Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Hatuwezi kujadili hitimisho kabla ya chanzo.Nipe experiment moja iliyothibitisha kwamba roho ipo.
"Nipe experiment Moja iliyothibitisha roho ipo".
Roho ni nini? Tuanzie hapa kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwezi kujadili hitimisho kabla ya chanzo.Nipe experiment moja iliyothibitisha kwamba roho ipo.
Wewe umesema roho ni energy.Hatuwezi kujadili hitimisho kabla ya chanzo.
"Nipe experiment Moja iliyothibitisha roho ipo".
Roho ni nini? Tuanzie hapa kwanza.
Nipe experiment Moja iliyothibitisha kuwa energy ipo.Energy huwa inapimwa na kuthibitishwa experimentally.
Mimi nimesoma mpaka katikati ila nimeishia kushangaa tu. Haya bhana, hiyo nayo ni imani. Kila mtu ana yakeKiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake.
Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu basi sisi ni kopi yake, na kama sisi ni kopi yake basi hakuna chochote kilicho kwetu kikawa hakipo kwake ingawa yawezekana yapo yaliyo kwake yakawa hayapo kwetu kwa maana kopi haiwezi kuwa sawasawa na ile halisi kwa asilimia mia moja ingawa kopi kimuonekano haiwezi kutofautiana na halisi.
Sasa hoja hii inaenda kupingana na ile hoja ya wale ambao wanaamini ya kwamba Mungu ni roho tupu isiyo na mwili kwa maana ukiachana na hii hoja lakini pia ukisoma maandiko katika kile kitabu cha mwanzo utagundua ya kwamba Mungu si roho tu pekee bali nayeye ni roho iliyo ndani ya nyama.
Maandiko yanasema hivi "roho yangu haitashindana na mwanadamu kamwe kwani yu nyama na yeye, Kwahiyo miaka yake itakua 120".
Hilo neno la kwani yu nyama na yeye inamaana ya kwamba Mungu angeweza kushindana na mwanadamu kama tu angekua na roho tupu ila kwakua mwanadamu anao upande wa kiroho na upande wa nyama kama vile Mungu alivyo basi inakua ngumu yeye Mungu kushindana nae.
Yu nyama na yeye inamaana ya kwamba na yeye ni nyama kama mimi.
Na andiko hilo hilo ukiendelea kulitafakari zaidi utagundua ya kwamba Mungu anaweza kumuendesha binadamu katika ule upande wa kiroho pekee ila unapokuja upande wa damu na nyama Mungu anakua hana uwezo wa kumuendesha mwanadamu.
Kwahiyo hii inamaanisha kwamba mambo yote yafanyikayo ndani ya mtu kupitia upande ule wa kiroho huwa Mungu anayajua moja kwa moja ila yale ambayo hufanyika katika upande ule wa kimwili huwa Mungu hayajui.
Na hii ndio sababu iliyopelekea Mungu amuhofie mwanadamu kwa maana ni ngumu kujua ya kwamba yale ayawazayo katika upande wa kiroho ndiyo ayawazayo katika ule upande wake wa kimwili kwa maana ya ule upande wa damu na nyama.
Kwa kulithibitisha hili kwenye maandiko ya kiimani kuna historia ya bwana mmoja anaitwa Ayubu, huyu mtu alikua ni mtu bora sana mbele za Mungu kwa maana upande wake wa kiroho haukua na shida yoyote hadi kufikia kiwango cha Mungu kujivunia yeye lakini licha ya kwamba Mungu alikua anajivunia yeye ila bado hakuwa na hakika na ile KWELI iliyo ndani yake kwa maana maandiko yanasema tumuabudu Mungu kwa ROHO na KWELI Sasa huyu bwana Ayubu ni kwamba kwenye upande wa ROHO alikua vizuri mbele za Mungu ila ile KWELI ndio ilikua inampa mashaka Mungu hadi kupelekea kumpa majaribu ya kimwili ili aone je yaliyopo rohoni mwake ni sawa na yale ambayo yapo mwilini mwake?
Lakini pia ukisoma maandiko hayo hayo kuna swali Yesu aliwauliza wanafunzi wake ya kwamba je, watu wanasema mimi ni nani?
Kikawaida ni kwamba kwa namna ya kiroho Yesu alijua vile watu wasemavyo kuhusu yeye ila kwa namna ya upande ule wa damu na nyama hakuwa anajua chochote na ndio maana alitaka apate uhakika ya kwamba je yale ya rohoni mwao ni sawa na yaliyopo katika ule upande wao wa kimwili?.
