Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

Ana moyo sana anaona sio za kwake jamaa sijui alimpa zawadi nini?
 
Mbona kama Ni white gold ambayo imenakshiwa na diamonds???Mawazo yangu ni kwamba zingekuwa ni Pete ambazo hazina thamani angezivaa,wala asingezivua aziweke kwenye kipochi
Kweli kabisa
 
Hii mbinu umeibadilisha kidogo. Wenzio huwa wanasema wazungu/watalii wamepata ajali so wameokota pete wanatafuta pa kwenda uza
 
Hii mbinu umeibadilisha kidogo. Wenzio huwa wanasema wazungu/watalii wamepata ajali so wameokota pete wanatafuta pa kwenda uza
Ok wakishasema wanatafuta pakwenda kuuza, inakuwaje baada ya hapo
 
Acha wizi kijana, fanya mchakato wa kurudisha amana za watu
 
Ni kireno au ki italiano
 
Waislamu kivipi
 
Maisha bado yapo kumbuka hasi na chanya tunazitengeneza wenyewe ...Karma is bitch...!!!!
Jasiri hufa mara moja na ndio kifo chake cha kweli, ila muoga hufa mara nyingi kabla kifo chake cha kweli hakija mfika. Kila kitu hupangwa na Mungu kijana hajaiba ameokota na aangalie thamani ya hivyo vitu ikiwa viko ndani ya uwezo wake kuvimiliki basi anaweza kuvirudisha lakini kama hana uwezo wa kuvimiliki kwa nguvu zake basi asirudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…