Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

Ndiyo maana hawakuficha nyuso zao, walificha tupu zao...
Hivi unajua ukiwa mtoto unaweza ukatembea hapa Bamaga na kariakoo ukiwa uchi kabisa bila kujala na watu wasijali ila ukiwa mtu mzima ukitembea uchi kariakoo watu wanakuona km kichwani zimekuruka, kwa hio nadhani walikua wamekua sasa sio watoto tena
 
Eva alianza kubalehe...
 
mi naona kama sitori za kusadikika tu, mbwa anazaa kwa uchungu au kuku anamakosa gani?
Kuku anataga hapo unajua, mbwa akizaa halii unajua anazaa kimya kimya ila binadamu akiwa anazaa lazima upige yowe za kutosha puuuuush

Najua umewahi kunya kimba gumu na situation unajua inakuaje misuli ya kichwa yote inakutoka
 
ni stori tu zilizo buniwa na wajanja,kwa kuku mpaka anahangaika kutaga mpaka anachanika si uchungu ule? tena anahangaika mara tatu mosi kutaga,kuatamia na kutotoa vifaranga kisha kuvitunza vifaranga mpaka vijitegemee
 
Ndio uujue uhalisia ulivyo kuku mpaka anachanika nini kinachochanika umesema
 
Adam na Eva kwa walichofanya wangekaushiwa wasingepata fedhea yoto hi ya kusomwa vizazi na vizazi...
Yaan wanasomwa vizazi na vizazi kwamba waliwahi kugongana mpaka Mungu akawaonea wivu au sio?
 
Back
Top Bottom