- Thread starter
- #61
Toa elimu ya mzungu utajua kusoma, kuandika na kuhesabu ?Uzi ukiutizama juu juu n hoja nzuri sana,,, ila ukituliza akili utagundua mambo n opposite na kinachozungumzwa hapa!!
Adui akija kwako akachukua pesa zako zote za akiba na akakukataza kutafuta Yani ukae usuburi kufa njaa... then ilipofika siku ya tatu akaja na kipande cha mkate akakupatia ule ili usife
Utamshukuru?
Utamlaani!
Utamsifia anaroho nzuri?
Hawa washenzi wametuprogram, kwanzia kwenye elim, politics, lifestyle, namna ya kufikiria etc
Na ukienda against na hii system wanakuondoa
Kwahyo tatizo la sisi waafrica n hawa wazungu japo kwa nje n kama wanatusaidia ila deep down hawa n moja ya sabb ya magum ya Africa Leo hii
Toa siasa za mzungu tuondoe Democracy turudishe machifu wa makabila ?
Ni hao hao wazungu wametupa misaada kibao tangu enzi za uhuru inayoishia kuwa zawadi za wanafamilia wa viongozi, kosa lao lipo wapi ? wahindi na wachina wameweza kuitumia vizuri wamejikomboa.
Wametu program kwamba kichwa chako hakina akili ya kujiongeza unachoambiwa ?
Waafrika matatizo yetu mengi ni sisi wenyewe, kama kutawaliwa hata wachina na wahindi walitawaliwa, leo hii sio wenzetu,