Kwa maana maandiko yanasema Mungu anataka kuabudiwa kwa ROHO na KWELI, kwa maana ni rahisi sana mtu kumuabudu Mungu kwa roho ila akashindwa kwenye kweli, kwa maana kumuabudu Mungu kwa roho ni kuwa mnyenyekevu mbele zake ila kwa kweli ni kuyaskia yale yote ya rohoni na kuyafuata kwenye upande wa mwili kwa maana ya kwamba ili uwe unamuabudu Mungu kwa roho na kweli nilazima uiruhusu roho yako iuongoze mwili, uiskie ile sauti ya ndani mwako na uifuate kama ambavyo inavyokuongoza na hapo ndipo utakapoweza kumuabudu Mungu kwa roho na kweli.
Kwa maana nyingine ni kwamba Mungu anataka akuongoze si wewe ujiongoze mwenyewe kwa kufuata yale maamuzi yatokayo katika upande wako wa damu na nyama.
Ni sawa na wewe hapo ukitengeneza robot lako hautataka lijiongoze lenyewe bali utataka uliongoze na ikitokea likaanza kujiongoza basi kuna namna hautajiskia vizuri.
Kwa hiyo Mungu ni kama rubani wa chini ila wewe yaani huo upande wako wa damu na nyama ni rubani wa ndani ya ndege kwa maana ili ndege iweze kwenda na kufika salama ni lazima rubani wa ndani ya ndege amskilize rubani wa chini kwa maana rubani wa chini ndiye anaejua mifumo yote ya anga pamoja na namna inavyokwenda Kwahiyo akisema shuka chini kidogo rubani wa ndani ya ndege anatakiwa ashushe ndege chini kwa kiwango alichoambiwa akisema aelekee mashariki basi anapaswa kufanya hivyo na kadhalika, Sasa ikitokea yule rubani wa ndani ya ndege akapuuzia sauti inayotoka kwa rubani wa chini basi moja kwa moja ndege inakuwa hatarini kwa maana rubani wa ndani ya ndege hajui mifumo ya anga Kwahiyo hali ya anga ikibadilika kidogo basi ndege itayumbishwa na itaanguka.
Lakini pia mawasiliano yakipotea baina ya rubani wa anga na rubani wa chini huwa ndege inapotea kwenye lada na ikipotea kwenye lada mifumo ya anga iliyopo chini huwa haiwezi kujua wapi hiyo ndege ilipo na ndio sawa sawa na mwanadamu pindi atakapoacha kuiskiliza sauti ya rohoni mwake na kuiskiliza sauti ya kimwili huwa ni rahisi sana kuishi maisha yaliyo nje ya hatima na ukiuacha mwili uiendeshe roho yaani mwili uifunze roho namna sahihi ya kuishi basi hapa mtu anakua amepotea katika ile mitetemo ya kimungu kwa maana yoote atakayo kuwa anayafanya kwa maana ya kimwili huwa hayaonekani katika mifumo ya Kimungu.
Na ndio maana watu husema Mungu ni roho kwa maana ya kwamba uwezo wa Mungu kuyajua yote yakiyomo ndani ya mwanadamu huwa unaishia katika upande huo wa kiroho ila ukija kwenye upande wa kimwili hawezi kujua.
Mambo haya ni kama hii teknolojia ya AI, ni kwamba mtu anapotengeneza robot huwa analiwekea command ya kwamba liwe na uwezo wa kufanya moja mbili tatu, lakini ukiacha nafasi ndani ya robot na kulipa uwezo wa kuweza kuhifadhi na kujifunza mambo mengine mapya kutokana na mazingira huwa ni ngumu kwa mtu aliyelitengeneza kujua ni mambo mangapi robot hilo litakua limejifunza kutokana na mazingira ukiachana na yale ambayo yeye aliliwekea ndani yake wakati analitengeneza.
