Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ana moyo sana anaona sio za kwake jamaa sijui alimpa zawadi nini?eeh bana,kuna waislam wameiva aisee.
yule bwana alitangaza ameokota kibegi kina mzigo wa $ ambao ukibadilishwa kama wa 150ml,halafu akatangaza vigezo,kwamba ukija useme kibegi kilikuwa na nini na nini zaidi ya hela zilizokuwepo,ni cha rangi gani,na pia kilisahaulika wapi[emoji1][emoji1]
jamaa alipatikana kama wiki baadae hivi.[emoji23]