Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

Ndo maana hata wachina Na waarabu wanazamia nchi za wazungu na kuomba hifadhi ya ukimbizi. Lakini hakuna hata mzungu mmoja anazamia china ama uarabuni kuomba ukimbizi.
Wazungu waombe ukimbizi wa nini ?
 
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
uko sahihi kabisa.
Lakini utashangaa kuona wapumbavu kadhaa humu jukwaani wanakuja kumshangilia irani ,hamas ,yani mambo ya kifala fala sana.
 
Ulitaka ashangiliwe nani ? Israel ?
 
Mfano mzuri tu haps Denmark ni Pepo hata kwa mtu mweusi hadi wanyama. Ila iliwachukua muda kuwa hivi walikuwaga makatili Sana zamani na mfumo dume wanawake walinyanyaswa Sana.
Kaka wazungu ni blessed sana.

Imagine umesoma zako degree ya STEM kwenye vyuo top 20 USA unachukua zako OPT unapata kazi kama quantitive analyst, unachukua h1-b, ushakuwa billionaire.

Dah.
 
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,

Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.

Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.

Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Yes ubinafsi umetawala sana ,na hakuna watu wanaoongoza kwa ubinafsi kama wa Tanganyika, wanzanzibar wako vizuri wanalindana sana
 
Ndio naujua ukatili wa waarabu,wayahudi,wachina,wajapan,wazungu,waafrika

Mkuu unaweza kuniambia huyu aliye watendea hivi watu hawa alikuwa nani ?View attachment 3439220
Zamani utumwa ulikuwepo duniani kote hata humu Tanzania, hio kukata mikono ilikuwa kawaida, waarabu walikuwa wananyofoa vizazi kabisa mtumwa asiache watoto.

Mzungu kaweka mchango wake mkubwa kuona utumwa haukuwa sahihi akaupiga stop duniani kote lakini kulikuwa na upinzani mkali kutoka kwa waarabu, mpaka leo kwenye nchi za kiarabu kuna visa kibao vya waafrika kutumikishwa kitumw, unafika unanyanganywa passport unaanza kupigishwa kazi nzito.
 
Zamani utumwa ulikuwepo duniani kote hata humu Tanzania, hio kukata mikono ilikuwa kawaida, waarabu walikuwa wananyofoa vizazi kabisa mtumwa asiache watoto.

Utumwa ulipigwa marufuku na wazungu
Una fahamu wanao fadhili mauaji ya kutisha ya Gaza ni watu gani ?
 
Back
Top Bottom