LAPSE RATE
Member
- Oct 18, 2015
- 79
- 98
- Thread starter
-
- #21
Nimeona anasema kwamba akitokea mwafrika akakataa mitego Yao lazima afe. Sasa viongozi gn hawaogopi kifo hapo😆Africa viongozi wetu ndio tatizo kubwa. Wao ndio wanaruhusu yote haya kwa maslahi yao binafsi. Sio kwamba hata sisi hatujui lengo la wazungu, tunajua vizuri hawataki Africa iendelee au kuelimika zaidi itakua ni tatizo kubwa.
Ila viongozi wetu wanawaendekeza tu
Daah inawezekana hata Magu walimchezeshea kituNimeona anasema kwamba akitokea mwafrika akakataa mitego Yao lazima afe. Sasa viongozi gn hawaogopi kifo hapo😆
Hatari hawa jamaaDaah inawezekana hata Magu walimchezeshea kitu
Sio arekodiwa, huyo ni lecture ndio anawaaandaa kizazi Chao kijacho JE na sisi chakwetu tunakiandaa vpInasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
Tunakataaje misaada wakati tunafanywa tukope kwa lazima, na tukiikataa mikopo viongozi wanauwawa wengine wanaundiwa makundi ya waasi ili nchi zijae machafuko.Hili suala linaonesha ni kwa kiasi gani waafrika hatuwezi kupiga hatua yoyote labda kitokee kizazi chenye kukataa kila aina ya msaada. Je, ipo siku hili litawezekana?
😃😃Mzungu hana heri yoyote na mtu mweusi.Majuha kibao wanafurahia mchele wa bure toka marekani.Mzungu anaweza changanya mavi yake akatuletea akasema ni tambi.
Mkuu kama umesikiliza vzr, huyu bwana anasema viongozi wanao enda tofauti na wao wanauliwaHakuna nchi inaweza kukutawala dunia ya leo, viongozi waliopo ndio wanaruhusu kutawaliwa.
Kuna tofauti kubwa ya sana ya mtu aliekuwa akijiamini kama Magufuli na siasa za leo za walamba miguu ya wazungu. Inasikitisha kuona kuna watu huko serikali awakumuelewa kwa kuweka tamaa zao mbele.
Ni sawa na kuacha milango ya nyumba wazi, halafu unamlaumu mwizi. Sasa hapo nani tatizo zaidi wewe au kibaka.
mleta thread upimwe akili , jukumu la kukusanya kodi lipo chini ya viongozi wenu na pia wao ndo wana jukumu la kusimamia maliasili zenu inakuwaje swala la maendeleo yenu mutake wazungu ndo wawajibike ?Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
shida sio misaada bali ni kushindwa kutumia akili zetu vzrHili suala linaonesha ni kwa kiasi gani waafrika hatuwezi kupiga hatua yoyote labda kitokee kizazi chenye kukataa kila aina ya msaada. Je, ipo siku hili litawezekana?
kwann wauliwe kwan wanaishi ulaya ? je nyiny raia mnashindwa nini kuwalinda?Mkuu kama umesikiliza vzr, huyu bwana anasema viongozi wanao enda tofauti na wao wanauliwa
sio wazungu tu jamii yoyote nje ya afrika inatamani tuendelee hv hv ili wazid kutupiga , KOSA NI LETU kukumbatia viongozi wajinga wanaoshabikia mikataba isiyo na kikomo kisa tunavaa nao jezi moja ya yangaAfrica viongozi wetu ndio tatizo kubwa. Wao ndio wanaruhusu yote haya kwa maslahi yao binafsi. Sio kwamba hata sisi hatujui lengo la wazungu, tunajua vizuri hawataki Africa iendelee au kuelimika zaidi itakua ni tatizo kubwa.
Ila viongozi wetu wanawaendekeza tu
Sasa hapo una bishana na mm au unapinga alicho sema mzungu? Maana mzungu ndie aliye semakwann wauliwe kwan wanaishi ulaya ? je nyiny raia mnashindwa nini kuwalinda?
nan anakufuata ukope acha uongo , ttzo ni WEWE NA VIONGOZ WENU WOTE NI HAMNAZO , WAPO WAJINGA WALIUNGA MKONO KUGAWA BANDARI KISA RAIS NI MVAA KOBAZ , KAMA TUNGEJAA YAJAYO TUSINGEITA KULAZIMISHA MAANA TULIKUWA NA OPTION YA SALAMA AU HATARI ILA TUKACHAGUA HATARI KISA NI WAVAA KANZU WENZETUTunakataaje misaada wakati tunafanywa tukope kwa lazima, na tukiikataa mikopo viongozi wanauwawa wengine wanaundiwa makundi ya waasi ili nchi zijae machafuko.
yote hayo kwasabab ya uvivu wenu kuendana na kasi ya duniaUkiula ule mchele wenye virutubisho kwa nyama (wali nyama) na ukashiba hiyo tu ni dose ya tatu maana kuna chanjo na kuna dawa ingine ya malaria imeingia kazini.
Waafrika tuna hali mbaya upstairs.
wewe na kiongoz wako ni mbuzi jike , UNAEZAJ MLAUMU MZUNGU KWA KUMUUA KIONGOZ WAKO KWA KUKUTUMIA WW MWENYEWE ? LAWAMA ZOTE JITUPIENI WENYEW NDO MNARUHUSU YOTE HAYOSasa hapo una bishana na mm au unapinga alicho sema mzungu? Maana mzungu ndie aliye sema