Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

Toa elimu ya mzungu utajua kusoma, kuandika na kuhesabu ?
Toa siasa za mzungu tuondoe Democracy turudishe machifu wa makabila ?

Ni hao hao wazungu wametupa misaada kibao tangu enzi za uhuru inayoishia kuwa zawadi za wanafamilia wa viongozi, kosa lao lipo wapi ? wahindi na wachina wameweza kuitumia vizuri wamejikomboa.

Wametu program kwamba kichwa chako hakina akili ya kujiongeza unachoambiwa ?

Waafrika matatizo yetu mengi ni sisi wenyewe, kama kutawaliwa hata wachina na wahindi walitawaliwa, leo hii sio wenzetu,
 
Unaweza kuwa mkweli kwa waafrika ILA HILO LA KUWASIFIA WAZUNGU WEWE NI SHETANI.
 
uko sahihi kabisa.
Lakini utashangaa kuona wapumbavu kadhaa humu jukwaani wanakuja kumshangilia irani ,hamas ,yani mambo ya kifala fala sana.
Kila mtu ashangilie alipendalo.
 
Sio kweli , wazungu walileta ubepari ambao ni chanzo za umaskini,mzungu kwake mbwa anakula bure ila sio binadamu back.

Wazungu hawajengi mfumo wa economy sharing ila wanajenga matabaka , kwa jamii za wazungu ukiwa hauna kitu ; pesa au elimu ..Unakuwa kama mbwa tu.

Waafrika walikuwa na mfumo bora ,wakifuatiwa na waarabu kabla ya kuja wazungu ...Mfumo wa pesa ndiyo umekuja kuathiri kila kitu..kabla ya kuja wageni ikiwa hao wazungu 😉,Afrika hakuna aliyemuona mwenzie kama maskini ...Waarabu ni watu wanaupendo wao kwa wao ,vizazi vyao hawataki vipate tabu ila wazungu ni mabepari .
 
Hata Asia inatoa mabilionea wengi sana kwa kila mwaka kuliko hata Ulaya
 
Amin kwamba wangetawala then wakaacha foundation ya hvyo ulivyotaka Kisha wakaenda zao.... I believe tusingekuwa tulivyo sasa!!

Shida ilianza hapa... China, India, korea na nchi zingine kubwa zilizotawaliwa baada ya ukoloni walianza upya karibu kwenye kila kitu hasa mitaala ya elim

Ukoloni ulibaki kama history kwao... ila sisi Africa tuliendelea na system ileile ya mkoloni marekebisho yalikuwa machache tu tena nayo bado ilikuwa chini ya uangalizi wao

Kwahyo tukaendelea kuwa under European shadow!!
Ndo maana utaona viongoz wetu wanapata taabu sana kufanya mapinduzi ya kizalendo (kiuchumi kisayansi n.k na kulazimika kuwa tegemezi kwao kila angle)
sabb n puppet kwa mataifa makubwa.

Nchi yoyote ya tabaka tofauti na wazungu mfano Asians ili kuwa walivyo Leo waliasi mifumo ndo utaona n maadui wakubwa wa wazungu ....
Anyway n mtizamo tu (Ni ngumu watu wote kufikiria the same...
 
Hata kushoboka na nchi za kiarabu,
Ni salama na uhuru zaidi kwa mwanamke wa kiislam akiishi Marekani , Uingereza kuliko Oman na Saudia
Marekani na Uingereza zina wanawake wangapi wa kiislam ulikilinganisha na Oman na Saudia ?
 
Naamini kwamba wangetawala then wakaacha foundation ya hvyo ulivyotaja hapo juu, Kisha wakaenda zao.... I believe tusingekuwa tulivyo sasa!!

Shida ilianza hapa... China, India, korea na nchi zingine kubwa zilizotawaliwa baada ya ukoloni walianza upya karibu kwenye kila kitu hasa mitaala ya elim

Ukoloni ulibaki kama history kwao... ila sisi Africa tuliendelea na system ileile ya mkoloni marekebisho yalikuwa machache tu tena nayo bado ilikuwa chini ya uangalizi wao

Kwahyo tukaendelea kuwa under European shadow!!
Ndo maana utaona viongoz wetu wanapata taabu sana kufanya mapinduzi ya kizalendo (kiuchumi kisayansi n.k na kulazimika kuwa tegemezi kwao kila angle)
sabb n puppet kwa mataifa makubwa.

Nchi yoyote ya tabaka tofauti na wazungu mfano Asians ili kuwa walivyo Leo waliasi mifumo ndo utaona n maadui wakubwa wa wazungu
Anyway n mtizamo tu (Ni ngumu watu wote kufikiria the same...
 
Mfumo wa ujamaa ulishajaribiwa hapa hapa Tanania haukutufikisha popote, Huko Cuba hali ni mbaya.

