Mzungu kakataa Mimba

Usilazimishe tufanane maisha kijana
 
Wengi wanaona kila mzungu anayo pesa .
 
Wanawake wengi wa kiafrica wana ubinafsi. Kubeba mimba bila kumshirikisha mwenzio sio mchongo. Wengine hawajajiandaa kuwa kina baba au kuongeza watoto so dada zetu hili mlijue
 
Ukajibebesha mimba chap ukajua umeula kwa mzungu, hata wazungu wamatumbi (Kataa ndoa) wapo 😹😹🤣🤣
 
Mjungu...........hapo ndio ujue jamaa alikuwa for fun wakati wewe umepania...........unafikiri kira visa inatoa yai mengine kichina............masikini kaichapa weweeeee na hivi alijua kuwa mmekutana tagged ..........not seriously dating site............pole yako mwaego.........lakini si ushapata ki half cast chako kilee kitakusaidia baadaye
 
Ndoto za wasichana wa tz kupata mtoto wa kizungu hongera [emoji480]
 
Tamaa za wazungu; hakuwaona watanzania wenzake?
 
"sio mimbaaa mamaa, unaikosea jina lake. inaitwa MIMMBAAAAA"
 
Huyu ni wewe! Ushauri wangu Lea mimba zaa pambana na maisha! angalau unabakiwa na ukumbusho wa kudangia wazungu
 
Unfortunately 😕
 
Hahaha kuna jamaa yangu ana tutoto tuwili tushombe twa kufikia twa kizungu!..mzungu alipiga mashine akalala mbele akamuacha single maza na tutoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…