mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,sijaweza prove kama kuna roho(kwa maana nimekwambia kwamba ni religious terminolgy)Fact ni ukweli ambao umepita subjectivity.
Dini inatumia faith haina fact, kwa sababu ina subjectivity, kila dini ina imani tofauti.
Roho ni suala la kidini, tena baadhi ya dini, Buddha aliishi na kusema hakuna roho, kuna dini kama Buddhism hazikubali uwepo wa roho.
Fact inaweza kuwa proved.
Wewe unasema kuna roho lakini huja prove roho ipo.
Hujaweza kuonesha roho ipo kama fact.
Kwa sababu, hjathibitisha roho ipo.
Mpaka sasa, kwa kipimo cha uthibitisho kuangalia nini ni kweli na nini ni imani tu isiyo na uthibitisho kuwa ni kweli, uwepo wa roho ni jambo la imani tu, si ukweli, si fact, na hujaweza kuthibitisha roho ipo kama ukweli, kama fact, kama kitu kilichothibitishwa.Ok,sijaweza prove kama kuna roho(kwa maana nimekwambia kwamba ni religious terminolgy)
Lakini nimekwambia kitu gani kuhusu religion?(nimesema kwenye religion hakuna sehemu ya kuprove kitu kwa maana tayari kila kitu ni ukweli kwa mtazamo wa dini)
Something to be subjective kwa mara ya kwanza unatoa chance for opinions(kwamba kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake)
Ndio katika "Buddhism" wanasema hakuna roho(huu ni mtazamo wao) hii haiwezi kuwa true katika Islam au christianity.
Siwezi kuonyesha kama kuna roho au hakuna kwasababu roho is religious terminology(kwa maana katika dini hakuna sehemu believer anaulizwa prove existence of something).
Kama roho is real or not real(sio jambo la believer,scientists can prove , but guess what spirit is beyond science)
Labda kuweka mambo sawa.Topic ambayo inaweza kuwa na debate ni ile tu inayoruhusu watu kupinga topic pale inapokuwa generalized(kwa mfano, niseme wanaume wote ni hovyo.Hapa natoa room for debate but what if wewe useme mimi(mwanaume) ni hovyo(hapa hakuna debate kwa maana ushatoa hitimisho)).
Kama mtu wa dini nakubali kuna roho.Kwanini nimefikia hitimisho hili? Ni kwa sababu nimetumia msingi wa imani ambao ni muongozo kwa wenye kuamini(dini).Mpaka sasa, kwa kipimo cha uthibitisho kuangalia nini ni kweli na nini ni imani tu isiyo na uthibitisho kuwa ni kweli, uwepo wa roho ni jambo la imani tu, si ukweli, si fact, na hujaweza kuthibitisha roho ipo kama ukweli, kama fact, kama kitu kilichothibitishwa.
Unakubali au unakataa?
Kwenye dini amini chochote unachotaka, huko hakuhitaji fact.Kama mtu wa dini nakubali kuna roho.Kwanini nimefikia hitimisho hili? Ni kwa sababu nimetumia msingi wa imani ambao ni muongozo kwa wenye kuamini(dini).
Kama wewe sio mwenye kuamini hauna sababu ya kuniuliza ni prove kwamba kuna roho(kwa maana nimetoa hitimisho na sababu ya kwanini nimefikia hitimisho hili)
Wewe ambaye ni mwanazuoni unatakiwa uje na kauli yako ambayo inaonyesha hakuna roho na sababu za kufikia hitimisho hilo sio kuniuliza mimi tena(Hii ni sawa na mtu wa CHADEMA akwambie kwamba Mbowe ni mwenyekiti wetu.Then,kwa sababu wewe ni CCM useme hapana afu uwaulize watu wa CHADEMA kwamba prove to me kuwa Mbowe ni mwenyekiti wenu(sio mtu wa siasa nimekupa kama mfano tu))
Nimetoa majibu ya kila kitu(sijui jibu gani unataka hapa?)Kwenye dini amini chochote unachotaka, huko hakuhitaji fact.
Sijakuuliza dini wala imani, nimekuuliza fact, ukweli.
Roho ipo?
Kitu haiwi kipo kwa sababu wanatheolojia wamekubaliana hivyo.Nimetoa majibu ya kila kitu(sijui jibu gani unataka hapa?)
Roho hipo ndio(na sababu nimekupa kwamba wanatheolojia wamekubaliana hivyo kutokana na ufunuo katika vitabu vya biblia(dini)).
Imani yako ni batili kwasababu unachokiamini hakipo kwenye uhalisia.Angalau wewe umekuja na hoja fikirishi ambayo inazidi kusiriba imani yangu ya kusema Mungu ni roho iliyo na mwili.
Yesu kufufuka ni stori tu ambazo watu walitunga kupitisha agenda zao.Yesu alivyofufuka alikuwa na mwili wa namna gani?tafakari hilo kisha utajijibu maswali yote uliyoyauliza hapo juu.
Umeuliza kuhusu fact si ndio? Nimekupa tafsiri ya fact ni nini(moja ya tafsiri ni kwamba, fact is something agreed by group of experts and play a role in how they perceive something)Kitu haiwi kipo kwa sababu wanatheolojia wamekubaliana hivyo.
Kwanza wanatheolojia hata hawajakubaliana hivyo. Wanatheolojia wa ki Buddhist hawakubali roho ipo.
This is a fallacy, argument from authority.
Thibitisha Mungu yupo.