Chanzo cha umasikini wetu Afrika sio wazungu ni sisi wenyewe, tunapewa misaada mikubwa kwa mabilioni kila mwaka tangu uhuru lakini misaada inaibiwa hakuna maendeleo, Afrika kumejaa rushwa na ufisadi wa kutisha kwenye kodi tunazochangia zinazopaswa kutuletea maendeleo, Afrika kuna ulafi wa madaraka mpaka kutekana na kuuana, Afrika tuna viongozi waliochaguliwa kwa ukaribu au kujuana badala ya sifa.

Waafrika tuna tabia sugu sana ya lawama na visingizio, hatupo tayari kukubali matatizo yetu mpaka tupate mtu wa kunyooshea kidole.

Hao waarabu nenda viwandani kwao uone watu wanavyohangaika alfajiri mpaka usiku kwa malipo kiduchu
 
Bilion za nn ? Wafrika hakutumiq bilion ,wanakupa huko kwao hamna homeless ...

Ubepari ndio chanzo cha umaskini Afrika kwisha ,hii mifumo kama bank yote ni kukandamiza watu..
Wangemaliza umaskini huko kwao kwanza
 
Kuna ukweli hapa, hawa watu wanaheshimika duniani kote si kwa watu weusi tu na sababu kuu ni kuwa; wamejitambua mapema sana yaani consciousness level zao ni za viwango vya juu sana kulinganisha na races zingine.

Kuna hizi tabia zao ukizifuata hakika kila mtu atakuheshimu;

Ni humble sana na wenye kuwa msaada kwa wengine.

Ni wachunguzi wa jambo kabla hawajalifuata.

Ni friendly sana na wakiwa katika mazingira ya ugenini wana ishi sawa na wenyeji bila kujali tofauti zao.

Wana heshimu sana mila na imani za wengine hata kama hawakubaliani nazo.

Ni watu wanaoamini katika kuwa msaada na sio kusaidiwa. Hapa ukiwa nae kwenye kazi akifanikiwa na wewe unafanikiwa tofauti na race zingine ni wabinafsi sana hasa mtu mweusi ana kutoa uhai.

Wanathamini sana mazingira na asili. Pia ni watu wa kumaanisha wanachofanya si wanafiki.

Sasa hizo sifa ni ngumu kuzipata kwenye race nyingine. Angalau kwenye kuwa humble nafikiri watu weusi na wazungu ndo hapa tunapatana sana ndo maana kuna muingiliano wa kuoana sana tofauti na race zingine mara nyingi wana superiority.
 
Bilion za nn ? Wafrika hakutumiq bilion ,wanakupa huko kwao hamna homeless ...

Ubepari ndio chanzo cha umaskini Afrika kwisha ,hii mifumo kama bank yote ni kukandamiza watu..
Wangemaliza umaskini huko kwao kwanza
Hao waarabu wenyewe unaowatetea wana mfumo wa kibepari, Nchi nyingi kama Saudi Arabia, UAE, Qatar, Bahrain, Kuwait, n.k. zina mifumo ya kiuchumi inayoruhusu sekta binafsi na uwekezaji wa nje.
 
Somehow unahoja, hii kazi ya kuchange mfumo ilitakiwa kufanyika mara baada ya uhuru na nyerere ,mpake leo hatuna katiba yetu, ya sasa imekaa kikoloni sn.
 
Bilion za nn ? Wafrika hakutumiq bilion ,wanakupa huko kwao hamna homeless ...

Ubepari ndio chanzo cha umaskini Afrika kwisha ,hii mifumo kama bank yote ni kukandamiza watu..
Wangemaliza umaskini huko kwao kwanza
Katoe hela zako benki zitunze nyumbani, tuma hela kwa kutumia mabasi, nenda mipakani kubadili fedha za kigeni

Umefika sekondari ?
 
Hao waarabu wenyewe unaowatetea wana mfumo wa kibepari, Nchi nyingi kama Saudi Arabia, UAE, Qatar, Bahrain, Kuwait, n.k. zina mifumo ya kiuchumi inayoruhusu sekta binafsi na uwekezaji wa nje.
🤣Sio kweli ,hapo tunaangalia level za familia ...Mfumo wa uchumi wa sasa uko centralized kwenye monetary economy so hivyo ..

Huyo anakuambia hapo waafrika wana matatizo ,yeye hataki ndugu waje kwake ,kila mtu anaangalia familia yake ..Sisi wasambaa tunaishi nyumba moja hata ndugu wa familia nne bila ya wasiwasi , ukiachana na hawa wanaojifanya wasomi .

wafrika wote walikuwa na upendo ,waliishi karibu na ndugu ,mfumo wa uchumi wa dunia ambapo ulianzishwa na mayahudi ,ukashikiliwa na wazungu ndiyo hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…