Kasaidia kwa faida yake sio yako[emoji45][emoji12]Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu! Japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
Hiyo kauli tz hawakupignia uhuru sio sahihi japo ndio kauli inayohit, wazee wetu walipignia uhuru vita vya majimaji lakin kutokana na propaganda leo hii ikapikwa na kubezwa wale wazee eti walikuwa wanatumia uchawi wa maji kupigana jambo ambalo undani wake umefichwaKenya haikusaidiwa na nchi yoyote ya Afrika kujikomboa. Tulipigana na Mabeberu sisi wenyewe na kumuaga damu hadi tukapata uhuru wetu. Kumbuka hii Tanzania ambayo huwa tunaambiwa kwamba ilisaidia nchi zingine kupata uhuru ilipewa uhuru wake bure bila kumwaga damu. Wao walipewa uhuru bila kupigana na mabeberu kama ilivyofanyika hapa Kenya.
Kwanin viongozi wenu wanachekelea pale wanapopewa ela zao, kwanin wewe unatumia Android, Facebook, Macbook ya kwao huoni kama ni unafki wa Hali ya juuHakuna usawa kati ya mazuri na mabaya ya wazungu. Usilazimishe vitu ambavyo havipo.
The discussion at hand was about Ukraine, we can do that of Libya if you want.
Na hapo unatumia simu yenye Android au Mac iOS alafu kutwaa kuwaponda wazungu, vitu vyao unatumia alafu kutwaa kuwaponda waafrika tutaacha unafki linihatudanganyiki! amerika na nato ndio adui zaidi kwa africa so far ukilinganisha na urusi!
Only if the same is relevant and applicable to the topic at hand.Naaaaah, we cannot discuss without considering the facts and history.
huku wakitembeza bakuli!Kenya yaungana na NATO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi Tanzania tungekuwa sisi ndio ile South Africa ya kina Mandela basi hadi leo tungekuwa chini ya Apartheid Policy. Sisi tumejawa na woga kuwa nikisema hivi nitafungwa au wataniua.Mabeberu watamuondoa mda si mrefu akahutubie malaika.. Mark my words
Africa haikuwa na shida ya ukimwi mpaka pale hao mabwana zako walipouleta kwa mpango wao muovu wa kupunguza idadi ya watu.
So lazima wawajibikie walichokisababisha. Come on
Maskini waafrica sisi jamani, na wengi waliopo ndio wa akili kama hizi. Muafrica mwenzako anazungumzia bila woga concern yake ya kuwathamini waliowathamini nyakati zile za mateso na kuwakosoa waliosaidia kukandamizwa kwao, halafu wewe unakuja na hoja za kudhihaki alichoongea Malema.Julius Malema analeta siasa za mwaka 1960 katika mwaka 2022. Hatafanikiwa kama ambavyo Komredi Mugabe alivyoshindwa na akafa na siasa zake hizo za mwaka 1960.
KPU chama pinzani Kenya wakati huo chini ya Jaramogi Oginga Odinga walipata misaada mingi kutoka Russia ikiwepo kujengewa hospitali maarufu huko KenyaKenya ni kibaraka wa Uingereza na Marekani. Ila Odinga siyo mshirika wao sana, nahisi hapo ni siasa tu.
Sasa kwanini mnajiita waafrika na mnataka mahusiano ya kibiashara na nchi za kiafrika wakati hakuna hata nchi Moja ya Africa iliyowasaidia?, hivi Kati ya mtu aliyetumia akili na "diplomatic means" kudai uhuru na yule aliyemwaga damu nani mwenye akili zaidi?.Kenya haikusaidiwa na nchi yoyote ya Afrika kujikomboa. Tulipigana na Mabeberu sisi wenyewe na kumuaga damu hadi tukapata uhuru wetu. Kumbuka hii Tanzania ambayo huwa tunaambiwa kwamba ilisaidia nchi zingine kupata uhuru ilipewa uhuru wake bure bila kumwaga damu. Wao walipewa uhuru bila kupigana na mabeberu kama ilivyofanyika hapa Kenya.
Yes, because he's a man of principle and truth..BUT YOUR NOT.In as much as I like Malema, I'm sorry that we ain't on the same page on this one.
We ndio ukasomeCIC Malema arudi akasome historia ya ukweli kabla ya Kuja na mhemko huu,tuelewe Ukraine kipindi hicho ilikua sehemu ya USSR, means hawa freedom fighters wa kiafrika walisoma, walisaidiwa na wana ukraine ndani ya ukraine ya sasa, facts hii tusiisahau kabisa na hatuwezi eti now tuitenganishe na soviet. Halafu CIC Malema anachochea xenophobic ndani ya SA hili hatulioni, kumbuka alifanya ziara eti kukagua non South africans walioajiriwa kwenye restaurants alizotembelea
A principled man will never support Killing of women and childrenYes, because he's a man of principle and truth..BUT YOUR NOT.
Dah! Ahsante,Amenifungulia njia sasa mwache Us alazimishe tuchague.Kiokotee
Kimsingi amewajibu wamarekani watukome, wasituchagulie rafiki, siye tupo na urusi kwa kuwa kipindi tuliponyanyaswa kwa ubaguzi wa rangi amerika mliwaunga mkono makaburu lakini warusi walitusaidia kutufundisha na kupigana na ubaguzi wa rangi! Warusi walikuwa upande wetu kipindi ambapo nato na amerika walikuwa kinyume nasi!
Waafrica Libya, Syria, Iraki, Afughanstan, palestina walipouawa America na NATO yao hawakulaani badala yake waliruhusu na wao wenyewe walihusika na mauaji hayo! Leo wazungu wenzao wanashughulikiwa ndio wanatulazimisha tuitenge Urusi! Hilo haliwezekani, tupo na urusi ktk hili! Tumechoka na ubabe wenu america na nato yenu na hatuwaogopi! Toeni haraka majeshi yenu yaliyotapakaa africa kama Botswana!
Inahitaji uwe mzalendo wa kweli kuikataa Us,Hata enzi ya Utumwa kulikuwa na watu wanaitwa Vibaraka labda wafe wao ndio watakuwa na Uchungu.Safi sana Ila Ipo mijitu ya Imetulia Kibera kutwa Amerika Matumwa Ya Uhuru na Hakizao
KPU chama pinzani Kenya wakati huo chini ya Jaramogi Oginga Odinga walipata misaada mingi kutoka Russia ikiwepo kujengewa hospitali maarufu huko Kenya