Mzozo waibuka kuhusu Mazishi ya Rais wa Zamani wa Angola, Jose Dos Santos

Mzozo waibuka kuhusu Mazishi ya Rais wa Zamani wa Angola, Jose Dos Santos

Huyo anaogopa Baba yake kuzikwa Angola kwani atashindwa kuhudhuria mazishi kwasababu akikanyaga Angola tu atakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya corruption nk,
Hapa umenena vyema...
 
Acha uchuro...kwamba wa uzalendo wa kipumbavu, Kwa hiyo Usiwaseme kina Mobutu,Nguema na walichokifanyia wananchi wao kisa mapenzi ya uafrika,Somalia wanashindwa kabisa kutoka kwenye failed state.Waafrika tunashangaza sana, pence sifa toa credit, walipoboronga sema wazi,na jifunze kutoka na makosa yao! Hakuna anayekataa mchango wa Dos Santos, hasa wa kumaliza vita, baada ya hapo alifanya nini! Nchi ya pili kwa utajiri wa mafuta, iko wapi leo! Tunasema hayo hayo kwa Nigeria, wingi wa mafuta na population! Lipi kubwa tunalojifunza Nigeria! Be objective mapenzi ya aina hiyo yanayoua fikra ni aina ya limbwata fulani vile, Tulimpenda Mugabe kwa mapenzi yote, kaifikisha wapi Zimbambwe,leo waliomfuata wanashindwa waanzie wapi. Naakuliza tena, hivi Rais wa sasa ana Visa na Dos Santos! Hana mapenzi na aliyemwachia madarak
Upo sahihi kabisa mkuu Uaafrika sio kutetea maovu yafanywayo na waafrika wenzetu bali ni kuyapinga . Wakati Idd Amini anaanzisha chokochoko mpaka anatuvamia hakuna kitu umoja wa Afrika ulifanya zaifi ya kukaa kimya Mwalimu akahitubia taifa na kuulaumu umoja wa Afrika na kusema Waafrika tulipokuwa tunafanyiwa uovu na watu weupe tulihitisha maazimio na kupinga uovu huo hata wakati huu ambao Afrika Kusini makaburu wanatesa watu weusi pia tumeitisha maazimio na kupinga uovu huo na kuwaamrisha makaburu wa ache uovu huo dhidi ya watu weusi haraka Sana . Lakini leo hii ambapo Amin ametuvamia Tanzania Afrka nzima ipo kimya Ila ingekuwa ni mzungu ametuvamia watu weusi tungelalamika kwa nini tunapenda kukumbatia na kuyapaka mafuta maovu ya waafrika wenzetu dhidi ya waafrika wenzao na hatoki mstari wa mbele kuyakosoa .tunapenda kufichiana sana maovu lakini kwenye sifa tele hatupendi sifa zetu kufichwa. Kwa nini?🤔
 
Huyo rais alivyoingia madarakani alianza kuishughulikia family ya mtangulizi wake kuifilisi akiwemo bint yake ndio maana Wana hasira na huyo rais baada ya kufa Mzee ndio analeta unafiki
Wapumbavu waliigeuza nchi shamba la bibi.. Binti wa rais dos Santos aligeuka kuwa tajiri namba 1 Duniani
 
Huyo anaogopa Baba yake kuzikwa Angola kwani atashindwa kuhudhuria mazishi kwasababu akikanyaga Angola tu atakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya corruption nk,
Naam naam uko sahihi
 
Upo sahihi kabisa mkuu Uaafrika sio kutetea maovu yafanywayo na waafrika wenzetu bali ni kuyapinga . Wakati Idd Amini anaanzisha chokochoko mpaka anatuvamia hakuna kitu umoja wa Afrika ulifanya zaifi ya kukaa kimya Mwalimu akahitubia taifa na kuulaumu umoja wa Afrika na kusema Waafrika tulipokuwa tunafanyiwa uovu na watu weupe tulihitisha maazimio na kupinga uovu huo hata wakati huu ambao Afrika Kusini makaburu wanatesa watu weusi pia tumeitisha maazimio na kupinga uovu huo na kuwaamrisha makaburu wa ache uovu huo dhidi ya watu weusi haraka Sana . Lakini leo hii ambapo Amin ametuvamia Tanzania Afrka nzima ipo kimya Ila ingekuwa ni mzungu ametuvamia watu weusi tungelalamika kwa nini tunapenda kukumbatia na kuyapaka mafuta maovu ya waafrika wenzetu dhidi ya waafrika wenzao na hatoki mstari wa mbele kuyakosoa .tunapenda kufichiana sana maovu lakini kwenye sifa tele hatupendi sifa zetu kufichwa. Kwa nini?🤔
Mjamaa wa Kisasa, wengine hawaoni hivyo, maadam ni mwafrika inabidi tufunge macho,sasa sijui ndio uzalendo wa aina gani! Huyu Marehemu aliogopwa mno alipokuwa madarakani, watoto wake walikuwa miungu watu,uchumi wao mkubwa unaletwa na mafuta, akampa mwanawe Isabela, na nafasi hiyo ikamfanya mwanamke tajiri Afrika! Pesa ya wananchi wa Angola ikawa mali yake! Ndio maana serikali baada ya Santos ilitaka kujitenga kabisa na hilo.Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
 
