Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Ndo maana hata wachina Na waarabu wanazamia nchi za wazungu na kuomba hifadhi ya ukimbizi. Lakini hakuna hata mzungu mmoja anazamia china ama uarabuni kuomba ukimbizi.Wazungu😀
Ilikuwa zamani.Ndio naujua ukatili wa waarabu,wayahudi,wachina,wajapan,wazungu,waafrika
Mkuu unaweza kuniambia huyu aliye watendea hivi watu hawa alikuwa nani ?View attachment 3439220
Wazungu waombe ukimbizi wa nini ?Ndo maana hata wachina Na waarabu wanazamia nchi za wazungu na kuomba hifadhi ya ukimbizi. Lakini hakuna hata mzungu mmoja anazamia china ama uarabuni kuomba ukimbizi.
Hawakuwa wazungu ? Na ipi tafsiri ya zamani ?Ilikuwa zamani.
China NI hovyo tu hata ukiwa mbishiHawakuwa wazungu ? Na ipi tafsiri ya zamani ?
uko sahihi kabisa.Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.
Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.
Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Huwa una matatizo ya akili mkuu ?China NI hovyo tu hata ukiwa mbishi
Ulitaka ashangiliwe nani ? Israel ?uko sahihi kabisa.
Lakini utashangaa kuona wapumbavu kadhaa humu jukwaani wanakuja kumshangilia irani ,hamas ,yani mambo ya kifala fala sana.
Kaka wazungu ni blessed sana.Mfano mzuri tu haps Denmark ni Pepo hata kwa mtu mweusi hadi wanyama. Ila iliwachukua muda kuwa hivi walikuwaga makatili Sana zamani na mfumo dume wanawake walinyanyaswa Sana.
Yes ubinafsi umetawala sana ,na hakuna watu wanaoongoza kwa ubinafsi kama wa Tanganyika, wanzanzibar wako vizuri wanalindana sanaWachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu,
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa inaendelea, nchi za kiarabu ndizo zilikuwa za mwisho kuharamisha utumwa, Waafrika walioweza kuoa waarabu wachache sana.
Wahindi wana balaa, huko India waislamu na wakristo wanapata taabu sana kuanzia kuuawa, kubakwa, kuchomewa makanisa na misikiti, n.k. Leo hii India wachungaji wengi wanauawa au kufungwa jela kwa kupewa kesi ya kuwabadili wahindi imani zao.
Waafrika tunasumbuliwa na ukabila, kila mtu yupo proud kuinua kabila lake kuliko umoja wa kitaifa, tuna tatizo kubwa zaidi kwenye uongozi - kodi zinakusanywa, misaada tunapewa na mikopo tunapewa lakini hakuna maendeleo ni wizi kwa kwenda mbele bila kuwajibishana, Tumezungukwa na vyanzo kibao vya maji lakini mpaka leo maji ya bomba na umeme ni shida.
Wanasema tupo kwenye hatua ya kujitambulisha ili jamii nyingine itutambue.Kiaina umeongea ukweli waafrika bado hatujajitambua kabisa!
wewe pumbavu kama una shida ya akili kapimwe,siongei na watu ambao hawana akili.Ulitaka ashangiliwe nani ? Israel ?
Ni rahisi sana kuwa billionaire etii ?😀Kaka wazungu ni blessed sana.
Imagine umesoma zako degree ya STEM kwenye vyuo top 20 USA unachukua zako OPT unapata kazi kama quantitive analyst, unachukua h1-b, ushakuwa billionaire.
Dah.
Mkuu unajisema wewe tu. Upo zako hapo tesla unakunja mshiko wa maana😆Kaka wazungu ni blessed sana.
Imagine umesoma zako degree ya STEM kwenye vyuo top 20 USA unachukua zako OPT unapata kazi kama quantitive analyst, unachukua h1-b, ushakuwa billionaire.
Dah.
Wewe una akili ?wewe pumbavu kama una shida ya akili kapimwe,siongei na watu ambao hawana akili.
Zamani utumwa ulikuwepo duniani kote hata humu Tanzania, hio kukata mikono ilikuwa kawaida, waarabu walikuwa wananyofoa vizazi kabisa mtumwa asiache watoto.Ndio naujua ukatili wa waarabu,wayahudi,wachina,wajapan,wazungu,waafrika
Mkuu unaweza kuniambia huyu aliye watendea hivi watu hawa alikuwa nani ?View attachment 3439220
nenda huko iran kwa wenye IQ ndogo kama wewe ukashangilie vizuri.Wewe una akili ?
Kwa marekani ni rahisi kuliko nchi yeyote ile.Ni rahisi sana kuwa billionaire etii ?😀
Una fahamu wanao fadhili mauaji ya kutisha ya Gaza ni watu gani ?Zamani utumwa ulikuwepo duniani kote hata humu Tanzania, hio kukata mikono ilikuwa kawaida, waarabu walikuwa wananyofoa vizazi kabisa mtumwa asiache watoto.
Utumwa ulipigwa marufuku na wazungu
nenda huko iran kwa wenye IQ ndogo kama wewe ukashangilie vizuri.
Okwewe pumbavu kama una shida ya akili kapimwe,siongei na watu ambao hawana akili.