Hapa tutakesha ,nimesema hivi mwili wako wa kiroho na huu unaoweza kuona ni sawa tu man. Hakuna tofauti kubwa(tofauti nimekupa moja tu,kwamba huu mwili tulio nao si kitu unapotea lakini mwili wa roho unaishi daima)Sasa kama wewe unakataa Mungu hana mwili inamaana unapingana na maandiko kwa maana maandiko ndio yanasema tumeumbwa kwa mfano wake sasa mfano hauwezi kuwa tofauti na halisi kwa namna ya muonekano ila baadhi ya vitu vya ndani ndio hutofautiana.
Again yesu mwenyewe alisema kwamba ukimuona yeye basi umemuona baba kwa maana kama alivyo baba ndivyo atakavyo kuwa mwana.
Lakini pia maandiko yanasema baada ya miaka 130 Adamu akazaa mwana kwa mfano wake.
Hilo andiko linakurudisha kwenye uwepo ya kwamba unaposikia kwa mfano wake ni kwamba hakutakua na utofauti wa muonekano labda kwenye uwezo wa utendaji kwa hiyo Mungu ni roho iliyo ndani ya mwili.
Na nikukumbushe tu ya kwamba tunaposema Mungu ni sawa na kusema binadamu kwa maana ya kwamba Mungu ni neno ambalo linatumika ila sio kiumbe mmoja isipokua ni jamii ya viumbe kwa umoja wao ndio huitwa Mungu kama ilivyo kwetu sisi kwa umoja wetu kuita binadamu.
Kusema kwamba umeumbwa kwa mfano wa Mungu maana yake ni kwamba you have God's spirit within you(hii haina maana kwamba wewe unafanana na Mungu(never,worst interpretation of scripture I guess)