Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Cha kwanza nilichokiona tu kwako una tatizo la njaa kwenye mahusiano sio rahisi kwa mtu wa kawaida kukwambia hilo ila most girls wanaowinda wazungu huwa ni sababu ya njaa tu na si kingine. Cha pili tuliza mshono.

Huyo jamaa atakutafuta tu usioneshe kuwa demanding sana huwa mambo yanaendaga smooth tu!
Umepiga penyewe. Mengine ni kupotezeana time. Atulize akienda ovyo linasanuka
 
One of the key lessons this life offers is " Nothing is permanent". Move on sister,your expectations will push you into more pain and disppointment. He was there for you and now you are no longer a priority. Accept is in your heart and look for other options. Life is never short of goof men. Pole sana dada.
 
Kuna wenzio WA KIUME wengi tu wanaolewa na kusukwa nywele na vibibi vya kizungu hapa Arusha kwa sababu ya NJAA.

Anyway pambana tupate Shemeji
 
Habari za leo wanajamvi!

Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.

Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo yake katika maisha basi na ana machaguo yake katika maisha km ambavyo mtu
Tulia basi dah
 
Column yakwanza sijapenda ulivyomchana ila ya pili umempa ushauri mzuri tu.

Sio kwamba mtu anaetafuta mtu wa nje ya nchi yake ana njaa km unavyosema bali yeye kasema anapenda mahusiano yake yawe na mtu wa aina ile
Sawa kabisa
 
Kwahiyo sasa hivi ukipata mzungu amekuelewa na ana mkwanja mrefu haukubali? Unaendelea kubaki na sisi akina mwajey wa buza? Kuonesha uzalendo?
Eeh nimegundua akina mwajey mna udongo special sana😅 ntakomaa nanyie kuonesha uzalendo
 
Safi sana, usiwasikilize.
Hata mimi ningepata hiyo fursa nisingelazia damu. Huoni hata siku hizi wanaume wanadanga kwa majimama? Si unaona hata yule mume wa mama Diamond?. Ukipata fursa chomoka nayo, kuliko kuwapa akina Abdala pussy yako na bado hawana adabu.
Naona mapenzi yamechukua sura mpya sikuhizi! 😅😅😅 Vijana mnadanga kwa kupokezana vijiti waume kwa wakike😅
 
Umepiga penyewe. Mengine ni kupotezeana time. Atulize akienda ovyo linasanuka

Kukutoa kwenye mindset yako inahitaji nguvu kubwa sana ambayo kwa ss hv sina...anyways asante kwa mawazo yako pia mkuu.
 
One of the key lessons this life offers is " Nothing is permanent". Move on sister,your expectations will push you into more pain and disppointment. He was there for you and now you are no longer a priority. Accept is in your heart and look for other options. Life is never short of goof men. Pole sana dada.

Thanks bro asante kwa ushauri wako[emoji120]
 
Kuna wenzio WA KIUME wengi tu wanaolewa na kusukwa nywele na vibibi vya kizungu hapa Arusha kwa sababu ya NJAA.

Anyway pambana tupate Shemeji

Dah maskini! Kumbe sababu ya njaa...Mungu awasaidie tu kwa mweli watoke kwenye hicho kifungo wasiwe watumwa wa ngono sababu ya njaa.
 
Dah maskini! Kumbe sababu ya njaa...Mungu awasaidie tu kwa mweli watoke kwenye hicho kifungo wasiwe watumwa wa ngono sababu ya njaa.

Mkuu Kwa hiyo huna holder temporal hapa Nyumbani , [emoji23]
 
Kumbe! Nilikua sijui kaka yangu sikuwah kupokea cm kutokea nje nadhani alielewa ndio maana akaamua kudownload tu hiyo worldremit.
Nasi ndio hivyo western union unaenda bank yoyote yenye hizo huduma unavuta mpunga tu
 
Back
Top Bottom