mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hicho kibabu hapo washington kilivyokaza sasa.Mkuu unajisema wewe tu. Upo zako hapo tesla unakunja mshiko wa maana😆
Nasikia kinataka kizuie uraia wa kuzaliwa.

Marekani ina mabilionea wangapi ukilinganisha na population yake ?Kwa marekani ni rahisi kuliko nchi yeyote ile.
40% ya mamilionea wa dola wanaishi US.
Ni wewe tu upambane uwe kipanga usome vyuo vyao vikubwa.
Population ni 300m+Marekani ina mabilionea wangapi ukilinganisha na population yake ?
Wakizuia uraia wa kuzaliwa kuna tatizo gani ikiwa nchi nyingi hawaruhusu uraia wa kuzaliwa ?Hicho kibabu hapo washington kilivyokaza sasa.
Nasikia kinataka kizuie uraia wa kuzaliwa.
Inazidi kuwa ngumu kuhamia kule.Wakizuia uraia wa kuzaliwa kuna tatizo gani ikiwa nchi nyingi hawaruhusu uraia wa kuzaliwa ?
Sio rahisi kuwa Billionaire marekani sisemi haiwezekani ila sio rahisiPopulation ni 300m+
Dollar millionaires ni 20m+
Mwaka jana marekani ilikuwa inatengeneza mamilionea wa dola takriban 1,000 kwa siku.
Marekani ina changamoto lakini ni mbinguni aisee ukilinganisha na huku kwingine.
Mwanajamvi mwenzetu Busu la Kenge anazikunja huko kwenye data centres za phoenix arizona akija huku ni bonge la don...
Rahisi kuliko tz.Sio rahisi kuwa Billionaire marekani sisemi haiwezekani ila sio rahisi
Huku bara la kiza vyama vya ukombozi vimegeuka watesi wakubwa wa wananchi wao. Ni huzuni.Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.
Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.
Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Huu ni ukweli kabisa.Jamaa mmoja black huwa anasema wazungu wazae watoto sana kwasababu bila wao civilization ya dunia inaenda kufa.
Sio rahisi kuwa bilionea sehemu yoyote ile lakini Marekani na nchi za ulaya ndio sehemu zinazoongoza kwa uwezekano mkubwa wa watu kuwa mabilionea kuzidi sehemu nyingine.Sio rahisi kuwa Billionaire marekani sisemi haiwezekani ila sio rahisi
Kwani hata ajira si unasikiaga kelele za mambo ya Wahindi, Wachina na Weusi.Ndiyo maana kuna uzunguni kila mkoa,maisha ni ya kizungu,mbwa wa kizungu,kuku wa kuzungu,mara tajiri ana roho nzuri analipa kizungu na siyo kiarabu,kihindi,kiafrica wala kichina.Kizuri hakifichiki.
Hata kushoboka na nchi za kiarabu,Wazungu waombe ukimbizi wa nini ?
Ukabila Tanzania ni 38% tu ipo hivi MGANDA hakupangishi kama sio MGANDA mwenzie Mhutu kwa Mhutu, Mtusi kwa Mtusi Kenya usiseme Tanzania hii inshu ni ndogo sana na utaikuta VIJIJINI huko sema huna pesa tafuta pesa wote watakufuataWachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.
Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.
Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Wewe umekuwaje programmed na elimu ya Mzungu?Uzi ukiutizama juu juu n hoja nzuri sana,,, ila ukituliza akili utagundua mambo n opposite na kinachozungumzwa hapa!!
Adui akija kwako akachukua pesa zako zote za akiba na akakukataza kutafuta Yani ukae usuburi kufa njaa... then ilipofika siku ya tatu akaja na kipande cha mkate akakupatia ule ili usife
Utamshukuru?
Utamlaani!
Utamsifia anaroho nzuri?
Hawa washenzi wametuprogram, kwanzia kwenye elim, politics, lifestyle, namna ya kufikiria etc
Na ukienda against na hii system wanakuondoa
Kwahyo tatizo la sisi waafrica n hawa wazungu japo kwa nje n kama wanatusaidia ila deep down hawa n moja ya sabb ya magum ya Africa Leo hii
Kwakweli✌️Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,