Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Nimepanda basi za Yutong, Zhong, Higer, Asia Star nyingi sana zenye AC sijawahi kukutana na hiyo hali sijui mwenzangu.Kumbe ni vita vya utetezi wa mchina? Aisee Xi Jinping binafsi sijamshambulia mchina, nimesema tu kuna nyakati Yutong hewa ni ndogo ukifunga madirisha halafu basi limejaa.
Huyu anabisha kwa sababu basi nyingi zinazotumika ni za Mchina, ingekuwa bus nyingi ni za wazungu angeshaunga hoja mkono, juzi kati hapa nimeweka takwimu za kampuni bora 20 kwa maslahi mazuri ya wafanyakazi alitokwa povu sana kisa hakuna hata kampuni moja ya kichana, ndivyo alivyo.Kumbe ni vita vya utetezi wa mchina? Aisee Xi Jinping binafsi sijamshambulia mchina, nimesema tu kuna nyakati Yutong hewa ni ndogo ukifunga madirisha halafu basi limejaa.
Hapanaje, AC ina uwezo wa kuongeza oxygen?
Mabasi yote ya sasa yana huduma ya AC. Nasafiri na mabasi sana, na mkuu, labda kama umeamua kubisha ila kuna nyakati AC inakosa oxygen ya kutosha ili iichakate, ipo on but unaona kabisa hewa haipo sawa.Nimepanda basi za Yutong, Zhong, Higer, Asia Star nyingi sana zenye AC sijawahi kukutana na hiyo hali sijui mwenzangu.
Sawa labda nikuulize wewe unapendelea usafiri na basi gani lenye huduma ya AC au lisilo na huduma ya AC?
Waambie wachina wako watengeneze bus zitakazoruhusu wanaotaka kufungua madirisha wafanye hivyo badala ya kulazimishwa na washamba wa AC abiria wote 50 kufunga madirisha na kutegemea AC.Nimepanda basi za Yutong, Zhong, Higer, Asia Star nyingi sana zenye AC sijawahi kukutana na hiyo hali sijui mwenzangu.
Sawa labda nikuulize wewe unapendelea usafiri na basi gani lenye huduma ya AC au lisilo na huduma ya AC?
Yoda Basi za Kichina zina mfumo wa HVAC?Huyu anabisha kwa sababu basi nyingi zinazotumika ni za Mchina, ingekuwa bus nyingi ni za wazungu angeshaunga hoja mkono, juzi kati hapa nimeweka takwimu za kampuni bora 20 kwa maslahi mazuri ya wafanyakazi alitokwa povu sana kisa hakuna hata kampuni moja ya kichana, ndivyo alivyo.
Kwa hiyo tukusaidieje? Umeona sisi tuna mabasi yenye viyoyozi hapa?Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Una uhakika AC zinakuwa ON au zimezimwa wakati huo?Mabasi yote ya sasa yana huduma ya AC. Nasafiri na mabasi sana, na mkuu, labda kama umeamua kubisha ila kuna nyakati AC inakosa oxygen ya kutosha ili iichakate, ipo on but unaona kabisa hewa haipo sawa.
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Mkuu una nyota ya Mabasi Ngarangara, usilazimishe nyota ya Luxury Buses!Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Ok, so tunakubaliana inategemea kuzungusha oxygen iliyopo iwe imepita kupitia vents, au tech maalum ya basi ya kutoa hewa nje kuingiza ndani.Hapana
Jiongeze wewe, watu wameshakuthibitisha huwa wanapatwa matatizo ya hewa wanaposafiria hizo bus sasa wewe unataka nini zaidi,Yoda Basi za Kichina zina mfumo wa HVAC?
Jibu NDIYO au HAPANA
Hakuna msaada mwingine. Wewe na hao wenzako mpande tu mabasi yasiyowasha ACWaambie wachina wako watengeneze bus zitakazoruhusu wanaotaka kufungua madirisha wafanye hivyo badala ya kulazimishwa na washamba wa AC abiria wote 50 kufunga madirisha na kutegemea AC.
Changamoto ya usafiri wa anga ni gharama ndo maana wengi wetu hatujapanda ndege.Sasa mtu hujawahi panda ndege, utaongeleaje kitu hujui🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Tofauti inakuja kwenye aina ya gari. Unaona hizi Carina za zamani, Hiace na magari kama hayo zinatoa hadi harufu ya combustion ndani. Unasafiri unasikia harufu ya mafuta na moshi.Upo sawa.
Binafsi pia sipendelei AC hata nikiwa kwenye gari binafsi. Huwa tunabishana na mama watoto tukitumia gari moja, ni mpenzi wa kufunga vioo AC iwe on wakati mimi napenda upepo.
Ndio. Kwani AC ni nini? Kama jina lake lilivyo Ac Inacondition air iliyopo, haitengenezi air yake so kama kuna changamoto kwenye mfumo wa air, ac inaweza kuwa on ila kukawa na tatizo. Au nakosea?Una uhakika AC zinakuwa ON au zimezimwa wakati huo?
Umewahi kupanda gari ndogo ukakumbana na hiyo hali ukiacha mabasi?
Hahahaha. We jamaa bana.Tofauti inakuja kwenye aina ya gari. Unaona hizi Carina za zamani, Hiace na magari kama hayo zinatoa hadi harufu ya combustion ndani. Unasafiri unasikia harufu ya mafuta na moshi.
Ukija kwa gari za kisasa kabisa hasa standards za Ulaya unakuta mifumo ya kusafisha hewa kama HEPA kutoa vumbi, pollen za maua, hewa chafu ya exhaust uko barabarani.
Sasa hawa Wachina kina Yutong unakuta basi lina watu 55 kuna Wamasai humo wamejipaka mafuta ya ng’ombe, Wasukuma watakula mahindi ya kuchoma na karanga na Waha wamebeba mifuko ya mikate. Hiyo harufu yote mkianza nayo safari, hadi mmalize nayo. Ikitokea mtoto kaharisha mnaanza safari, mnamaliza safari na hiyo harufu.
Sasa mtu anayelinganisha bus na ndege yenye pressurized cabin pamoja na mifumo ya kisasa kabisa ya kubadilisha hewa anatakiwa kutandikwa viboko. Unajua hata kama mtu ni maskini, inabidi uwe na class na common sense ya kutambua luxuries na comforts.
Wewe Kuomitang acha kufananisha Irizar na makopo ya kubebea watu hayo Yutong.Hahaha eti Irizar ni ushamba tu unakusumbua mabasi yote viwango vya AC vinafanana iwe ni Irizar au Yutong
Kwenye mabasi yenye AC kila seat ina sehemu ya AC kwa juu
Dereva anaweza kuamua kiwango cha ubaridi au wewe abiria pale ulipoketi unaweza kuset kiwango chako
Kitaalamu hapo changamoto ni kwenye mfumo wa basi wa kuingiza oxygen ila sio kwamba idadi ya abiria imezidi uwezo wa ACOk, so tunakubaliana inategemea kuzungusha oxygen iliyopo iwe imepita kupitia vents, au tech maalum ya basi ya kutoa hewa nje kuingiza ndani.
Sasa hoja yangu ni kuwa kuna nyakati oxygen iliyopo ndani inakuwa haitoshi kutumiwa na watu 50. Sababu inaweza kuwa idadi ya watu imezidi au mfumo wa basi wa kuingiza oxygen kila mahali una shida au chochote hivyo AC ipo on ila inahitajika oxygen ya ziada ndani ya basi.