Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

Marekani ina mabilionea wangapi ukilinganisha na population yake ?
Population ni 300m+

Dollar millionaires ni 20m+

Mwaka jana marekani ilikuwa inatengeneza mamilionea wa dola takriban 1,000 kwa siku.

Marekani ina changamoto lakini ni mbinguni aisee ukilinganisha na huku kwingine.

Mwanajamvi mwenzetu Busu la Kenge anazikunja huko kwenye data centres za phoenix arizona akija huku ni bonge la don...
 
Hicho kibabu hapo washington kilivyokaza sasa.

Nasikia kinataka kizuie uraia wa kuzaliwa.
Wakizuia uraia wa kuzaliwa kuna tatizo gani ikiwa nchi nyingi hawaruhusu uraia wa kuzaliwa ?

Hapa Tanzania mngefurahi kungekuwa na huo uraia, yani nchi kibao wanakuja kuzalia Tanzania halafu watoto wanapewa uraia wa Tanzania.
 
Waafrika wanaweza kuona wenzao huko Darfur wanakufa njaa, mahindi wanayo lakini hata hawajali. Ila wenyewe wapewagwe tu.
 
Sio rahisi kuwa Billionaire marekani sisemi haiwezekani ila sio rahisi
 
Ndiyo maana kuna uzunguni kila mkoa,maisha ni ya kizungu,mbwa wa kizungu,kuku wa kuzungu,mara tajiri ana roho nzuri analipa kizungu na siyo kiarabu,kihindi,kiafrica wala kichina.Kizuri hakifichiki.
 
Huku bara la kiza vyama vya ukombozi vimegeuka watesi wakubwa wa wananchi wao. Ni huzuni.
 
Sio rahisi kuwa Billionaire marekani sisemi haiwezekani ila sio rahisi
Sio rahisi kuwa bilionea sehemu yoyote ile lakini Marekani na nchi za ulaya ndio sehemu zinazoongoza kwa uwezekano mkubwa wa watu kuwa mabilionea kuzidi sehemu nyingine.

Mazingira ni yanawezesha wengi kutajirika kwa ubunifu, vipaji, biashara, elimu, n.k.
 
Uzi ukiutizama juu juu n hoja nzuri sana,,, ila ukituliza akili utagundua mambo n opposite na kinachozungumzwa hapa!!

Adui akija kwako akachukua pesa zako zote za akiba na akakukataza kutafuta Yani ukae usuburi kufa njaa... then ilipofika siku ya tatu akaja na kipande cha mkate akakupatia ule ili usife
Utamshukuru?
Utamlaani!
Utamsifia anaroho nzuri?

Hawa washenzi wametuprogram, kwanzia kwenye elim, politics, lifestyle, namna ya kufikiria etc
Na ukienda against na hii system wanakuondoa

Kwahyo tatizo la sisi waafrica n hawa wazungu japo kwa nje n kama wanatusaidia ila deep down hawa n moja ya sabb ya magum ya Africa Leo hii
 
Ukabila Tanzania ni 38% tu ipo hivi MGANDA hakupangishi kama sio MGANDA mwenzie Mhutu kwa Mhutu, Mtusi kwa Mtusi Kenya usiseme Tanzania hii inshu ni ndogo sana na utaikuta VIJIJINI huko sema huna pesa tafuta pesa wote watakufuata
 
Wewe umekuwaje programmed na elimu ya Mzungu?

Kuambiwa
Matter is anything occupies space
AU
Water = H2O

Mtu ambaye hawezi, hutumia lawama kama kinga
 
Kwakweli✌️
 
Mzungu ni kauli ya ujumla sana japo ungesema Mjerumani ambaye katika Hilo kabila Lao ndio amekuwa chachu ya maendeleo ulaya nzima.
Wajerumani wanasifika kwa nidhamu, uchapakazi na kusoma elimu ya juu hasa uhandisi.
Ulaya yote katika wahadhiri wa vyuo vikuu au makampuni makubwa yanayofanya vizuri katika teknologia basi hiyo ni familia ya kijerumani aidha kiuwekezaji au ni kizazi Cha wahamiaji wa kijamani.
Turudi kwa wazungu wa Uispania, maarufu kwa kula Bata na mipira ambao uchumi wao unashikwa na makampuni ya wageni au vizazi vya wahamiaji. Makoloni mengi ya waspanyola kimaendeleo pia ni yale yale kulinganisha alipopita British.
Ugiriki walikotoka kina Plato na wanafilosofia wengine konki uchumi wao tia maji tia maji.
Hakuna nchi yeyote ulaya mpaka Urusi ambapo Mjerumani hayupo katika sekta nyeti za uchumi na teknologia.
Hata hapa bongo walioijenga inji hii ni wao kuanzia Tanga na nyika zake zote maboma yao bado yapo imara.
Vielen Dank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…