Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

Kwanini tulete takwimu ya miaka ya nyuma wakati kwasasa wote wanakipiga kwa pamoja? NBC wote wapo na champions league wote wapo. Tunalinganisha kwasasa sio yaliyopita
Msikilize Ibradagabra....

Walikuwa wanakosea sana waliokuwa wanamfananisha M.Jackson na Usher au C.Brown kwa wakati wa vijana, kisa, wote bado wako kwenye game kwa wakati huo.

Ushauri wa hayati Mwinyi;
- Kila zama na kitabu chake

Fananisha enzi
 
Hata kwa Tanzania ni makolo na wasiojua mpira wengine ndo wanamuona Chama bonge la mchezaji.
 
Wakati mna tundikwa 5 chama alikua wapi
 
Chama kwa Timu ngumu hutamuona,ila kwa Timu isiyokaba akiwa na mpira awe anakaa nao anakua Bora sana. Pacome vyote anavyo mechi yenye pressure kubwa atafanya maajabu na pia mechi lahisi anaofa ubora eg.Mechi ya Al ahaly home Lile goal la kusawazisha,chama huta Kuta anapenya kiaina Ile.
 
Sasa mchezaji kusajiliwa kwenda nje simba haijaanza leo ...hv ushasahau Banda,sacko wamesajiliwa wapi?
 
Sasa mchezaji kusajiliwa kwenda nje simba haijaanza leo ...hv ushasahau Banda,sacko wamesajiliwa wapi?
Swali langu ni kwanini huyo mchezaji anaishia kuonekana na vilabu vya Tanzania pekee, kama ni mchezaji mwenye class kwanini timu za nje hazimuoni?
 
Kwasasa tunatumia takwimu za msimu huu lakini cha ajabu mnazipinga mnataka za misimu ya nyuma. Sasa hamuoni mna nongwa?
Ukilazimisha hayo utakayo ina maana hata Simba itakuwa ndiyo mara ya kwanza kucheza klabu bingwa na kufika robo fainali.Mlipenda kuiita "mwakarobo".Kumbe kufika hapo ni lazima ujipure kwa bleach na uzimie?
 
Ulisoma ukaelewa au umekimbilia ku comment? Nimekwambia mashindano haya ya klabu bingwa yakiisha sio ajabu kuona Pacome akiwaniwa na vilabu mbalimbali huku Chama ikawa kama kawaida yake, hakuna timu yenye aja nae.
Sio ajabu!! Maneno ya wajinga pekee, chama ingekuwa haitajiki angefika uarabuni?
 
Taja timu iliyomhitaji Messi mwaka 2009-2014 na kitita walichoweka mezani usilete blahblah
Tangu lini top player kutoka kwenye Club bora ya ligi au bara husika akahitajika na timu ndogo? Hiyo Barcelona ya miaka uliyotaja ina mataji mangapi ya Ligi yao, Ulaya na Club bingwa Dunia?
Sasa ulitaka Messi aende wapi na akacheze nini zaidi ya Barcelona? Je Chama na Pacome kwa hapa kwetu wanaweza kwenda timu zozote zaid ya hizi 2? Kwahiyo Messi alikuwa na option 1 tu au 2 ambayo ni hasimu wao Madrid.
Sasa turudi kwa Chama, kwenye bara hili top clubs kwenye ubingwa ni Al Ahly, Mazembe, Wydad, Mamelod etc. Simba sio miongoni mwao kwani hata nusu hawajawahi kufika, je katika hizo ni ipi ilimhitaji? Je ana mataji mangapi ya Continental au hata Sub continental?
 
Ukilazimisha hayo utakayo ina maana hata Simba itakuwa ndiyo mara ya kwanza kucheza klabu bingwa na kufika robo fainali.Mlipenda kuiita "mwakarobo".Kumbe kufika hapo ni lazima ujipure kwa bleach na uzimie?
Kwani CAF huwa wanatoa tuzo za misimu ya nyuma au msimu husika?
Past ni past tu, ila michuano ya sasa ndio itakayotoa tuzo za mchezaji bora, mfungaji bora, timu bora, na bingwa wa CAFCL hivyo takwimu zinazotumika ni za sasa.
 
Sio ajabu!! Maneno ya wajinga pekee, chama ingekuwa haitajiki angefika uarabuni?
Berkane, ok akacheza misimu mingapi? Na baada ya hapo akaenda timu ipi mpya zaidi ya kurudia matapishi? Kumemshinda karudi, kama angekuwa bora asingerudi Simba bali angeenda kwenye timu kubwa zaidi ya hiyo Berkane.
 
Yanga sio timu kubwa? Al ahly sio timu kubwa? Au unataka akawafunge Mamelodi wakati hajakutana nao
 
Kwani CAF huwa wanatoa tuzo za misimu ya nyuma au msimu husika?
Past ni past tu, ila michuano ya sasa ndio itakayotoa tuzo za mchezaji bora, mfungaji bora, timu bora, na bingwa wa CAFCL hivyo takwimu zinazotumika ni za sasa.
Unakoelekea utatuambia tusihesabu tangu ulipozaliwa.Elewa komenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…