Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 705
- 1,662
Mjomba karibu kantalamba hapa.Kuna jamaa nilimueleza juzi kuhusu jeshi la Urundi akanibishia mbaya kigezo chake Burundi hawawezi ni masikini sanaa, nikaamua nikae kimnyaaa na burundi yenyewe si unajua ni mtoto wetu pendwa?
Kilochotokea ni kwamba Bongo haina bifu la moja kwa moja na Mrefu ila mrefu ndio ana choko choko kwahiyo Bongo iliamua kumlisha Mrundi data zote,
Basi last born wetu Urundi akakiwasha na akapita na biti mule mule🤣🤣