Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira.

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.

Ukija kwa upande wa wanyama, sehemu salama zaidi kuishi ni kwa wazungu. Hapo zamani nilijuaga wanyama huwa ni kwajili ya kuwatumia kwenye kazi (ulinzi na kulima ) au kuwafuga kwajili ya kuuza maziwa na nyama. Ni baada ya kuona kwenye TV wazungu wakijali wanyama hadi kuwapa haki zao ndipo nilipojua kuna watu wanajali wanyama. huku kwetu wanyama kama mbwa, paka, mbuzi, n.k. wanapitia msoto mkali sana.
 
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, wadada wengi wakienda nchi hizo kufanya kazi za housegirl hulalaika kuteswa, ncchi kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo za mwisho kuharamisha utumwa

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko utaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi, kodi zinakusanywa, misaada tunapewa, mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo, ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana.
Sahihi kabisa
 
Jamaa mmoja black huwa anasema wazungu wazae watoto sana kwasababu bila wao civilization ya dunia inaenda kufa.
Na ndicho kinachoendelea Ulaya

Majiji mengi sana Ulaya sikuhizi yamejaa wahamiaji tena wengi ambao hawana vibali,

Wazungu wakiwa na mtoto ni moja au wawili, imeisha hivyo, wahamiaji wanazaliana sana na wengi zaidi wanahamia,
 
Wazungu wameleta modern economy.
Unalipwa vizuri na kuishi vizuri na muda mchache wa kuenjoy maisha, lakini pia ukituliza akili unaweza kujinasua kwenye utumwa kifupi wameleta kitu inaitwa open game.

Arabs, Indians, Africans, Chinese, etc bado tuko zama za mawe na matumizi ya mbinu za kizamani za utumwa, ndio mtu kutoka kwenye hizo race akibehave tofauti tunamuita ana roho ya kizungu.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan
 
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalaika kunyanyaswa, nchi kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Wazungu😀
 
Ukinda nchi kama Marekani wamarekani weusi hulalamika utumwa lakini wanasahau utumwa enzi hizo ulikuwepo dunia nzima, hata sisi kwa sisi tumetumikishana sana hapa Afrika na wana bahati hawakupelekwa mashariki ya kati, huko walikuwa wananyofoa vizazi hakuna kubakiza watoto.
Hutaki walalamike ?
 
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalaika kunyanyaswa, nchi kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Ni kweli lakini wenye dini zao na makabila yao watakuandama.

WaAfrica hawezi kufikiria kuifikisha dunia mbali. Zaidi ya raha ya wakati alionao. Hawazi kuacha kumbukumbu duniani. Anawaza leo yake.
 
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalaika kunyanyaswa, nchi kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Mfano mzuri tu hapa Denmark ni Pepo hata kwa mtu mweusi hadi wanyama. Ila iliwachukua muda kuwa hivi walikuwaga makatili sana zamani na mfumo dume wanawake walinyanyaswa Sana.
 
Hv mkuu unaujua ukatili walionao watu wenye asili ya uarabun dhidi ya ngozi nyeus
Ndio naujua ukatili wa waarabu,wayahudi,wachina,wajapan,wazungu,waafrika

Mkuu unaweza kuniambia huyu aliye watendea hivi watu hawa alikuwa nani ?
urn_cambridge.org_id_binary-alt_20180930125748-16272-mediumThumb-11658fig5_12.jpg
 
Back
Top Bottom