Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

Julius Malema analeta siasa za mwaka 1960 katika mwaka 2022. Hatafanikiwa kama ambavyo Komredi Mugabe alivyoshindwa na akafa na siasa zake hizo za mwaka 1960.
 
Julius Malema analeta siasa za mwaka 1960 katika mwaka 2022. Hatafanikiwa kama ambavyo Komredi Mugabe alivyoshindwa na akafa na siasa zake hizo za mwaka 1960.
This kind of you people is what we call it "mahaba niue for USA & EU"

Who are you by the way to range boundaries for Malema's talking [emoji848][emoji19]
 
This kind of you people is what we call it "mahaba niue for USA & EU"

Who are you by the way to range boundaries for Malema's talking [emoji848][emoji19]
Have I bounded him? He can talk whatever he wants. But, after talking, what happens next?
 
Lakin kutwaa viongozi wa kiafrika wako bize kwenda kuwaomba hela plus wanawapa kondom, ARVs bure plus chanjo kibao

Wazungu Wana mazuri Yao na mabaya Yao same ilivyo kwa waafrika
Africa haikuwa na shida ya ukimwi mpaka pale hao mabwana zako walipouleta kwa mpango wao muovu wa kupunguza idadi ya watu.
So lazima wawajibikie walichokisababisha. Come on
 
Sasa kama mpo na Urusi mbona kwenye kura za baraza la usalama la UN, hamuonyeshi mnasimama wapi?!
Bora hata KENYA, kwenye hili hawajawa wanafiki wamechagua upande, mnaleta janja janja za kipindi cha NAM!!kwani hii ni vita baridi?!!na hata hiyo NAM, kwa sasa ni kama haipo tu, kiongozi gani kutoka NAM, kwa sasa anaweza sema dunia ikashituka?!!
Ni kiongozi gani wa Afrika, leo hii ukimuhoji hadharani atasema yupo upande wa URUSI?!!
 
Africa haikuwa na shida ya ukimwi mpaka pale hao mabwana zako walipouleta kwa mpango wao muovu wa kupunguza idadi ya watu.
So lazima wawajibikie walichokisababisha. Come on
Afrika hapa ndipo tunachemka, kila baya kuona chanzo ni mzungu, sasa kama wao ndio waliuleta sasa ni miaka karibu 40, mmechukua hatua gani kuumaliza kwani kuenea kwake kunajulikana!!
Toka wazungu wameondoka ni zaidi ya miaka 60, hadi leo maji tu safi na salama, ni mtihani, njaa hao viongozi wamefanya nini hasa la maana!!
Hadi tutapotea kwenye dunia hii kwa akili hizi za kiafrika kuishi bila mzungu ni ngumu sana!!huo ndio ukweli mchungu.
 
MY TAKE: Kwendako hisani, hurudi hisani. Kuna baadhi ya nchi hapa Afrika hazikujihusisha na ukombozi wowote wa Afrika, wao ndio wapo mstari wa mbele kuunga mkono vikwazo dhidi ya Urusi.
 
Kenya yaungana na NATO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
M
Mkuu hata vyoo tu tumeshndwa jichimbia...mpk Marie stoppe foundation atoke German aje kutuchimbia...what a shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…