Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

Somehow unahoja, hii kazi ya kuchange mfumo ilitakiwa kufanyika mara baada ya uhuru na nyerere ,mpake leo hatuna katiba yetu, ya sasa imekaa kikoloni sn.
Wazungu hawajawahi kutuzuia tuwe na katiba mpya, ni wakoloni weusi
 
Katoe hela zako benki zitunze nyumbani, tuma hela kwa kutumia mabasi, nenda mipakani kubadili fedha za kigeni

Umefika sekondari ?
Unacholia nn ? Wakati unafuata tu mfumo ila ni ubepari 🤣🤣🤣waondoe mifumo huyo ,hautokuja sikia neno maskini .
 
Muwe najaribu kutumia hizo simu zenu kuperuzi maarifa kaa shule ziliwashinda, waarabu nchi nyingi hasa zilizofanikiwa zina mfumo wa kibepari, kwa hio ubepari sio wazungu tu.

Dunia ipo kwenye monetary economy ya kutumia fedha unataka turudi kwenye barter trader economy tuwe tunabeba mbuzi mgongoni kwenda kununua sukari ?

Kuishi nyumba moja ndugu wa familia nne kumeleta maendeleo yapi ? au kwako maendeleo ni kuwa na watu wengi mnashinda sebuleni kutazama tamthilia za sinema zetu ?

Naona shida ni elimu hapa, upo gizani ndio maana chochote unachoambiwa kinaingia kama kilivyo, utaja kuambiwa wayahudi wanatukosesha maji Tanzania utaamini bila kujua kazi ya kodi unayolipa.
 
Sasa huo mfumo ndio mbaya ,huku uzunguni hakuna maskini😃?
Elimu gani zaidi ya kukariri ,wazungu ni mabepari kule kwao kama haujawahi kufika, kuna homeless wameshindwa kumudu gharama za maisha ...wana ndugu ila wanafuga mbwa badala ya kuwachukua.

Hao wameleta addiction mbaya kama madawa ,porno na mambo mengine ,kama kamari ..Vitu hizo zinaharibu nguvu kazi na jamii kwa ujumla.

Wewe bisha sasa na elimu yako ya kukariri.
 
Na ndicho kinachoendelea Ulaya

Majiji mengi sana Ulaya sikuhizi yamejaa wahamiaji tena wengi ambao hawana vibali,

Wazungu wakiwa na mtoto ni moja au wawili, imeisha hivyo, wahamiaji wanazaliana sana na wengi zaidi wanahamia,
Uko sahihi, ulaya hasa UK wahamiaji ni wengi na wanazaliana sana, sera mbovu kuhusu ushoga, abortion, divorce zinaangamiza ulaya na marekani.

Miji mingi ambayo wako wageni imekuwa ya hovyo, michafu, nikama TZ ilivyokuwa zamani masaki, Oysterbay, Mikocheni, ilikuwa ushuani kweli,
 
Ndiyo maana kuna uzunguni kila mkoa,maisha ni ya kizungu,mbwa wa kizungu,kuku wa kuzungu,mara tajiri ana roho nzuri analipa kizungu na siyo kiarabu,kihindi,kiafrica wala kichina.Kizuri hakifichiki.
Umesahau neno ustaarabu
 
Hizo nyuklia za kuua maelfu ya watu ni jambo jema ?
Wanakuja kutalii wanaenda porini kuua wanyama for fan.Kuna mweusi anaua simba, twiga kujifurahisha.
Unaunda silaha unauzia watu wauane, huo ndio ustaraabu.l?
Unaunda kemikali unasambaza kwenye ardhi kisha ardhi inaharibika milele hio ndio civilization?
Babu zetu waliishi na wanyama na mimea maelfu ya miaka ila hao wazungu miaka michache wal8otawala Afrika wameua maelfu ya wanyama, wamekata miti mingi sana kuanzisha mashamba na viwanda vya uharibu.
Kitu pekee walichofanikiwa hao wazungu ni ku brainwash waafrika kama mtoa mada kuwaaminisha wao ndio watu wema na waliostaarabika, ola wenye akili wanajua ni jinsi gani wazungu walivyo waharibifu na evil to human race. Wazungu wananjama za chini kwa chini nyingi sana ila usoni wana jiaminisha ni wasafi na watu bora.
SIASA NI IMANI by JKN
 

hata waarabu? Wanaajiri sana wafanyakazi wa ndani kutoka huku kwetu
 
Upo sahihi hizo race nyingine zinasindikiza .

Mzungu yupo vuwango Vya juu Vya utambuzi
 
Wazungu huamin kila kitu kimekuwepo kwa process na kitakuwepo kwa process.

Sasa ikitokea science ya akili zao zinawaambie kuna possibility yakutokea jambo fulani miaka 100 mbeleni ambalo wanaona litawaletea mizengwe afu ww ndio sababu ya hilo jambo watadeal na wewe kwa kila hali(amani, mazungumzo hadi ngumi na kifo ukiwa mbishi).

Faida ya hii inawafanya washughurishwe na kila kinachoendelea dunian ili tu isitokee kunakipengele kinaendeshwa na watu fulani au nchi fulani kinaonekana kuleta mizengwe mbeleni.

Tofaut ya waarabu ambao wanakuza vijana wao kwa kuwaaminisha kila kinachotokea kilikuwa kishapangwa kitokee.

Huyu mtu wahivi ni ngumu saana kukusaidia coz shule ya ukubwani itamskuma akusaidie lakin Misingi ya utotoni itamfanya akipata changamoto kidogo tu anarudi nyuma akiamin anasaidia kitu ambacho kimetokea kwakupangwa na Mungu
 
uko sahihi kabisa.
Lakini utashangaa kuona wapumbavu kadhaa humu jukwaani wanakuja kumshangilia irani ,hamas ,yani mambo ya kifala fala sana.
Honestly Mzungu hata akija kama mwekezaji mwajiriwa anapata maisha kama Insurance,Mshahara,Bonus na Likizo yenye malipo.
 
Ni baada ya kuona kwenye TV wazungu wakijali wanyama hadi kuwapa haki zao ndipo nilipojua kuna watu wanajali wanyama. huku kwetu wanyama kama mbwa, paka, mbuzi, n.k. wanapitia msoto mkali sana
Tatizo limeanzia hapo👆
 
Wachina ni waharibifu kuliko,mchwa na panya,wao wanajali China yao tu!!.Hawajali mazingira wala vizazi vijavyo bali kwao tu!!
 
Akipita Mbwa..
1. Uzunguni "Ooh! Cute little puppy"
2. Africa e.g. Tanzania "nipe jiwe ...nipe jiwe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…