Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Hilo jua lipo maabara?Unajichanganya. Roho ni nishati au chanzo cha nishati?
Kibaiolojia chanzo cha nishati ya mwili ni jua. Tunakula vyakula vilivyopata nishati ya jua na kutumia nishati hiyo.
Hiyo roho haijawahi kuwa proved kuwa ipo kwenye maabara.