Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

Wanathaminika kutokana na waliyoyafanya katika ulimwengu huu,

, na wala hatujipendekezi bure " we angalia kati ya mzungu ama muhindi ama mwarabu jumlisha mwafrika ni yupi akifungua kampuni ama kiwanda na
Kuajiri watu " watu watafaidika wapi kama sio kwa mzungu ....

angalia hata migodi aliyowekeza nchini watu wanafaidika moja kwa moja , vp kwa mchina , mwarabu ,muhindi , mtu mweusi n.k... wapeni heshima yao bana , acheni roho za kwanini"

alokutangulia amekutangulia tu huitaji kumchukia ili nawe umfikie bali ujenge urafiki akuoneshe njia na sioni Kama ni kujipendekeza.
Mzungu mtu bwana, hizi race zingine takataka tuu
 
Mkuu, kwa mwarabu mzungu ni mchumba tu. Angalia hata wahindi huko uarabuni wanaonekana ni watu wa kawaida sana, hawana thamani, lakini mwafrika anaetoka afrika hususani Tanzania akienda nchi za kiarabu hususani omani anaheshimika sana kuliko mhindi, kazi anazofanya mhindi kwa mwarabu na mwafrika ni mwiko kuzifanya! Mwarabu na mwafrika mishahala yao the same, kwa mhindi ni tofauti mshahara anaolipwa ni mdogo sana, lakini kuna baadhi ya wabongo huwaambii kitu kwa mzungu.
Imenichukua sejunde 5 tu kujua wewe ni mzanzibari 😂😂😂 mzanzibari kwa mwarabu humwambii kitu aisee 😂😂 mzanzibari ana phd ya kumtetea mwarabu 😂😂
 
Mzungu mtu bwana, hizi race zingine takataka tuu

Ana utu gani mzungu shehe 😁 kuuwa watu wasio na hatia 😁 huku kwetu wanaonekana wema kwakua wapo ardhi yetu, huko kwao mfano marekani kila mara tunasikia weusi wanashutiwa lakini cha ajabu kuna wagalatia humu wanajifanya hawalioni hilo.
Imenichukua sejunde 5 tu kujua wewe ni mzanzibari 😂😂😂 mzanzibari kwa mwarabu humwambii kitu aisee 😂😂 mzanzibari ana phd ya kumtetea mwarabu 😂😂

Unamtetea mtu kwa hoja/facts na sio kujisemea. Mimi nimeenda uarabuni, ukweli tu ni kwamba mwafilika anathaminiwa sana kuliko mhindi, lakini baadhi ya wabantu hawatakuelewa, wazee wa "kukaririshwa hao" lakini huwa sipati tabu kujibishana nao, maana nishawasoma kinachowatesa.

Olenimala faza?

Kwa taarifa yako mimi sio mzanzibari, mimi napenda ukweli na haki.

Bhujiku ng'waka!
 
Ana utu gani mzungu shehe 😁 kuuwa watu wasio na hatia 😁 huku kwetu wanaonekana wema kwakua wapo ardhi yetu, huko kwao mfano marekani kila mara tunasikia weusi wanashutiwa lakini cha ajabu kuna wagalatia humu wanajifanya hawalioni hilo.

Unamtetea mtu kwa hoja/facts na sio kujisemea. Mimi nimeenda uarabuni, ukweli tu ni kwamba mwafilika anathaminiwa sana kuliko mhindi, lakini baadhi ya wabantu hawatakuelewa, wazee wa "kukaririshwa hao" lakini huwa sipati tabu kujibishana nao, maana nishawasoma kinachowatesa.

Olenimala faza?

Kwa taarifa yako mimi sio mzanzibari, mimi napenda ukweli na haki.

Bhujiku ng'waka!
Bora mzungu anaua race nyingine. Africans kill their own africans...so u tell me who is worse
 
Bora mzungu anaua race nyingine. Africans kill their own africans...so u tell me who is worse

Yeah waafrika wanauwana wenyewe kwa wenyewe hilo linajulikana shehe wangu, huu ukatili kuna baadhi ya watu humu n.k hawauzungumzii kabisa, mfano hapa bongo wanauana sana, kwa wazungu hakuna hicho kitu.
 
