....huku mbowe yuko ubaoni, zee la kunyata linatafakari mtoto wake na barmaid.Dar es salaam masika ni shida. Kiangazi ni shida. Kiongozi wao ndio kwanza anawasikiliza wanawake waliotelekezwa.
Na vile msukuma hana habari na miundombinu. Ye anapita V8 yake yenye kibendera utamwambia nini.?
....makengeza ana kichwa cha panzi !Bashite ana akili za kuku
Hehee.. Mkuu umetumia msamiati....huku mbowe yuko ubaoni, zee la kunyata linatafakari mtoto wake na barmaid.
......kwa akili hizo, hamna atakaekupa !Nikipewa Passo na Kluger ya bure, nachagua Passo.
Hivi hawa walio ruhusu huu mradi wa Mabus ya Mwendokasi ujengwe hapo alitumia vigezo gani.Baada ya muda hayo mabus yanaweza kujaa kutu.haya baba kapite hapo Jangwani
.....na hii ndo inaenda hivyo hiiiiiii !View attachment VID-20180416-WA0030.mp4Nasisi wenye harrier zetu tunawacheki tu uku tukisema hiiiiiiiiiiii
Aiseeh.....wameua kama mabasi kumi hiviii !Hivi hawa walio ruhusu huu mradi wa Mabus ya Mwendokasi ujengwe hapo alitumia vigezo gani.Baada ya muda hayo mabus yanaweza kujaa kutu.
Preta leo umeamua utokee kwenye huu uzi?ndio maana nilitaka kuuliza.....ni wenye kluger tu ndio wasalimiane..........which means wengine tupite kimya kimya......anyway.....nakusalimia mkuu Fortuner.......
Sasa wakati we hela yako imetimia kununua hio fortuner, guess sie wa Kluger yetu imetimia kununua nini?Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa
Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
Na hapo ni kodi yako inateketea wao wapo kwenye MaVx sasa hivi.Bara la Africa hususani kusini mwa jangwala sahara wananchi wake wanatabika sana hili hali viongozi wao wengi wakishi maisha ya peponi lakini cha kushangaza wanawakumbatia viongozi hao hao miaka nenda rudi.Aiseeh.....wameua kama mabasi kumi hiviii !
Ukiwaita uwaulize sasa.....cv ndeefu na vyeti kibao. Hivi uzoefu wote waliopata kwa kuishi hapo wameshindwa kuondoa hayo mabasi kabla na kuyapaki mahali pengine !
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ngoja tucheke sote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi nacheka sana