Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Most of the population still lives in poverty, a sharp contrast to the luxurious lifestyle of the Angolan elite, mostly formed during the dos Santos’ era. His eldest daughter Isabel came to be Africa’s richest woman with an estimated fortune of $3.5bn, according to a Forbes’ 201 evaluation.
Critics say under his rule anyone who dared to criticise him or his family could either be persecuted or arrested at the time, including journalists, activists and other dissidents.
One of the cases that came to represent the violation of human rights was the 2015 arrest of young activists for reading a book on democracy.
Lourenco, dos Santos’s defence minister who came to power in September 2017, launched an anti-corruption crackdown after his mentor’s exit from power.
But things became turbo-charged in 2020 after Luanda Leaks, an investigation carried out by the International Consortium of Investigative Journalists exposed how Isabel dos Santos allegedly embezzled public money from Angola to build her billion-dollar empire.
The state charged her with money laundering, forgery and other financial crimes relating to her time in charge of Angola’s national oil company, Sonangol – a role she was appointed to by her father. Her assets were seized and another sibling was sentenced to five years in prison for embezzling up to $500m during his tenure as head of Angola’s sovereign wealth fund. (From Aljazeera)
Umewahi kufika ANGOLA?? Au unasikia kwenye vilabu vya mbege??Are you serious Sam, Siasa ni unafiki mkubwa, he is no longer a public asset but a huge liability. Ukweli ni kwamba sasa hivi wanafukia madhambi yake, cha maana cha alichofanya ni kusimamisha vita na kuanza kutajirisha yeye na familia yake! Hastahili kabisa kufanyiwa mazishi ya Kitaifa, imebidi waanze mwanzo tena, na utajiri wote wa mafuta, wanaanza upya! So sad! Kutomfanyia mazishi ya Kitaifa linaweza kuwa ni somo kubwa, kuliko kudanganya Waangola kuwa ni Hero! Uovu wake umefuta kabisa mema yake.
Kwa upande wa watoto wa Dos Santos, iko upande wao, lakini ndugu yao yuko Jela angola kwa ubadhirifu wa wa mali, dada yao mkubwa anaweza hata kupigwa mawe akitokea msibani na ana arrest warrant, Je utataka Mzee wako azikwe huko? Serikali ya Angola isiwe na unafiki, itaonekana kituko ulimwenguni, angalau watoto wameamua kuwa wakweli na wana sababu ya msingi kwa Mzee Santos kutozikwa Angola.
African proverb...Let the dead bury the dead
Kwani alijenga Santos...unajua Mreno aliwaacha katika hali gani kwenye infrastructures...mkuu huwa hatuangalii majengo, the guy was corrupt to the core, kwani nini baada ya kuondoka alienda kujifika Spain, nini anachokifanya aliyeingia badala yake? Unadhani ana wazimu! Au visasi..hata kufunga watoto wa aliyemwachia madarKa na kutaifisha mali zao!Umewahi kufika ANGOLA?? Au unasikia kwenye vilabu vya mbege??
Acha ujinga Angola wana uchumi imara sana kwa sera za huyo mzee, shida ilikuwa vita ya msituni ya SAVIMBI alivyouawa basi na Angola imekaa njema, hiwezi linganisha na huu ujinga Wa TZ.
Fika Angola ujione nchi ilivyojengeka haswa, bidhaa bei nafuu na uzalishaji wa Mafuta.
Ana tuhuma siyo mashtaka.Nani amethibitisha hizo tuhuma kuwa ni kweli?Ana mashitaka ya ufisadi Angola hivyo akihudhuria mazishi tu, anaamkia korokoroni.
Kwani alijenga Santos...unajua Mreno aliwaacha katika hali gani kwenye infrastructures...mkuu huwa hatuangalii majengo, the guy was corrupt to the core, kwani nini baada ya kuondoka alienda kujifika Spain, nini anachokifanya aliyeingia badala yake? Unadhani ana wazimu! Au visasi..hata kufunga watoto wa aliyemwachia madarKa na kutaifisha mali zao!

Hizo fix kila utawala utalalamikiwa tu, yaan utawale miaka 30+ afu uwe masikini?? Una akili sawasawa wewe??Kwani alijenga Santos...unajua Mreno aliwaacha katika hali gani kwenye infrastructures...mkuu huwa hatuangalii majengo, the guy was corrupt to the core, kwani nini baada ya kuondoka alienda kujifika Spain, nini anachokifanya aliyeingia badala yake? Unadhani ana wazimu! Au visasi..hata kufunga watoto wa aliyemwachia madarKa na kutaifisha mali zao!
Hizo fix kila utawala utalalamikiwa tu, yaan utawale miaka 30+ afu uwe masikini?? Una akili sawasawa wewe??
Ukitawala miaka 5 tu huwezi masikini sembuse miaka 30??
Aliyekwambia Ureno walijenga sana ni nani?? Mimi nimefika Angola miaka ya 90s nchi haikaliki kisa SAVIMBI na vikundi kadhaa vya Uasi nchini Angola.