Na teknolojia hii kwa kadri inavyokua na ikija kufikia kwenye hatua ya kuweza kuyapa haya marobot uwezo wa kuamua kwa maana ya ule uwezo wa kujua mema na mabaya kama ambavyo mwanadamu alipewa huo uwezo pale bustanini na wale wana wa Mungu ambao walikuwepo pale basi hapo ndipo ugumu utakapokuwepo kwenye kuyaongoza haya marobot kwa maana yatakua na pande mbili yaani upande ule wa zile command yaani amri ambazo waliwekewa wakati yanatengenezwa lakini pia yatakua na ule upande wa kumbukumbu zao binafsi ambazo zinahifadhiwa ndani yao kutokana na mazingira waliyopo sasa wakiyafanya yale yaliyo ndani ya command itakua rahisi kujua hatua inayofuata baada ya hapo ila yakifanya yale mambo yaliyo nje ya zile command kwa maana yakifanya yale mambo ambayo yenyewe yamejifunza inakua ngumu kujua ni nini kinafuata baada ya hapo na ndio hapa ambapo watu husema kwamba linakua linabehave tofauti na vile ilivyo tarajiwa.
Kwahiyo hii teknoloji bado iko katika kiwango cha awali kabisa kwa sasa hapa duniani au ulimwenguni kwa ujumla ila kwa kadri siku zinavyokwenda itaendelea kukua na itafikia pahala dunia yote itakua inaiogopa hii teknoloji kwa maana vitu tutakavyo vizalisha vitatushinda kwenye kuviongoza kwa maana vitakua na uwezo wa kujiendesha venyewe na kuanza kuwa na maamuzi yake binafsi na hapa ndipo tutakapojua au kugundua kwamba tabu tutakazo zipata kupitia hizo robots ndizo ambazo waliyo tuumba wanazipata.
Kwakusema hayo naomba nihitimishe hili andiko langu kwa kusema hili neno la Mungu ni roho na si mwili linamaanisha kwamba uwezo wa Mungu kuyaona yaliyomo ndani ya mtu huishia kwenye ule upande wa kiroho ila ukija upande wa kimwili hana anachokijua.
Here are some classic experiments that demonstrate the existence of energy:Nipe experiment Moja iliyothibitisha kuwa energy ipo.
I respect your skepticism.Here are some classic experiments that demonstrate the existence of energy:
Mechanical Energy
1. Pendulum Experiment: A pendulum's swing demonstrates the conversion of potential energy (height) into kinetic energy (motion).
2. Roller Coaster Experiment: A roller coaster's motion illustrates the conversion of potential energy (height) into kinetic energy (speed).
3. Spring-Mass System: Stretching or compressing a spring stores potential energy, which is released as kinetic energy when the spring is released.
Thermal Energy
1. Heat Transfer Experiment: Placing a hot object near a cold object demonstrates heat transfer, showing that thermal energy can move from one object to another.
2. Thermometer Experiment: A thermometer measures temperature changes, illustrating the conversion of thermal energy into a measurable quantity.
3. Heat Engine Experiment: A simple heat engine, like a steam engine, demonstrates the conversion of thermal energy into mechanical energy.
Electrical Energy
1. Leyden Jar Experiment: A Leyden jar stores electrical energy, which can be discharged as a spark, demonstrating the existence of electrical energy.
2. Electromagnetic Induction Experiment: A coil of wire near a magnet demonstrates electromagnetic induction, showing that electrical energy can be generated from magnetic fields.
3. Circuit Experiment: A simple electric circuit with a battery, wires, and a light bulb demonstrates the flow of electrical energy.
Radiant Energy
1. Solar Oven Experiment: A solar oven uses radiant energy from the sun to heat food, demonstrating the existence of radiant energy.
2. Infrared Camera Experiment: An infrared camera detects radiant energy in the form of heat, illustrating the existence of radiant energy.
3. Laser Experiment: A laser emits concentrated radiant energy, demonstrating the existence of radiant energy.
Chemical Energy
1. Combustion Experiment: Burning fuel, like gasoline or wood, demonstrates the release of chemical energy as heat and light.
2. Battery Experiment: A battery stores chemical energy, which is converted into electrical energy when the battery is connected to a circuit.
3. Photosynthesis Experiment: Plants undergo photosynthesis, converting light energy into chemical energy in the form of glucose.
These experiments demonstrate various forms of energy and their conversions, providing evidence for the existence of energy.
Give me one experiment to prove roho is energy.
I respect your skepticism.
Kuna kitu kimoja nataka nikuambie, Mr kiranga, especially kwenye hizi discussions za Mungu/Roho na religions ambazo wewe na wengine wapinga hizi mada.
In science hatupaswi kuwa na majibu ya "hakuna" . Neno hakuna hakipo kwenye scientific proofs.
Science is constantly evolving.
