Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

hayo pia mawazo yako we siulitaka ushauri ndo huo tafuta cha asili yako huko kwingine mnapigwa unafikiri hakuna wanawake wazuri kuliko wewe huko kwao mpaka aje asumbuke na wewe huyo alie kwambia dada labda ndo naniliu wanaume tunajijua.
We ungetumiwa pesa bila kuombwa ungekataa? Tuache kujivisha ngozi za kondoo bwana izo picha za pepsi hata choka mbaya wanaombwa ukituma ni upumbavu wako mwenyewe na kujikosea heshima na mwili wako.
 
Ukitimiwa pesa inakuja mimi natumiwa sana kupitia hii lakin natumiwa na rafikiangu na dada yangu! Lakin sijajua kutoka huku Tz kwenda nchi nyingine kama inafanya kazi
Tz huwezi kutuma isipokuwa kupokea to
 
Hapana, kama nimeolewa sita cheat. Siwezi kucheat kwenye ndoa yangu labda aanze yeye[emoji23].

Ila eti sijaolewa halafu niteseke na fursa naziona?
 

Ndio hivyo dada Mungu akikuletea bahati basi ni kujaribu kuomba iwe yako kweli.
 
hayo pia mawazo yako we siulitaka ushauri ndo huo tafuta cha asili yako huko kwingine mnapigwa unafikiri hakuna wanawake wazuri kuliko wewe huko kwao mpaka aje asumbuke na wewe huyo alie kwambia dada labda ndo naniliu wanaume tunajijua.

Kila mtu ana machaguo yake ndio maana wewe unawezekana ikampenda msichana nje ya kabila lako na mkaishi kwa amani tu...kwao ni kweli wapo ila akaamua kunitafuta tukafika hapo tulipofika either tuendelee au la anaweza akmpata mwngne nje ya asili yake na akampenda vile vile interacial love ni kitu cha kawaida hayachagui asili au nini ni wewe tu kua unavutiwa na vitu gani hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…