Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

Nitawapa mrejesho nikifanikiwa kuzirudisha
 
Atakuwa amesharipoti kupotewa Kama ni vito vya thamani.

Itunze kwanza uone
 
Ila ww Mzee [emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji482][emoji28][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]



We polisi nn
Hivyo ni vitabu vya sheria jamaa yangu na kila mtu anapaswa kujua hayo bila kujali kasoma sheria au hajasoma, ukiwa na uelewa wa kitu fulani waelimishe wenzako wasije kuingia matatizoni kwa kutukujua maana kwenye sheria neno ' nilikuwa sijui ' sio kinga '' (IGNORANTIA JURIS NON EXCUSANT)
 
Acha wizi irudishe kwa wenye mradi hapo mwenyewe atakuja kuichukua
 
Alimpata mhusika?
eeh bana,kuna waislam wameiva aisee.

yule bwana alitangaza ameokota kibegi kina mzigo wa $ ambao ukibadilishwa kama wa 150ml,halafu akatangaza vigezo,kwamba ukija useme kibegi kilikuwa na nini na nini zaidi ya hela zilizokuwepo,ni cha rangi gani,na pia kilisahaulika wapi[emoji1][emoji1]

jamaa alipatikana kama wiki baadae hivi.[emoji23]
 
Ingekuwa hivi:
Mwafrica kasahau kipochi chenye Pete majibu yangekuwaje?
 
Rudi ulipoviokota, waulize wahusika, mrudishie huyo mama vitu vyake! huenda MUNGU ana kukonect na miasha mazuri ambayo hukuwahi kuyaota!
 
Oky naona wengi wanasema rudisha rudisha rudisha. Nitapita pale niache namba zangu na maelekezo incase wakivitafuta nitarudisha.
Ila naomba isiwe hivyo.
Acha uzembe wewe...chakuokota si chakuiba kauze upunguze ukali wa maisha yako, kwanza hao wazungu ni mabeberu
 
Wabongo hapo ndo tunapokosaga trust.Mkuu fanya hima umrudishie huyo Mzungu
 
Masonara wanaenda kukufunza ulimwengu, wangese sana wale jamaa, yaani wanaenda kukutia dole.
 
sheria ya kuokota.
1. kitangazwe kile kilichookotwa
2. kama hajatokezea mwenyewe ubaki nacho kwa muda wa mwaka mmoja.
3.baada ya mwaka kupita hajapatikana mwenyewe, ukipeleke kwenye baytul maal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…