Mzungu mtu bwana...huo ndio ukweli yaani ata thinking yake unaikibali...wee sii unaona hapa tuna enjoy jf asante mzungu.
Mie wala siwalaumu wazungu kuwaona africa kama third class citizens maana unaangalia mambo tunayofanya unaona kabisa these ppl are just not smart at all.
 
Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti.

Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana.

Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali wanamsalimia. mzungu mambo, mzungu nipe tano, mzungu uko poa.

Kukiwa na foleni, unakuta mzungu anaweza kupishwa kwamba ana haraka na watu wakakubali kiroho safi, huwa wanatembea njiani na mzungu, n.k.

Mtu akiwa na rafiki wa kizungu inakuwa ni kama kacheo flani hivi kwamba anatembelewa na mzungu nyumbani kwake.

Mzungu akiendesha basi hata akikimbiza, abiria watalala fofofo, wanasema ni mtaalam wa magari.
How the LAW OF OPEN PRISON works.
Let start with a banana [emoji529] and monkeys [emoji205].
About twenty monkeys were isolated in a room where there was a banana at the top of a ladder. However, as soon as one monkey began to climb the ladder to take the banana, the other monkeys automatically received a cold shower.
Quickly, the monkeys learned that they must not climb the ladder if they want to avoid being watered. (Pavlovian association).
The shower was then completely deactivated, but the monkeys have already internalized the painful association, and did not try to approach the ladder anymore.
One of the monkeys in the room was then replaced by a new monkey, but when the new one approached the ladder, the other monkeys attacked it violently and pushed it away.
A second monkey was replaced, again it was promptly assaulted while trying to climb the ladder, including by the first replacement monkey.
The experiment was continued until all of the first monkeys, who had actually undergone the cold showers, were all replaced. Still, the monkeys didn’t try to climb the ladder to reach the banana. If any of them would try, it was promptly punished by the others, without anyone knowing why this is prohibited, despite the fact that none of the new cohort had ever undergone a cold shower.
None would try to climb the ladder!
Why? Because in their mind, it’s like that, and it has always been so.
If it were possible to speak with these monkeys and ask them why they viciously attack any who try to climb the ladder, their answer may be as follows: "I don't know, but this is how it is here; it’s our tradition our ancestors values."
These behaviors are prevalent in the minds of Africans and those of African descent.
All these behaviors that we adopt and that we repeat without necessarily knowing why.
All these fears that live in us without being able to put words as to their origins.
All these questions that we want to ask, but that die in the throat because we were told: "we don't talk about that".
We are sometimes in the same situation as these monkeys: one person tried to take the banana one day and the consequences of this act were passed on to all those who followed. This is the strength of conditioning!
That’s how Africans became Christians, Muslims, negropeans, wearing funny names and behaving like monkeys!
Ask any African why they give colonial names to their kids, and wait for a monkey answer!
Ask any African why they speak French or English to their children at home without a colonizer behind them and wait for the monkey answer!
Ask any African why they dream to go to Europe/US to become rich while their parents at home are richer than any person who ever migrated to Europe, and wait for the monkey response!
Ask any African why he wears a suit under the hot sun of Africa, and wait for the monkey response!
Ask any African leader why he/she is not pushing for an Africa national agenda, and wait for the monkey answer!
We've monkeyed until we've turned into a global ridicule, most of the time actively working unconsciously against our own best interest. . . like those monkeys!
Deconstructing that conditioning is our work. A mindset revolution has to take place.
 
Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti.

Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana.

Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali wanamsalimia. mzungu mambo, mzungu nipe tano, mzungu uko poa.

Kukiwa na foleni, unakuta mzungu anaweza kupishwa kwamba ana haraka na watu wakakubali kiroho safi, huwa wanatembea njiani na mzungu, n.k.

Mtu akiwa na rafiki wa kizungu inakuwa ni kama kacheo flani hivi kwamba anatembelewa na mzungu nyumbani kwake.

