kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani.
Kama ukiona deal lao ni zuri sana fikiria mara mbili kwanza kabla ya kupokea.
Kama ukiona deal lao ni zuri sana fikiria mara mbili kwanza kabla ya kupokea.