Angola imepata utulivu miaka 2000s kama ulikuwa hujui. Acha propaganda na penda bara lako, akili za kimasikini hizo kwamba kila
Acha ujinga, jifunze kushukuru kwa ukipatacho, unajua uzalishaji wa mafuta umeanza lini pale Angola?? Ujuaji wa kipumbavu unakusaidia nini wewe kilaza??Acha uchuro...kwamba wa uzalendo wa kipumbavu, Kwa hiyo Usiwaseme kina Mobutu,Nguema na walichokifanyia wananchi wao kisa mapenzi ya uafrika,Somalia wanashindwa kabisa kutoka kwenye failed state.Waafrika tunashangaza sana, pence sifa toa credit, walipoboronga sema wazi,na jifunze kutoka na makosa yao! Hakuna anayekataa mchango wa Dos Santos, hasa wa kumaliza vita, baada ya hapo alifanya nini! Nchi ya pili kwa utajiri wa mafuta, iko wapi leo! Tunasema hayo hayo kwa Nigeria, wingi wa mafuta na population! Lipi kubwa tunalojifunza Nigeria! Be objective mapenzi ya aina hiyo yanayoua fikra ni aina ya limbwata fulani vile, Tulimpenda Mugabe kwa mapenzi yote, kaifikisha wapi Zimbambwe,leo waliomfuata wanashindwa waanzie wapi. Naakuliza tena, hivi Rais wa sasa ana Visa na Dos Santos! Hana mapenzi na aliyemwachia madarak
Kwa Mantiki yako Wanaigeria washukuru kwa Mamilioni aliyowaibia Sani Abacha, Wazimbabwe washukuru kwa Mama Mugabe kuitwa Guchi kufanya shopping za hali juu Singapore huku wanakufa njaa, yeye akiwa kajilimbikizia hata mashamba ambayo walishindwa kuwapa wakulima maskini, Wazaire washukuru kwa mamilioni aliyochota Mobuti, kisa kaawachia kucheza license! Kweli Waafrika tuna kazi! Labda nikuulize kisa cha Mada hii ni kipi hasa? Kwa nini Wstoto wa Santos hawataki mwili wa Baba urudi Angola? Maana hiki ndicho kiini cha Mada hii..Acha ujinga, jifunze kushukuru kwa ukipatacho, unajua uzalishaji wa mafuta umeanza lini pale Angola?? Ujuaji wa kipumbavu unakusaidia nini wewe kilaza??
Idd Amin naye alizikwa Saudia.... Mobutu Seseseko Ngbendu Kuku Wazabanga; masalia yake yako Morocco.
Wabongo broda ni wasemaji sana lakin ni weupe. Na bahati mbaya hatutaki ukweli ni kujifariji tu.Umewahi kufika ANGOLA?? Au unasikia kwenye vilabu vya mbege??
Acha ujinga Angola wana uchumi imara sana kwa sera za huyo mzee, shida ilikuwa vita ya msituni ya SAVIMBI alivyouawa basi na Angola imekaa njema, hiwezi linganisha na huu ujinga Wa TZ.
Fika Angola ujione nchi ilivyojengeka haswa, bidhaa bei nafuu na uzalishaji wa Mafuta.
Kinyungu, usije Shangaa Dos Santos kuzikwa Spain,huko ndiko alipojimbilikizia mali, huko Angola sidhani kabakiza mtoto,labda aliyeko jela, ndio viongozi wa Kiafrika hao, labda watoto wa Santos wa bargain kufutiwa kesi au tuhuma za wizi ili mwili wa baba yao urudi! Naona ndio njia iliyobaki,hawawezi kuchukua mwili kwa nguvu! Waafrika tunaonekana matahiira duniani.Idd Amin naye alizikwa Saudia
Sijui tujifariji kwa lipi hapa,jamaa kafia Spain alipokimbilia baada ya kutoka uongozini,aliyebaki kachukua fagio kusafisha ufisadi aluoufanya na kufunga mtoto wake, na mwingine aliyejulikana ni tajiri Afrika kataifishiwa mali zake, na anasubiri mkondo uchukue sheria akirudi nyumbani.Labda watoto wahakikishiwe trauma za kufutwa! Halafu kuna Mbongo ana uchungu kuliko Rais aliyeachiwa madaraka na Santos, nashangazwa kwa upofu huu!Wabongo broda ni wasemaji sana lakin ni weupe. Na bahati mbaya hatutaki ukweli ni kujifariji tu.
Huyo rais yeye aliiba peke yake? Huyo aliyepo madarakan c waliiba pamoja chief. Kuna jipya gan hapo.Sijui tujifariji kwa lipi hapa,jamaa kafia Spain alipokimbilia baada ya kutoka uongozini,aliyebaki kachukua fagio kusafisha ufisadi aluoufanya na kufunga mtoto wake, na mwingine aliyejulikana ni tajiri Afrika kataifishiwa mali zake, na anasubiri mkondo uchukue sheria akirudi nyumbani.Labda watoto wahakikishiwe trauma za kufutwa! Halafu kuna Mbongo ana uchungu kuliko Rais aliyeachiwa madaraka na Santos, nashangazwa kwa upofu huu!
Hulioni? Basi iko kazi..kweli tunasafari ndefuHuyo rais yeye aliiba peke yake? Huyo aliyepo madarakan c waliiba pamoja chief. Kuna jipya gan hapo.
Na Labda alipoondoka madarakani ilibidi wamtoe kafara kutuliza hasira ya wananchi! Ila kama walikula naye wameamua kumruka, that is politics, mgogoro huu using kuwepo kama wao wasingeibua tuhuma dhidi ya uongozi wake...na tuhuma zilikuwepo muda mrefu, jamaa kichini chini alitawala kwa mkono wa chuma,wasingethubutu! Alipotoka na alijua upepo si mzuri akaelekea Spain..ndio maana mimi na wewe tuko kwenye Mada hii.Hulioni? Basi iko kazi..kweli tunasafari ndefu