Nimekwambia hata wanatheolojia hawajakubaliana kuhusu uwepo wa roho.Umeuliza kuhusu fact si ndio? Nimekupa tafsiri ya fact ni nini(moja ya tafsiri ni kwamba, fact is something agreed by group of experts and play a role in how they perceive something)
Sasa unapokataa msimamo wa wanatheolojia unataka msimamo wako ndio uonekane sahihi sio?(msimamo wako utakuwa sahihi lakini mimi sitautumia kama reference sehemu yoyote ile)
God does exist(nshakwambia sio kazi yangu kuprove bali mimi nakumbushwa kuamini na nikakupa wewe nafasi ya kuprove wrong kwa kutumia discipline yoyote unayopenda)
Tatizo sio mimi, tatizo ni wewe tu ambaye unadhani kila kitu kitafuata misingi ya kisayansi ku-draw conclusion.Nimekwambia hata wanatheolojia hawajakubaliana kuhusu uwepo wa roho.
Wanatheolojia wa ki Buddhist hawakubali kuwa roho ipo.
Tatizo wewe ulimwengu wako unaishia kwenye dini yako tu.
Nimekwambia pia kusema kitu ni fact kwa sababu experts wamekubaliana ni logical fallacy, argument from authority. Google that.
Anayesema roho ipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha ipo.
Anayesema Mungu yupo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha yupo.
Thibitisha roho ipo.
Thibitisha Mungu yupo.
Umesema wanatheolojia wamekubaliana roho ipo, lakini tumeona hata wanatheolojia hawajakubaliana.Tatizo sio mimi, tatizo ni wewe tu ambaye unadhani kila kitu kitafuata misingi ya kisayansi ku-draw conclusion.
Buddhism scholars kukataa kuwepo kwa roho haifanyi kwamba existence ya roho iko nullified(hapana).Kwao hii ndio perception yao na ndio ukweli wao lakini kundi jingine(hapa naongelea christians,Islamic scholars,Jews,just to make list shorter) wamekubaliana kuna roho na sababu wametoa kwamba kuna ufunuo katika vitabu vyao.
Kama ambavyo wanasayansi wanapishana katika mada tofauti tofauti ndio hivyo katika theology au discipline nyingine.
Nimekupata nafasi, onyesha ni kivipi hakuna roho umeshindwa sasa unataka mimi nifanye nini wakati nishakupa hitimisho kwamba roho ipo na sababu za hitimisho hili nikakupa
Mimi nimekupa hitimisho(I have nothing to prove here.Siwezi toa hitimisho nikakupa na steps nilizopitia kudraw conclusion then ukaniuliza tena ni prove)Umesema wanatheolojia wamekubaliana roho ipo, lakini tumeona hata wanatheolojia hawajakubaliana.
Wewe unayesema roho ipo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha ipo. Usinipe mzigo huo mimi.
Thibitisha roho ipo.
Hujathibitisha roho ipo, hujathibitisha Mungu yupo.Mimi nimekupa hitimisho(I have nothing to prove here.Siwezi toa hitimisho nikakupa na steps nilizopitia kudraw conclusion then ukaniuliza tena ni prove)
Mwanasayansi anapofanya observation,aka create hypothesis,akafanya data gathering and analysis ya data,mwisho wa siku aka draw conclusion then kesho ukamuuliza prove to me(wewe unakuwa kichaa.Mwenye akili atarudi field aje na model ya kupinga findings zake then aifanye public tayari kwa critism)
Ndio nahubiri imani kwa sababu ndio msingi wa dini(wewe hapa ulitaka nifanye experiment kuonyesha kwamba Mungu yupo sio?(siwezi))Hujathibitisha roho ipo, hujathibitisha Mungu yupo.
Unahubiri imani yako tu.
Thibitisha Mungu yupo. Thibitisha roho ipo.
Hujathibitisha Mungu yupo, hujathibitisha roho ipo, unalazimisha imani yako iwe ukweli wakati hujathibitisha Mungu yupo wala roho ipo.Ndio nahubiri imani kwa sababu ndio msingi wa dini(wewe hapa ulitaka nifanye experiment kuonyesha kwamba Mungu yupo sio?(siwezi))
Mungu yupo na roho pia ipo(Huu ndio msimamo wa dini na miongozo ya dini.Hakuna mtu kakukataza kusema tofauti lakini make sure unakuwa na model ambayo inapinga ukweli huu na ufanye presentation publicly huku ukisubiri critism.Sio tu kuja kuniuliza prove wakati nimesema religion haina nafasi hiyo ya kuprove(kwa maana msingi wake ni imani)
hizi story zauongo bhan 😔Umejitahidi kutafakari Ila hujui mambo mengi sana na huiaujua uwezo wa Mungu! Endelea kujifunza na kusoma zaidi utakuja kuelewa ukiruhusu ufahamu wako kuelewa zaidi ya unavyoelewa Kwa sasa. Mungu ni Roho hana nyama kama unavyodhani. Tena akaamua kuuvaa mwili pale alipokuja duniani (Yesu Kristo) Kisha akaendelea Kwa mfumo huu (Roho Mtakatifu) anajua yote, ya rohoni na ya mwilini, ndiyo ameumba vinavyoonekana na visivyo onekana. Ameumba Dunia na mwili wa damu na nyama ameuumba ndiyo huu una asili ya Dunia hii. Haiwezekani aweze kuumba kitu asichokuwa na uwezo nacho. Yeye aliyeumba ni Mkuu kuliko kilichoumbwa, ni kama mfinyanzi na chombo cha udongo anachokifinyanga. Mungu ni Roho na mwanadamu ni roho ina nafsi inaishi ndani ya mwili wa damu na nyama. Mungu angekuwa na mwili wa nyama kusingeandikwa kwamba damu na nyama havitaurithi ufalme wa Mungu. Ila ipo miili ya kiroho, sasa usichanganye huu mwili wa kiroho na mwili wa damu na nyama mzee.