au Ronaldo. Sio kwamba wabovu ila wanahitaji kuprove Kwa kuonyesha kiwango Chao Kwa muda mrefu kufikia daraja la kina Ronaldo.
 

Attachments

  • Screenshot_20240303-102508.png
    160 KB · Views: 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi mko kwa pacome. Hadi mtafika kwa Diarra.
Nyinyi makolo ndo mnamfananisha kibabu Chama na Pacome.

Tena baada ya mechi ya jana Chama kuperfom.
 
Hii misimu miwili yanga anachukua kombe la nbc chama kaonyesha ubora gani
 
Embu nitajie timu zinazomuhitaji pacome, nyie yanga kama mliweza kumchukua nungunungu ndio mtakuwa hamumtaki chama kweli?
Ulisoma ukaelewa au umekimbilia ku comment? Nimekwambia mashindano haya ya klabu bingwa yakiisha sio ajabu kuona Pacome akiwaniwa na vilabu mbalimbali huku Chama ikawa kama kawaida yake, hakuna timu yenye aja nae.
 
Ulisoma ukaelewa au umekimbilia ku comment? Nimekwambia mashindano haya ya klabu bingwa yakiisha sio ajabu kuona Pacome akiwaniwa na vilabu mbalimbali huku Chama ikawa kama kawaida yake, hakuna timu yenye aja nae.
Kwa hiyo unatembea kwa hisia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…