- Thread starter
- #161
Tulia tu siku akipata joto la bongo huwa awachomoki hao.
Hahahaha ngoja tuone itavyokua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia tu siku akipata joto la bongo huwa awachomoki hao.
Nasi ndio hivyo western union unaenda bank yoyote yenye hizo huduma unavuta mpunga tu
Acha dating na watu usiowajua, watu ambao asimilimia za kukufanyia unyama ni nyingi kuliko upendo wa kweli.
Hivi kweli mtu mnaweza pendana kindezi namna hiyo kupitia mitandao tu, bora ingekua kitambo tena kipindi hiki ambacho ulaghai ni mwingi.
Kua makini, kaa chingo huenda unatengenezwa. Hatokuja yeye ila atakutaka wewe uende.
World remit Tanzania imo. Nimeitumia sana. Pia nyingine ni Remitly na SendWaveHiyo world Remit mbona kwenye nchi zilizo kwenye orodha Tanzania haimo
Mswazi angepotezewa wala isingemuumaPenz la mwanzo Lina kimuhemuhe chake
Anyway angekuwa mswahili mwenzako hata usingekuja huku kuuliza
Ngoja akutumie nauli uende ujikute kwenye usambazaj wa sembe au madanguro
Sikutishi ila muda mwalimu mzuri sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Just cash!! Only cash !!
Uko fasta sana kupokea hela kwa mwanaume alie na interest na wewe !!?
Please women ,taratibu basi mnajishushs kiivyo fasta tu within two weeks mtu ashakula muamala daah!!.
Kwani huwezi huwezi kataaa!! Kuonesha your financially independent huna shida na cash!!
Daah ila haya bhana!!
Sio ajabu jamaa kajikata
Mswazi angepotezewa wala isingemuuma
Watu wanataka waoshe! Waibuke pande na oslo [emoji2][emoji3577]
We mswazi utaishia kumpeleka buza kwa mpalange[emoji2]
Kipwinto ndo kinini we jamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuliza kipwinto wewe mdada usije ukalikoroga...
Swali la kizushi, kwa nini mmekuwa mki chat tu na si kupigiana simu?
Kipwinto ndo kinini we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni machaguo tu kaka yangu ni km mtu apende wadada wembamba wakati vibonge wapo au apende mwenye mguu wa bia wakati wenye miguu isiyo na nyama sana wapo! So its all about choices tu kaka yangu.
Ongezea na kufyatua vitoto vizuri vizuri [emoji3526]...
Kwa mbongo ukifyatua tu katoto, wanaanza kukafananisha sijui na babu wa ngapi huko...
Kipwinto ndo kinini we jamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wazungu wenyewe si kwamba wana hela nyingi km watu wanavyodhami ila ni sababu tu wametengenezwa kua hardworkers tangia wakiwa wadogo..hukunikwaza chochote bro uliongea ukweli.
Acha tu jamani[emoji23] ongezea kutoendekeza ushirikina.
Vipi dada angu? je na wewe ni mrembo lakini?Tunawataka tu jamani sema mimi dada yako napenda sana wake majamaa weupe[emoji16][emoji16], tena awe slim halafu tall hahaha navitiwa nao for sure no need to hide.
Kimbisa it ain't all about hardworking and stuff...
Mfumo wa kipebari ndio unasababisha wenzetu wasibweteke, inakulazimu ulipie kila kitu kasoro labda hewa tu...
Hivyo mtu ili aishi, asijikute matatani kwenye mikono ya sheria inampasa apige mzigo...
Kibongo bongo unaweza ukawa hata mkaidi, ukawa mtu wa vizinga, au ukaenda hata kujifanya mateka kwa ndugu huku ukisaka michongo...
Hahah...lakini sasa bahati mbaya wanawake wetu ninyi ndio mnaongoza kwenda kwa mafundi
Vipi dada angu? je na wewe ni mrembo lakini?