Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

Africa viongozi wetu ndio tatizo kubwa. Wao ndio wanaruhusu yote haya kwa maslahi yao binafsi. Sio kwamba hata sisi hatujui lengo la wazungu, tunajua vizuri hawataki Africa iendelee au kuelimika zaidi itakua ni tatizo kubwa.

Ila viongozi wetu wanawaendekeza tu
Nimeona anasema kwamba akitokea mwafrika akakataa mitego Yao lazima afe. Sasa viongozi gn hawaogopi kifo hapo😆
 
Haya ndiyo Hayati JPM aliyakataa. Labda angepata support ya viongozi wengine wa kiafrika na wakaungana tungeweza kutoboa. ..!
 
Hili suala linaonesha ni kwa kiasi gani waafrika hatuwezi kupiga hatua yoyote labda kitokee kizazi chenye kukataa kila aina ya msaada. Je, ipo siku hili litawezekana?
Tunakataaje misaada wakati tunafanywa tukope kwa lazima, na tukiikataa mikopo viongozi wanauwawa wengine wanaundiwa makundi ya waasi ili nchi zijae machafuko.
 
Ukiula ule mchele wenye virutubisho kwa nyama (wali nyama) na ukashiba hiyo tu ni dose ya tatu maana kuna chanjo na kuna dawa ingine ya malaria imeingia kazini.

Waafrika tuna hali mbaya upstairs.
 
Mzungu hana heri yoyote na mtu mweusi.Majuha kibao wanafurahia mchele wa bure toka marekani.Mzungu anaweza changanya mavi yake akatuletea akasema ni tambi.
 
Hakuna nchi inaweza kukutawala dunia ya leo, viongozi waliopo ndio wanaruhusu kutawaliwa.

Kuna tofauti kubwa ya sana ya mtu aliekuwa akijiamini kama Magufuli na siasa za leo za walamba miguu ya wazungu. Inasikitisha kuona kuna watu huko serikali awakumuelewa kwa kuweka tamaa zao mbele.

Ni sawa na kuacha milango ya nyumba wazi, halafu unamlaumu mwizi. Sasa hapo nani tatizo zaidi wewe au kibaka.
Mkuu kama umesikiliza vzr, huyu bwana anasema viongozi wanao enda tofauti na wao wanauliwa
 
Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.

mleta thread upimwe akili , jukumu la kukusanya kodi lipo chini ya viongozi wenu na pia wao ndo wana jukumu la kusimamia maliasili zenu inakuwaje swala la maendeleo yenu mutake wazungu ndo wawajibike ?
 
Hili suala linaonesha ni kwa kiasi gani waafrika hatuwezi kupiga hatua yoyote labda kitokee kizazi chenye kukataa kila aina ya msaada. Je, ipo siku hili litawezekana?
shida sio misaada bali ni kushindwa kutumia akili zetu vzr
 
Mkuu kama umesikiliza vzr, huyu bwana anasema viongozi wanao enda tofauti na wao wanauliwa
kwann wauliwe kwan wanaishi ulaya ? je nyiny raia mnashindwa nini kuwalinda?
 
Africa viongozi wetu ndio tatizo kubwa. Wao ndio wanaruhusu yote haya kwa maslahi yao binafsi. Sio kwamba hata sisi hatujui lengo la wazungu, tunajua vizuri hawataki Africa iendelee au kuelimika zaidi itakua ni tatizo kubwa.

Ila viongozi wetu wanawaendekeza tu
sio wazungu tu jamii yoyote nje ya afrika inatamani tuendelee hv hv ili wazid kutupiga , KOSA NI LETU kukumbatia viongozi wajinga wanaoshabikia mikataba isiyo na kikomo kisa tunavaa nao jezi moja ya yanga
 
kwann wauliwe kwan wanaishi ulaya ? je nyiny raia mnashindwa nini kuwalinda?
Sasa hapo una bishana na mm au unapinga alicho sema mzungu? Maana mzungu ndie aliye sema
 
Tunakataaje misaada wakati tunafanywa tukope kwa lazima, na tukiikataa mikopo viongozi wanauwawa wengine wanaundiwa makundi ya waasi ili nchi zijae machafuko.
nan anakufuata ukope acha uongo , ttzo ni WEWE NA VIONGOZ WENU WOTE NI HAMNAZO , WAPO WAJINGA WALIUNGA MKONO KUGAWA BANDARI KISA RAIS NI MVAA KOBAZ , KAMA TUNGEJAA YAJAYO TUSINGEITA KULAZIMISHA MAANA TULIKUWA NA OPTION YA SALAMA AU HATARI ILA TUKACHAGUA HATARI KISA NI WAVAA KANZU WENZETU
 
Ukiula ule mchele wenye virutubisho kwa nyama (wali nyama) na ukashiba hiyo tu ni dose ya tatu maana kuna chanjo na kuna dawa ingine ya malaria imeingia kazini.

Waafrika tuna hali mbaya upstairs.
yote hayo kwasabab ya uvivu wenu kuendana na kasi ya dunia
 
Sasa hapo una bishana na mm au unapinga alicho sema mzungu? Maana mzungu ndie aliye sema
wewe na kiongoz wako ni mbuzi jike , UNAEZAJ MLAUMU MZUNGU KWA KUMUUA KIONGOZ WAKO KWA KUKUTUMIA WW MWENYEWE ? LAWAMA ZOTE JITUPIENI WENYEW NDO MNARUHUSU YOTE HAYO

DISUNITY
NJAA YA MADARAKA
UBINAFSI WA MAENDELEO
 
Back
Top Bottom