There are many phenomena we don't full understand yet. Just because we can't prove something now, doesn't mean it doesn't exist.
Consciousness it self is a mystery to science.
My conclusion:
Nimekuuliza ulete uthibitisho wa kisayansi kuhusu energy na umeleta so many proofs.
Miaka 2000 iliyopita ningekuuliza hili swali Nina uhakika hata usongeandika robo ya ulichonjibu kwa Tena kwa ujasiri. Why? Science ilikuwa Bado haijagundua hizo mbanga.
So,
Kuhusu roho, probably miaka 2 au 5 au 1000 ijayo,sayani itakuwa imeprove kwa experiments za kimahabara.
Again,
hakuna jibu la hapana au hakuna kwenye science. Tujipe muda Leo au vizazi vijavyo vitakuwa na majibu kuhusu kuexist kwa roho.
Thank you.
kama ningekuuliza juu ya uthibitisho wa experiments zote za energy ulizonipa mwaka 450 AD hakuna kitu ungesema. Kwa wakati huo Mimi ningeonekana mshindi.Umekubali kuwa umeshindwa kunipa experiment ya kuthibitisha roho ipo?
Katika Euclidean geometry kuna pembetatu yenye pembe nne?
Hujathibitisha roho ipo.kama ningekuuliza juu ya uthibitisho wa experiments zote za energy ulizonipa mwaka 450 AD hakuna kitu ungesema. Kwa wakati huo Mimi ningeonekana mshindi.
Swali lako nimrshakujibu katika muktadha wa kisayansi. Hakuna conclusion ya "hakuna" katika sayansi.
Hata upinzani wako juu ya "hakuna Mungu" ni hisia zako tu kama unavyowakosoa wengine. Maana kisayansi hakuna hilo hitimisho lako la "hakuna" ila tunasema sayansi Bado haujapata majibu"
Kuvumbuliwa kwa teknolojia mbalimbali ,sayansi umejibu mengi sana na kuweka fact. Ulitaka fact kuhusu roho,kuhusu Mungu,sayansi inaendelea na uchunguzi. Wanasema roho ipo ,Mungu yupo wapo sahihi hadi siku sayansi ije ituambie vinginevyo.
Nakuacha na hili;
Gravitation force, kabla ya kina Isaac Newton Kuja,ilikuwepo na watu walishindwa kuithibitisha kisayansi. Leo tuna law of gravitation kwa sababu sayansi baadae ilikuja na fact.
Roho ni energy.. period!
Kwani fact ni nini na imani ni nini?Sio imani ila hiyo ni fact mkuu😅😅
Mpaka ufe tena ndio uone?huwezi kumuona bila kufa ukifa tu utamwona ,
Ndio atakuishi kwako ni roho Mungu kakupa ikifika mwisho wa kuitumia unakufa na ukifa ndio ile roho inaenda kukuwakilisha.Mpaka ufe tena ndio uone?
Kwa vile ni imani, kila mtu aamini anachoamini, au akariri anachoona kinamfaa.
Ndio naelewa hivyo hapo. Ni kiunganishi. Ila shida nilioisema ni hapo kuanzia kwenye kufa.Roho ndio kiunganishi kikubwa kati ya wewe na Mungu wako.
Uelewe hivyoo
Eh so ishi kwa amani.Ndio naelewa hivyo hapo. Ni kiunganishi. Ila shida nilioisema ni hapo kuanzia kwenye kufa.
Asante, zaidi sana ni imani. Mengine tutayakuta hukohuko kwa Mungu mwenyewe Yeye ndio anayajua, tupambane na yale alotutuma hapa duniani.
Sio wachungaji wote wana majibu sahihi. Ila ukijenga tabia kusoma biblia, kuomba na kutegemea uongozi wa Roho ya Mungu ni bora zaidi. Nafanya hivyo, hilo la wachungaji ni hatua ya pili. Asante.Eh so ishi kwa amani.
Ukishindwa kitu nenda kwa mchungaji atakuwa na majibu.
Sijakuelewa unachomaanisha. Ni swali, maelezo au komenti!!!wewe hujaoa
Swali ili nikupe muongozoSio wachungaji wote wana majibu sahihi. Ila ukijenga tabia kusoma biblia, kuomba na kutegemea uongozi wa Roho ya Mungu ni bora zaidi. Nafanya hivyo, hilo la wachungaji ni hatua ya pili. Asante.
Sijakuelewa unachomaanisha. Ni swali, maelezo au komenti!!!