KWELI KABISA WAAFRIKA BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA YA KWENDA ALAFU JAMBO BAYA ZAIDI HATA SAFARI YENYEWE BADO HATUJAANZA
 
cha maana cha alichofanya ni kusimamisha vita na kuanza kutajirisha yeye na familia yake!
Kwa nchi ambayo haikuweza kuifahamu amani toka 1975 baada ya Uhuru hiyo ni legacy kubwa mno kwake (kumbuka Angola iligeuka uwanja wa Vita baridi wa madola makubwa).

Hayo ya ufisadi yaliibuka baada ya nchi kuachana na falsafa za ki-marxi na kukumbatia ubepari baada ya kuisha kwa Vita baridi na anguko la Ussr.

Ukifungua dirisha kitakachoingia ndani si hewa nzuri tu hata nzi na mbu.
 
Hizo fix kila utawala utalalamikiwa tu, yaan utawale miaka 30+ afu uwe masikini?? Una akili sawasawa wewe??

Ukitawala miaka 5 tu huwezi masikini sembuse miaka 30??

Aliyekwambia Ureno walijenga sana ni nani?? Mimi nimefika Angola miaka ya 90s nchi haikaliki kisa SAVIMBI na vikundi kadhaa vya Uasi nchini Angola.

Angola imepata utulivu miaka 2000s kama ulikuwa hujui. Acha propaganda na penda bara lako, akili za kimasikini hizo kwamba kila tajiri ni fisadi.
Kwa hiyo Rais wa sasa wa Angola na Serikali yake wanampiga fix nani? Na kama ni Propaganda, mbona serikali ya Angola haijawahi kabisha kanusha! Sina chuki na tajiri,ila utajiri unaopatikana kwa kuwaibia wananchi maskini huo naukataa..wenzetu China wanaoiga risasi! Hujiulizi mbona China ina mamilioenea umesikia wamepigwa risasi!,Pesa za Akina Sani Abacha,Mobutu hazina maelezo hata kama walitawala miaka 30! Sina chuki kabisa na mtu aliyepata pesa kwa akili na jasho lake,Nampa heshima kubwa jamaa yangu.
 
Hata Rais wa kwanza wa Angola (Agustino Neto) alizikwa huko Ussr ya zamani.

Ila kwa Dos Santos aliyetawala kwa miaka 30 kumzika nje ya nchi haijaa vizuri kabisa.
... kwa siasa za Angola ya enzi za akina Neto haikuwa ajabu kuzikwa nje ya nchi yake. Dos Santos tatizo lake ufisadi aliofanya yeye na familia yake mwenyewe alijistukia hapendwi na watu wake hivyo kwamba aliacha wosia wa kutozikwa nchini kwake sio jambo la ajabu. Je, wosia wa marehemu uheshimiwe au upuuzwe?
 
mhn! kuna muda inabidi ugune si kwa kunusa kitu, lakini kwa kadri ya mshangao ya hawa watu tunaowaamini!
 
... kwa siasa za Angola ya enzi za akina Neto haikuwa ajabu kuzikwa nje ya nchi yake. Dos Santos tatizo lake ufisadi aliofanya yeye na familia yake mwenyewe alijistukia hapendwi na watu wake hivyo kwamba aliacha wosia wa kutozikwa nchini kwake sio jambo la ajabu. Je, wosia wa marehemu uheshimiwe au upuuzwe?
Maadam mwili upo Hispania, serikali ya Angola haitaweza kuuchukua kwa nguvu kutoka mikononi mwa familia.

Labda wafanye bargain kwamba mwili ukirudishwe Angola hao wanafamilia watuhumiwa wafutiwe mashitaka, ili wakirejea nyumbani wasiishie korokoroni.
 
Ukweli ni kuwa rais wa sasa anatumia nguvu nyingi kupambana na huyu binti

Ila tatizo la africa ni wizi
Wanaiba sana na kuacha wananchi na njaa zao
Alipata hizo hela wapi? Kwa kazi gani mpaka kuwa msichana tajiri Africa nzima
Yaani tatizo hata huyo Rais nae ni mwizi tu kama wengine
 
Back
Top Bottom