Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Kuna jamaa nilimueleza juzi kuhusu jeshi la Urundi akanibishia mbaya kigezo chake Burundi hawawezi ni masikini sanaa, nikaamua nikae kimnyaaa na burundi yenyewe si unajua ni mtoto wetu pendwa?

Kilochotokea ni kwamba Bongo haina bifu la moja kwa moja na Mrefu ila mrefu ndio ana choko choko kwahiyo Bongo iliamua kumlisha Mrundi data zote,

Basi last born wetu Urundi akakiwasha na akapita na biti mule mule🤣🤣
Mjomba karibu kantalamba hapa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

📌Katoto ketu pendwa tulikapa nafasi KAMUOSHEE huyo jamaa💪💪💪💪😂😂😂😂
 
Mnapendanga poroja na kujipa umuhum kutwa rais wa burundi analia anasema anaogopa kuvamiwa wewe upo hapa ukiwa wewe mwenyewe ndio chanzo cha habari yako.
Hizo ni mind game ili upate sababu ya kufanya maamuzi flani.Hata Kagame huwa analalama sana.

Achilia mbali Russia jitu kubwa nalo huwa analalama.China pia huwa analalama🤗
 
Huna jeshi wewe kaua askari wako na wengine kawachakaza wapo ICU wanapumulia mipira na goma ipo mikononi mwake na lakufanya huna huyo ndio Paulo mtaalamu wa vita kamguse uumie
 
Kagame alitakiwa apigwe kwanza yaan abananishwe kisawasawa angeacha fujo na kujiona mbabe
 
Huna jeshi wewe kaua askari wako na wengine kawachakaza wapo ICU wanapumulia mipira na goma ipo mikononi mwake na lakufanya huna huyo ndio Paulo mtaalamu wa vita kamguse uumie
DOGO KASOME HUNA AKILI!!!

ISRAELI ILIPOTEZA WANAJESHI KIBAO WALIPOKUWA NA VITA GAZA.SASA HUU UBISHI WA KITOTO UNAOLETA NENDA KALE USHIBE KWANZA UNAONEKANA UNANJAA KIASI KWAMBA AKILI YAKO INAKOSA KUFAHAMU KATIKA VITA HUWA KUNA WANAJESHI LAZIMA WAFE.
 
Back
Top Bottom