Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

Mzungu akitoa nyimbo kufika billion YouTube views ni rahisi sana ukilinganisha na ngozi nyingine,,,,hata movie zao mauzo kufika billion huko ni rahisi kuliko movie za watu wengine,hawafanyi vitu kwa kukurupuka!
 
Ni mfumo wa serikali yao ndiyo umefanya iwe hivyo, angalia mzungu popote pale akiwa mistreated serikali yao inaingilia kati, ndiyo maana watu huogopa kuwatreat ovyo hakuna cha mvuto wala nini
 
Wahaya wamepewa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…