Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilazimishe tufanane maisha kijanaSIjui huwa anatuchukuliaje watu na maisha yetu? 🤣🤣🤣
Maana mleta stori siku zote stori zake ni zile za high level of life. Alafu huwa zinamtesa sana na sijui kwann huwa habadiriki.
Story zetu zinaeleweka kubeti, simu yangu infinix inapata sana joto, nimeibiwa pochi kwenye daladala na mwendokasi unachelewa sana kuja kituoni 😂😂😂
Punguza chai basi hapo ulipo una stress kibao bado unaleta chai na watu wanakupiga spana unazidi kujiongezea stress tuUsilazimishe tufanane maisha kijana
Wengi wanaona kila mzungu anayo pesa .Kuna mdada mmoja ngeli ilikuwa inampinga chenga ila anajifanya mjuaji na dharau hatari.
wahuni tukawa tunamchora tu kwenye side mirror, sasa Kuna siku akakutana na mzungu napita zangu nashangaa binti ananiita eti nimsaidie kuongea na mzungu yeye hamuelew.
Mimi nikamwambia Ili mambo yasiwe mengi wewe usiongee naye maneno mengi sema tu " One Dollar"
Basi Kila mzungu akiongea demu anajibu one dollar, mzungu akamshika mkono akaingia naye room demu akapewa 1 dollar yake anaenda kubadilisha anashangaa anapewa Tzs 2500/= basi mpaka Leo tunamuita 1 dollar na hana hamu Tena na wazungu.
Mzungu mwenye pesa kwanza hajichanganyi na mademu wa uswahilini halafu mleta huu uzi katudanganya. Eti dating site mara blah blah yaani mabinti wenye element za umalaya ni tabu tu.Wengi wanaona kila mzungu anayo pesa .
Uzi ufungwe 😹😹😹JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..
Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Tamaa za wazungu; hakuwaona watanzania wenzake?Hi guys,
Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .
Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .
Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .
So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.
Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
HunijuiPunguza chai basi hapo ulipo una stress kibao bado unaleta chai na watu wanakupiga spana unazidi kujiongezea stress tu
Ni hivi humu Jamiiforums ni tofauti na magroup ya WhatsApp kwahiyo jiandae kupata kila aina ya replies.Hunijui
Achana na mimi kijana
Unfortunately 😕Hi guys,
Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .
Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .
Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .
So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.
Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Muuzaji kauziwa leoNdugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.