Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Logical non sequitur. Hata hizo ndoto za kuona mambo ya mbele hujathibitisha.Nimekupa mfano wa mtu anapolala na kuota ndoto za mambo ya mbele ambayo bado hayajatokea halafu baada ya muda kupita mambo hayo aliyowahi kuyaota yanatokea kama yalivyo.
Hiyo ni moja ya uthibitisho ya kwamba roho ipo kwa maana ubongo huwa hauna kawaida ya kuchakata mambo ya mbele ila huwa unakawaida ya kuhifadhi na kuchakata mambo ambayo tayari yalishayokea na ndio maana ukifuta yote ambayo umejifunza tangu siku uliyozaliwa hadi leo humo kichwani mwako hautakua na tofauti na mtoto mchanga ambae hana analolijua kuhusu ulimwengu ila angalau anao uwezo wa kuota na kutabasamu pale anapolala pasipo mtu kumchekesha...
Roho ipo.
Hujathibitisha Mungu yupo, umeleta habari za roho, hujathibitisha roho ipo, unaleta mambo ya ndoto, nayo hujayathibitisha.