Mzungu akiendesha basi hata akikimbiza, abiria watalala fofofo, wanasema ni mtaalam wa magari.
Ni jambo la kihistoria,mtu mweusi kafanyiwa ukoloni,utumwa,kwa miaka zaidi ya 200+!!kujiamini kwake ndani kabisa,subconscious mind,kulialibiwa kwa kiwango kikubwa,
Wakati mwingine,inahitaji Elimu na exposure,kuondoa hiyo hari!!
Ukiona mzungu anatembea kwa miguu kitaa,watu watashangaa,maana tunaamini mtu mweupe(Caucasians)anastahili kuwa na vitu vizuri,magari nyumba,sasa kwanini anatembea kwa miguu!!hiyo inatokea subconsciously!!
 
Kuna Mzungu aliruhusiwa kupita geti la muhimbilii tena bila kuulizwa na hakua Hata na barakoa,,wengine hamna kupita tena bila hata kuuliza unaenda wapi!
Sasa watu wanajua kiinglishi cha ki CCM,wakianza kujibishana unadhani wataelewana?ya nini yote hayo,bora apite tu ,sisi tubaki na ingishi yetu ya nambali wani eeeeeee nambali wani ni CCM
 
Kuna Mzungu aliruhusiwa kupita geti la muhimbilii tena bila kuulizwa na hakua Hata na barakoa,,wengine hamna kupita tena bila hata kuuliza unaenda wapi!
Inawezekana mlinzi hajui lugha angemuulizaje😂😂😂
 
Unajua kuna kitu hapa hakipo sawa kwa uelewa wetu sisi na hii inatoka kwamba tujikataa wenyewe na kuna baadhi ya jamii yetu hawaamini kuwa rangi ya mwanadamu ni kama wanyama wengingine kwenye makundi mengine hawawezi kutafakari kwanini kuna ng'ombe weusi weupe na wa mabaka mabaka
 
Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti.

Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana.

Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali wanamsalimia. mzungu mambo, mzungu nipe tano, mzungu uko poa.

Kukiwa na foleni, unakuta mzungu anaweza kupishwa kwamba ana haraka na watu wakakubali kiroho safi, huwa wanatembea njiani na mzungu, n.k.

Mtu akiwa na rafiki wa kizungu inakuwa ni kama kacheo flani hivi kwamba anatembelewa na mzungu nyumbani kwake.

Mzungu akiendesha basi hata akikimbiza, abiria watalala fofofo, wanasema ni mtaalam wa magari.
Siyo kweli mi ninae mmoja ni rafiki yangu,akiendesha mi roho mkononi,hawezi na hajui
 
Nilisafari na bus Moshi Arusha, nilikuwa nimekaa na mzungu siti moja, konda hakutudai nauli.
Nilipanda daladala na wazungu wao walikuwa watatu wakaenda kukaa siti ya nyuma kabisa sasa chakustabisha waswahili wakawa wanaogopa kwenda kukaa siti moja na wazungu nilushangaa mtu anasimama wakati nyuma kwa wazungu kuna nafasi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mzungu aliruhusiwa kupita geti la muhimbilii tena bila kuulizwa na hakua Hata na barakoa,,wengine hamna kupita tena bila hata kuuliza unaenda wapi!
Niliwahi kusafiri na usafiri wa treni kuna wazungu wakawa nawao wanasafiri kwenda bara wao waliingia kwenye treni Morogoro sasa abiria tulikuwa tumejaa sasa wao wakakosa siti ya kukaa walikuwa wawili nikashangaa polisi akamuondoa Mtanzania kwenye siti ili awapishe wazungu wakae" nilijisikia vibaya mno ningekuwa mimi ningekataa kuwapisha wajae, Wa Tanzania wajinga hawa jiamini, je ingekuwa kwao wazungu wangempisha siti mtu mweusi?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa uwe kwao ndio utajua Kama hujui. Mie ningekuwa hapo muhimbili nadhani pangechimbika mpaka tungeingia naye..

Labda waliogopa ataongea kingereza wakaona apite tu
 
Wale walinzi wa Slipway kipindi cha mwaka mpya hawalipishi wazungu,,,ila mbongo,,,kanjibaii,,,,Maarabu koko wote buku10 yan Mzungu tu Ndio anaonekana anaenda kula nyie wengine mnaenda kuangalia fireworks [emoji24][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom